Пікірлер
@rukiyanoor6104
@rukiyanoor6104 6 күн бұрын
InshaAllaah. Allaah atuzidishie Subra na Imani. Shukran Sheikh Ahmad
@amanaone1532
@amanaone1532 6 күн бұрын
@@rukiyanoor6104 afwan
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 8 күн бұрын
Maashallah Sheikh wangu maneno mazur
@shamzone388
@shamzone388 14 күн бұрын
Sasa sheikh na wewe una wanawake wangapi❓❓❓ Je unafanya uadilifu….❓❓❓
@amanaone1532
@amanaone1532 14 күн бұрын
@@shamzone388 Alhamdulilah nashkuru Kwa kiasi niwezacho nafanya na Allah anajua wao pia wanajua na binadam wanashuhudia hilo
@khoilynn1721
@khoilynn1721 26 күн бұрын
Na mchana
@ProfessionalZidikhery
@ProfessionalZidikhery Ай бұрын
Masha'Allah
@NurdeenHassan-j1w
@NurdeenHassan-j1w Ай бұрын
Power of visualization....thanks shekhe for the massage
@shamzone388
@shamzone388 Ай бұрын
Hakuna hata mmoja wa mzazi anaetaka mwanae awe ktk watoto wasioshikana na dini Ila hidaya yatoka kwa Allah… Mwenyewe ndio anae muhidi na kumuongoza amtakae … Wala hakuna hodar wakuleA tafakari na uelewe hilo… nisamehe kwa kueleza kidogo
@dinafarouk6651
@dinafarouk6651 Ай бұрын
اللهم صل وسلم على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
@SalimRamadhan-v8q
@SalimRamadhan-v8q Ай бұрын
Amin Amin Amin
@abuubakarmohamed1615
@abuubakarmohamed1615 Ай бұрын
Allah (sw) atujaalie wenye kusikia kauli na tukayafata yalokua mazuri.
@amanaone1532
@amanaone1532 Ай бұрын
@@abuubakarmohamed1615 allahuma amiyn
@MOHAMEDMBAROUK
@MOHAMEDMBAROUK Ай бұрын
ما شاء الله
@MOHAMEDMBAROUK
@MOHAMEDMBAROUK Ай бұрын
ما شاء الله
@shadadiswalehe3997
@shadadiswalehe3997 2 ай бұрын
Shukran shekh wetu ALLAAH akubariki ktk maisha yako
@amanaone1532
@amanaone1532 2 ай бұрын
@@shadadiswalehe3997 na Wewe pia na kila MUISLAM
@dinafarouk6651
@dinafarouk6651 2 ай бұрын
اللهم بارك واللهم نفع بكم أمة محمد
@amanaone1532
@amanaone1532 Ай бұрын
اللهم امين واياك
@mzenjibari
@mzenjibari 2 ай бұрын
Kumbe Darweish hawa ni watoto wako halisi?
@AminaShaban-ce4rm
@AminaShaban-ce4rm 2 ай бұрын
Maashallah shekh watoto wako umefanana nao sana
@khatwabhaji9159
@khatwabhaji9159 2 ай бұрын
يعزك الله ويحفظك
@khatwabhaji9159
@khatwabhaji9159 2 ай бұрын
MashaAlla
@EshaAbdallaRizeg
@EshaAbdallaRizeg 2 ай бұрын
MashaAllah
@SaidHamoud-s3w
@SaidHamoud-s3w 2 ай бұрын
❤❤❤
@shamzone388
@shamzone388 2 ай бұрын
Kuja kufanya kazi si haramu madhali tunajiheshimu na tunafata sheria za dini Ikiwa katika mawizara ya dini wapo wanawake na hosp school na collage na university …wamesomea ili kuwastiri wanAwake wenzao… Hapo utasema haifai nipe jibu
@hadijamgambo-jn7kg
@hadijamgambo-jn7kg 2 ай бұрын
Nikipata mwanaume wa kunioa na kunihudumia vzur sitafanya kazi, na Degree yangu nitatulia tulii😊
@amanaone1532
@amanaone1532 2 ай бұрын
@@hadijamgambo-jn7kg Allah atakupa ikiwa utaweka Nia na azma
@hadijamgambo-jn7kg
@hadijamgambo-jn7kg 2 ай бұрын
@@amanaone1532 Amiin niombee Dua nipate mume mwenye kheri na mapenzi ya kweli na Mola wetu mlezi pamoja na mm Ustadh.
