HATARI YA SIMU || USTADH HAMZA || 2024 ||
2:12
MAULID GANJONI MOMBASA 2024
2:52
ZEFE ZA LAMU 1446/ 2024
24:44
Ай бұрын
Пікірлер
@MFUMOWAWEMAWALIOTANGULIA6384
@MFUMOWAWEMAWALIOTANGULIA6384 Күн бұрын
Hiyo ndio hamuwezi fanya...(Ati maolidi bila biriani) kama mwaweza fanyeni mwaka mmoja maolidi bila biriani
@BiashaNasseri-qg5xl
@BiashaNasseri-qg5xl Күн бұрын
Mashaallah Mashaallah mungu atufanyie wepesi inshaallah
@ahmadalwy318
@ahmadalwy318 2 күн бұрын
MASHALLAH NI MAULID YA KIPEKEE KATIKA MJI WA MOMBASA ALLAH AWAJAZI KHERI
@waelaljabry5726
@waelaljabry5726 8 күн бұрын
Maa sha Allah alhabiib ❤
@ibrahimammar7800
@ibrahimammar7800 8 күн бұрын
Masha Allah ❤❤
@AadanMaxamed-xx8to
@AadanMaxamed-xx8to 8 күн бұрын
Shukrn shkh hmza
@twalib09
@twalib09 8 күн бұрын
Mashallah 😢😢😢
@ZainabuSaid-f8b
@ZainabuSaid-f8b 18 күн бұрын
M mungu nakuomba wapunguzizie adhabu za kabri na adhabu ya moto
@abubakarbakari7042
@abubakarbakari7042 18 күн бұрын
Masha allah sheikh Hamza
@Rabbihdini
@Rabbihdini 18 күн бұрын
Maashaaallah shukran sidi uraydhi kwakututumiya harusi yetu angalawa sisi tulioko mbali tupate kushuhudiya yahya bro allah akujaalie harusi ya kheri na baraka awape masikizano mama awape kizazi chema amiiin yarabbal3alamiiina
@AadanMaxamed-xx8to
@AadanMaxamed-xx8to 18 күн бұрын
Wacha kupotosha watu mume zidi nyinyi wewe ume hifadhi qur an ya allh alafu hivi imani yako ina wezaje kukufanya wewe uamini kua maiti aeza kukupa kheri acha hizo ustadhi bana
@AadanMaxamed-xx8to
@AadanMaxamed-xx8to 18 күн бұрын
Shukrn shekh hamza allh akujaz kher
@merabaqshabdulaziz7565
@merabaqshabdulaziz7565 25 күн бұрын
Maa Shaa Allah Alot of Bleesing & Great Reward to Attend Dhikr.
@MaryamJuma-mi2si
@MaryamJuma-mi2si 25 күн бұрын
Ya Allah mpoke mama yangu na mama mkubwa na babu zangu na ndugu zangu wengine marafiki wote na waislamu wote waliyo tangulia mbele za haki na uwape kauli thabit wapunguzie adhabu ya makaburi wa wasiyo wasilamu pia uwapumzishe kwa Amani 🤲🤲🤲🤲 Allum amiiin
@BiashaNasseri-qg5xl
@BiashaNasseri-qg5xl 25 күн бұрын
Mashaallah Mashaallah mungu atufanyie wepesi atuondoshe mazito
@BiashaNasseri-qg5xl
@BiashaNasseri-qg5xl 25 күн бұрын
Amiin,Amiin
@aminamchopa5136
@aminamchopa5136 26 күн бұрын
Allah mpokee mwanangu mpokee Baba yangu mpokee Kaka yangu na na marehem wotee😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏 wapunguzie adhabu ya kabri
@aidarusalnadhir3139
@aidarusalnadhir3139 28 күн бұрын
Masha'Allah
@mishihamaro9991
@mishihamaro9991 Ай бұрын
Mashallah❤
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br Ай бұрын
♥️♥️♥️♥️👍👍👍👏👏👏
@SadaMohamed-d4p
@SadaMohamed-d4p Ай бұрын
Mashallah
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 Ай бұрын
Ya Allah mwingi wa rehma mfanyie wepesi mama yangu mwepushe na adhabu za kaburi na umuepushe na adhabu siku ya kiama na unifanyie wepesi na Mimi niwe mwenye kuongoka🙏
@ummusalim1991
@ummusalim1991 Ай бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم ❤
@ibnabubakar5199
@ibnabubakar5199 Ай бұрын
Mashaallah❤
@abubashir3475
@abubashir3475 Ай бұрын
Vaicheni vachu vae vaangalie Hilo goma lirudue kwavo.
