LOVII na Afriso-Ushauri wa wazazi
6:49
Nuta-WAWILI TULIPENDANA
4:45
3 ай бұрын
Nutta-HALIMA UTALUDI LINI
5:15
3 ай бұрын
Vijana Jazz-mpenzi Tabu
6:22
3 ай бұрын
Vijana Jazz-Chiku
6:36
3 ай бұрын
Nutta-CCM IENDELEE
7:01
3 ай бұрын
JJB-TUJIUNGE JUWATA
7:25
3 ай бұрын
NDEKULE-Sosy
5:59
3 ай бұрын
NDEKULE-PENDO
6:07
3 ай бұрын
Nutta-Dawa ya mapenzi
5:17
3 ай бұрын
Nutta-AMINA
5:30
3 ай бұрын
Kasheba na OSS- WAKULIMA
5:53
3 ай бұрын
Polisi Jazz-NIDHAMU YA KAZI
7:17
3 ай бұрын
MAGEREZA JAZ-Msitu na Nyika
7:03
3 ай бұрын
Shakila- Kobe
7:18
3 ай бұрын
Shakila -Mzigo
6:34
3 ай бұрын
Marquiz -CCM
6:57
3 ай бұрын
KILWA JAZZ- Kifo cha penzi
3:59
3 ай бұрын
NUTA  JAZZ- Sakina
6:22
4 ай бұрын
MALIKA -Nakutaka wewe
6:47
4 ай бұрын
MALIKA- WAPE WAPE VIDONGE VYAO
10:37
Mohammed Mrisho-Dhuluma
4:56
4 ай бұрын
JKT- Elizabeth Shija -Pazia
6:03
4 ай бұрын
Mambo Bado-Binam kanigeuka
5:56
4 ай бұрын
Makassy-MWALIMU NYERERE
7:08
4 ай бұрын
Пікірлер
@somaliguy312
@somaliguy312 45 минут бұрын
Wape wape vidonge viyao
@mohamedhassani2179
@mohamedhassani2179 2 сағат бұрын
Bora ni chache kuliko kuugua afya.kwanza ,kama afya mgogoro pesa huwezi kutafuta.
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 3 сағат бұрын
Wa TZ Wahindi hao jamani tuwape pongezi zao👏👏👏
@HalimaAbdulrahman-b3q
@HalimaAbdulrahman-b3q 4 сағат бұрын
❤ naupenda sana wimbo huu jmn sio sifa ya uzuri wake tuuu
@MorrisGregory-x2b
@MorrisGregory-x2b Күн бұрын
Oldies are really gold.
@zonko0488
@zonko0488 Күн бұрын
Waiongoze Nchi yetu kwa moyo wa Kimapinduzi.....
@HamisiBande-l8x
@HamisiBande-l8x 2 күн бұрын
El pibe de ore zamani ni zamani melody kali sana
@Ngangabwite
@Ngangabwite 3 күн бұрын
[FAULATA - Juwata Jazz Band] (Kibao kimeimbwa naye mwenyewe Joseph Lusungu , Moshi William, Suleiman Mbwembwe, Joseph Maina, Juma Akida Hamisi Kitambi na Tino Masenge, solo chini yake Mabera, rythim na Pishuu, bass na Issa Ramadhani, drums kucharazwa na Saidi Mohamed, Mohamed Haroub kwenye tumba, Julius Betto na Zitto Mbunda kwenye trumpets, Mnenge, Abdi Mketema na Hagai Kauzeni kwenye midomo ya bata (sax) ) (Mwanzo) Ilikuwa siku ya jumanne asubuhi nataka kwenda kazini ndipo ulipotamka neno kuwa umechokaa kuishi na mimi kosa gani eh ewe Faulata sikupata jibu jengine ila sikutaki eh sikutaki tuuu kuchunguza kuchunguza kumbeeeeee umempata awezae kumiliki maisha yako kunishinda mimi [wote] Kibwagizo ama kweli oh maradhi yote ugua lakini kuchacha usiombee [Lusungu] naomba unisikile kwa makini haya ninayokuambia kuibuka na kuchacha mola ndiye mpangaji wa yotee [wote] kibwagizo [Lusungu] umekuwa kama mzigo wa moto ..... lo salale haubebeki wala haushiki nakuruhusu wendee ....... nenda utaiona dunia eh [wote] kibwagizo [Rudi mwanzo]
@Ngangabwite
@Ngangabwite 3 күн бұрын
[Priscila - Juwata Jazz Band] (wote) kwa tabia zako bibi eh mimi sitokuacha hasa upole wako mpenzi eh , kamwe sitakuacha, Hata kama watu watasema sana, Sitawajali haoo Ooooh , kwa vile najua uzuri si shani , ubora tabia x2 (wote) Kibwagizo: kuishi wawili ni kusikilizana hapo mapenzi ndipo yanapodumu (Mbwembwe) Kwa kuwa tunapendana, mengi utasikia, Lakini usijali eeeh Mpenzi wangu eeehh, (wote) kibwagizo (Zengakala) Ukipata shida kidogo, jaribu kuvumila Priscilla, Kwani hayo yote Priscilla, Ni ya muda sana maamaaa, Elewa Priscila eeeh Kipenzi eeeh (wote) kibwagizo (Zengakala) Tuzae wetu watoto waweze kutusaidia badaye tukishakuwa wakongwe watatufaa mamaaa elewa Pricilla eh kipenzi eh (wote) kibwagizo [Rudi mwanzo]
@kennethbahebenginilla1657
@kennethbahebenginilla1657 3 күн бұрын
Ukiwa Kimwagaaaa unaitwa bwegeee,ukibana matumizi unaitwa mkono wa korosho baba.