@amanaone1532
@amanaone1532 2 ай бұрын
Allah akupe mume mwenye dini na tabia njema mwenye mapenzi na thamani ya kujua mke na watoto mwenye kuchukua NAFASi ya usimamizi WA nyumbani katika Maisha yako ya duniani na akhera
@hadijamgambo-jn7kg
@hadijamgambo-jn7kg 2 ай бұрын
@@amanaone1532 Amiin Yaa Rabal Alamein...kheri In Shaa Allah..Shukran.
@shamzone388
@shamzone388 2 ай бұрын
@@hadijamgambo-jn7kgdada subiri huyo sheikh aje akupose…
@rukiyanoor6104
@rukiyanoor6104 2 ай бұрын
Asalaam Alaikum. Hio yote ni mwanamke alokosa Busara. Pole kusema hivo
@feisalmbamba9729
@feisalmbamba9729 2 ай бұрын
Lkn umeweka hesabu ya mf 1567 badala 1667
@feisalmbamba9729
@feisalmbamba9729 2 ай бұрын
Asalam alykum Sheikh nadhani umesahau imefikia mafunzo namba 1667
@dakhanvevo
@dakhanvevo 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@JoyceHaule-o8c
@JoyceHaule-o8c 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@rashidyyusuph4386
@rashidyyusuph4386 3 ай бұрын
Huyo sheikh wa katikati anaitwa Abu Daud??
@nabeelrishadamana2109
@nabeelrishadamana2109 3 ай бұрын
MashaAllah Allah awaongoze
@fatmaahmed1141
@fatmaahmed1141 3 ай бұрын
MashaAllah maneno swah
@HabibuSaid-up5sn
@HabibuSaid-up5sn 3 ай бұрын
Amiin 🤲
@HabibuSaid-up5sn
@HabibuSaid-up5sn 3 ай бұрын
Amiin 🤲
@fatmaahmed1141
@fatmaahmed1141 3 ай бұрын
Ameen ya Raab
@aminaosman3315
@aminaosman3315 3 ай бұрын
,familiaya marhum said janjira imedhulumiwa na taasisi ya Ansar tanga na kiongozi wao na Baraza lake dhumu hakuna mwislam anayenufaika na taasisi hiyo zaidi dhulma wamewadhulumu yatima na mjane kwa kushirikiana mahakama na wizara ya àfya kudhulumu hospitali ya shifana kuinkuiba pesa sapesa zake kwenye akaunti a
@shamzone388
@shamzone388 3 ай бұрын
Je una uhakika ndoa zako zimedumu kweli❓❓❓ Naona kama kuna walakin ndani yake sema ukweli….
@fahadshaef229
@fahadshaef229 3 ай бұрын
ALLAH akulipe kheri INSHA ALLAH
@fahadshaef229
@fahadshaef229 3 ай бұрын
ALLAH atujaalie kheri
@ukhtykhayrat7896
@ukhtykhayrat7896 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@Elimubilamipaka
@Elimubilamipaka 4 ай бұрын
Jazaakallaahu khairan
@Elimubilamipaka
@Elimubilamipaka 4 ай бұрын
Mashaallaah
@DeniNguti-o7t
@DeniNguti-o7t 4 ай бұрын
Shukran jazaakallahu khairn
@fahadshaef229
@fahadshaef229 4 ай бұрын
Shukran Maalim
@MaryamuKhamis-m1z
@MaryamuKhamis-m1z 4 ай бұрын
Shukran
@immtm4930
@immtm4930 4 ай бұрын
baraka llahu fiykum
@HusseinFunga
@HusseinFunga 5 ай бұрын
Baarakallahu fii
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 5 ай бұрын
Allahumma swalli wasallim alaa Sayyidnaa Muhammad waaalaaa Aalihii waswahbihii wasalllam🙏🙏🙏🙏
@zaichande3412
@zaichande3412 6 ай бұрын
Ahsante sana shekh kwa ukumbusho
@hashimonlinetv
@hashimonlinetv 6 ай бұрын
Aamin aamin,sheikh naomba utuwekee kwenye Playlist 1 ili nizidownload Zote hasa zile ambazo sijawahi kuzisikia
@fatmaahmed1141
@fatmaahmed1141 6 ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema
@SelemaniKakunga
@SelemaniKakunga 6 ай бұрын
Amin