@Shameem-j8u
@Shameem-j8u Ай бұрын
I'm proud to be a chovae gurl❤Allah atuhifadhi daima
@bakarilawena581
@bakarilawena581 Ай бұрын
Yaa allah mpokee baba yangu mzazi, babu yangu,ndugu jamaa na marafiki waliotangulia mbele ya haki dada yangu kipenzi na ndugu yangu Ramadhani selemani pia uwapunguzie adhabu ya kabri na kuwapa kauli thabiti inshalah uwajalie pepo amin
@JumaSaria-jv4ej
@JumaSaria-jv4ej Ай бұрын
008 ilishika no moja Mbona mukawanyima zawazi ama amutaki LIKONI ISHINDE SUBHANALLAH MWAKA HUU NI JUWA KM HAKUNA UADILIFU KABSAA , WATAZAMAJI NAOMBA MUANGALIE MASHINDANO VIZUR KISHA MUEKE COMMENT ZENU INSHAALLAH KWASABABU PIA TWAFAA TUELEW KWAMBA INNA DHULMA DHULUMATI YAUMUL KIAMA
@ukhtynaa005
@ukhtynaa005 Ай бұрын
Ulishawahi lini kuskia dini ikawa kipao mbele katika serikali Shame on the county government
@abubashir3475
@abubashir3475 Ай бұрын
Çhovae nachuivae chwendapo chwendenao
@Ahmed-d6i7s
@Ahmed-d6i7s Ай бұрын
MashaAllah,Amin anwar🔥
@hakeemprince6868
@hakeemprince6868 Ай бұрын
Masjid sio kuswali pekee, Darsa zipatikane kila siku msikitini baada maghrib na kina mama iwe na siku maalum..JZKLLH
@Husnaahmed-cl2im
@Husnaahmed-cl2im Ай бұрын
Wow i am proud to be a chovae❤👌
@abubakarrahim8482
@abubakarrahim8482 Ай бұрын
Goma la panga la wabajuni 🎉
@agerah_glambeauty2847
@agerah_glambeauty2847 Ай бұрын
Allahumma nawwir qabrahu yaa Rabb 🤲
@SaidMhando-y5k
@SaidMhando-y5k Ай бұрын
Mashaallah raha hiziiii😊
@hakeemprince6868
@hakeemprince6868 Ай бұрын
اللهم ارحم امواتنا و المسلمين جميعا --- امين
@NuruAlmaarouf
@NuruAlmaarouf Ай бұрын
Innalillah wa innaillehi rajiuni. Allah amrehem amsamehe dhambi zake ampe kauli thabit marhum.
@agerah_glambeauty2847
@agerah_glambeauty2847 Ай бұрын
Ameeen Yaa Rabb 🤲
@hawaaaidarus7046
@hawaaaidarus7046 Ай бұрын
Allah ampe kauli thabit, amsameh dhambi zake
@kholaabdulrahman1750
@kholaabdulrahman1750 Ай бұрын
Allahumaghfirlahu waarhamahu waaskinlahu filjannah. Ameen
@agerah_glambeauty2847
@agerah_glambeauty2847 Ай бұрын
Yaa Rabb 🤲
@husseingitonga8921
@husseingitonga8921 Ай бұрын
Makurafi mna tabu😢
@EshaAbdallaRizeg
@EshaAbdallaRizeg Ай бұрын
Allah amrehemu amsamehe madhambi yake amwingize mahali pema peponi Amin Amin Amin
@agerah_glambeauty2847
@agerah_glambeauty2847 Ай бұрын
Ameeen Yaa Rabb 🤲
@agerah_glambeauty2847
@agerah_glambeauty2847 Ай бұрын
Allahumma Ameen yaa Rabb 🤲
@zulfaali5630
@zulfaali5630 Ай бұрын
Innalilahi wainna ileyhi rajiun
@khalidbinsunkar5409
@khalidbinsunkar5409 Ай бұрын
غفر الله له وأسكنه فسيح جناته ويلهم أهله وذويه الصبر والسلوان
@RukiaHadad
@RukiaHadad Ай бұрын
Allah amrehemu amsamehe madhambi yake ampe kauli thabit
@agerah_glambeauty2847
@agerah_glambeauty2847 Ай бұрын
Yaa Rabb 🤲
@ashrafkhamis1051
@ashrafkhamis1051 Ай бұрын
Mola Amrehemu amtanganye pamoja na wema
@agerah_glambeauty2847
@agerah_glambeauty2847 Ай бұрын
Ameeen Yaa Rabb 🤲
@rizikimohamed7120
@rizikimohamed7120 Ай бұрын
INNA LILLAHI WAINAA ILAIHI RAJIOO
@salimahmed8991
@salimahmed8991 Ай бұрын
KARIBUNI NYOTE KWENYE GOMA LA PANGA LA CHOVAE SIKU YA JUMAPILI TAREHE 20/10/2024 KHADIJA PRIMARY SCHOO BAADA YA SWALA YA ALASIRI.
@KaramaShee-pu9rb
@KaramaShee-pu9rb Ай бұрын
Ndani ya school
@HaniphaAdam
@HaniphaAdam Ай бұрын
Yallah mlaze mahala pema peponi mwanangu msamehe mhurumie kama alivyonihurumia mimi 🙏🙏
@rukiaramadhan2117
@rukiaramadhan2117 Ай бұрын
Yaa Allah wasamehe wazazi wangu wahurumie kama walivyonihurumia mimi nilipokuwa mdogo ya Allah mlaze pema mwanangu