Mm ni o negatv na mwenzangu ni o positive mimba ya kwanza ilitoka na yapili ilifika mpaka miez Tisa ila nae hakuishi ilipita je nn tufanye ili tupate watoto? Msaada
@udiabdullah52617 ай бұрын
❤
@Mariagorethjohn8 ай бұрын
Mtu mwenye siko cell anaweza kuzaa na mtu mwenye group gan la damu
@silvanus1990blockchain Жыл бұрын
Toka 2008nakufatilia sana hongera sana
@silvanus1990blockchain Жыл бұрын
Hongera sana nimekuwa nakufatilia kwenye redio Sasa nimekupata asant
@simonphabiano9050 Жыл бұрын
Nakuelewa sana Dr. wangu
@drsamsonkibona371 Жыл бұрын
Asante sana
@tobamatle82462 жыл бұрын
Hii shule ni nzuri sana
@jeremiahmwalukosya84312 жыл бұрын
Ntapateje Mawasiliano yako dk
@drsamsonkibona3712 жыл бұрын
Dr Samson Kibona 0746332020
@geofreymabena29243 жыл бұрын
Je kam sasa umesema wakiwa na A ileile ila utofaut ni neg na post je ikiwa negt na post ila ni makundi tofaut kwa mfano B post na O negt
@Esthernyenyezi33 жыл бұрын
Yaani ili wazaye mpaka waone doctor
@johnfaustinechannel7463 жыл бұрын
Anza kupost unabii
@johnfaustinechannel7463 жыл бұрын
Mtu Wa Mungu kibona
@nassercrewalkindi78993 жыл бұрын
Hilo shamba linaonyesha halijaangaliwa ipasavyo kwani baadhi ya majani yake yanarangi isiyo paswa kuwepo, inaonysha inavipungufu wa virutubisho
@barangendanaephraim87804 жыл бұрын
Sasha nitafanyaje ili NI Pate mtoto
@hezronsengeri80714 жыл бұрын
Nahitaji cd za mahubiri ya Daniel 11:41-45 nazipataje
@drsamsonkibona3714 жыл бұрын
OK kuna CD 5 au sita pamoja na ile gharika. No 3,000 kwa CD kwa being ya jumla
Safi sana. Toa na masomo yako ya mahubiri, tunayapenda sana pia.
@ezrajimson10194 жыл бұрын
Doctor tunakuomba kama kuna clip zile za mahubili yako tumezimis sana
@mahamoud28614 жыл бұрын
Dr tunahitaji mawasiliano yako
@Moon-wf2ec4 жыл бұрын
Hindi hiro
@fredymakoga41724 жыл бұрын
Doctor nnahaja nawe nakupataje
@jovinajovin46375 жыл бұрын
we ni Mungu😠
@elizabethvicenty24815 жыл бұрын
Naomba niongee naww
@drsamsonkibona3714 жыл бұрын
Pole Eliza no mwaka tangu uombe kuongea nami Dr Kibona , nilikuwa porini mbali na net 0746332020
@hendrylema56402 жыл бұрын
wewe ni daktari au ni clinical officer??
@fredrickmkami52635 жыл бұрын
Hongera Baba
@hammyboy115 жыл бұрын
docter naomba mamba zako
@drsamsonkibona3715 жыл бұрын
Ok Namba yangu ni 0746332020
@atuganilemwakipesile49795 жыл бұрын
doctor Kibona nisaidie namba yako
@agastynelucacmshoro15195 жыл бұрын
namba zako nahitaj doctor tafadhar kama hutojal
@samsonmusa76265 жыл бұрын
Dr. Nataman kupata pia masomo yako ya maajabu toka mtoni hedekeli nayapataje
@Hector-cq9dt5 жыл бұрын
Shukrani sana DR kuna mashamba huko ya kulima..??
@gaitankipangula79625 жыл бұрын
Dr kibona nahitaji mawasiliano yako. My number 0715114526
@jumamisimbo88916 жыл бұрын
Doctor naomba namba yako
@jumamisimbo88916 жыл бұрын
Je unapanda kwa kutumia mbolea au hutumii ? Na unategemea mvua ?
@yahayalikule87526 жыл бұрын
Napenda kilimo cha umwagiliaji sana
@jimmyx84126 жыл бұрын
Sorry doctor nilikua nataka kujua kwamba Hekar moja ya Shamba LA mpunga unaweza vuna gunia ngap???
@drsamsonkibona3716 жыл бұрын
Ok pole kwa kuchelewa Kwa kulingana na upandaji , ile ya kumwaga holela inaweza toa gunia kati ya 5 hadi 15 na mashine kavu kwa mistari ni 25 hadi 40 Mchakamchaka 25 hadi 40 na SRI ni 35 hadi 50
@drsamsonkibona3716 жыл бұрын
Ok pole kwa kuchelewa, nii gunia 30 hadi 50
@fatmanasser68297 жыл бұрын
asante baba nitakutafuta nikija tanzania
@drsamsonkibona3716 жыл бұрын
Karibu Fatma ukirudi nitafute juu ya hicho kilimo. Uko wapi sasa?
@yahayalikule87526 жыл бұрын
Fatma Nasser madam nataka kulima bilinganya na nyanya chungu niambie jinsi ya kumwaga mbegu
@rehemasanga6708 жыл бұрын
habari Dr Samson kibona natamani kujua zaidi kilimo cha mpunga ntafurahi kama nitapata contact zako , asante
@jacobnghwali45318 жыл бұрын
safi sana Dr mungu akulinde
@drsamsonkibona3716 жыл бұрын
Amina
@barakaweston52585 жыл бұрын
Dr Kibona, unapatikana sehemu gani baba?
@azizsaleh94028 жыл бұрын
good.. if possible 0768104622 tuje tujifunze
@graceghambi396410 жыл бұрын
Big up Dr Kibona kweli Tanzania bila NJAA inawezekana by Gambi dar