@TwahaAliMtumbi
@TwahaAliMtumbi 3 күн бұрын
Bima lee yes
@LucianDevenus
@LucianDevenus 4 күн бұрын
Nuta walitisha
@IsmailIbrahim-uu9xx
@IsmailIbrahim-uu9xx 4 күн бұрын
Kiboko yao
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 5 күн бұрын
Jamaa wa tumba na mahestro kasheba nilikuwa nikienda kimara resort nawaangaliaga sipati picha,mzee kking hatari.
@hamisikipita7946
@hamisikipita7946 8 күн бұрын
Kitu cha kujifunza ni kwamba watanzania ni watu wa upendo sana karibu ya wanamuzik hao wakongo wamezikwa Tanzania 🇹🇿 Mungu azidi kuitunza Amani yetu
@kingfahad5120
@kingfahad5120 8 күн бұрын
2030
@rajabumrisho1235
@rajabumrisho1235 10 күн бұрын
It was 1982 mambo music ulipigwa kwa hisia Kali Sana Moshi William ndio nyimbo zake za mwanzo
@alexanderdidas3815
@alexanderdidas3815 11 күн бұрын
Eddy, tupe za vijana wa zamani, naomba ngama za kwetwu by Tancat Almas, Karibu KIGALI
@abdallahiddy6333
@abdallahiddy6333 12 күн бұрын
kaka tupandishie ya MK kitendawili
@SierraKiringi-xi3vp
@SierraKiringi-xi3vp 13 күн бұрын
Mwalimu did a lot a lot a lot for the liberation of Southern Africa. He didn't steal from the national coffers like what happened here in Kenya from 1963. We hope there is his statue in Pretoria.
@alexanderdidas3815
@alexanderdidas3815 14 күн бұрын
Eddy, kanyaga twende, mi niko Kigali hivi nakula ngoma ya Tancut alamas, Rutandila, naomba wimbo ngama za kwetu by Tancut
@Chemba67
@Chemba67 14 күн бұрын
REST IN PEACE LEGENDARY , WE STILL LISTENIG YOUR SONGS AND MORN YOU SAMETIME ..😥😥
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 14 күн бұрын
RIP king kiki 2024!
@jumaluhinda871
@jumaluhinda871 14 күн бұрын
Pumzika kwa amani mbuya makonga adios
@rutarutahindurwa2080
@rutarutahindurwa2080 16 күн бұрын
Bado nasikiliza November 16 2024
@bingwason
@bingwason 16 күн бұрын
3:44-3:52
@bingwason
@bingwason 16 күн бұрын
Nguza Viking katika solo. Hatari.
@allenshetuli9100
@allenshetuli9100 17 күн бұрын
Uyu mtu nikipaji kikubwa sana ,Kaka yangu Mungu akupumzishe pema ,,kwao vuga lushoto Tanga
@wilsonmalias3122
@wilsonmalias3122 18 күн бұрын
Rip king kiki
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 18 күн бұрын
Nani amerdi baada ya kifo cha mwamba hutu. RIP King Kikii
@allynayomo485
@allynayomo485 18 күн бұрын
RIP,king kiki 1:31
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 18 күн бұрын
Pumzika kwa amani maestro
@fionafakii1533
@fionafakii1533 20 күн бұрын
Masikio yameshiba..🎉2024
@MaullidSaid
@MaullidSaid 21 күн бұрын
kaka eddy naomba Wimbo wa juwata jazz shida mpaka lini akiimba mbwembwe na mosh nimetafuta sana
@lancedzombo8634
@lancedzombo8634 21 күн бұрын
❤❤❤
@clukosiuk
@clukosiuk 21 күн бұрын
Wimbo ninaupenda sana huuu
@nixonlameck3215
@nixonlameck3215 22 күн бұрын
Early 1980 Mungu awarehemu waliotangulia mbele ya haki Long life mzee makasi
@julianpeter7165
@julianpeter7165 22 күн бұрын
Kama ningeweza kumpata mkuu wa majeshi Mabeho ningemuomba tumpe nchi akitokea mama kwangu Mimi ni MTU wa heshima sana KWA Tanzania
@abdaziz1876
@abdaziz1876 22 күн бұрын
Nunuu Abdulbary (RIP)
@BernardMhagama-oj8zr
@BernardMhagama-oj8zr 23 күн бұрын
sahihi kabisa
@optatuslikiliwike1736
@optatuslikiliwike1736 24 күн бұрын
Kweli kimulimuli cha iringa haitasahaulika kabisa watu wa iringa aliibatiza bendi hii ikiwa ni bendi ya kwanza kuweka taa jana zile za mkrismas ndiyo wahehe wakaiuta kimulimuli bendi jambo ambalo wengi hawalijui hilo kwa watu wasiyojua muulizeni zahil ally atawaambia!!!!!
@rogiekissmohammed2350
@rogiekissmohammed2350 24 күн бұрын
Kuna VERSION Ya PILI Imetoka Mwaka Juzi Kutoka TANZANIA ALL STARS Kuwajibika Wapo Wazee Wetu Na Vijana HATARI SANA.
@HamzaSwakala
@HamzaSwakala 24 күн бұрын
Kula chuma hicho
@HamzaSwakala
@HamzaSwakala 24 күн бұрын
Kula chuma hicho
@NicholausSimiti-h5o
@NicholausSimiti-h5o 25 күн бұрын
Mwaka 1982 Mpwapwa secondary tabia mwanjelwa na enz zake cjui yuko wapi cku hizi
@esmaeelkenadid3027
@esmaeelkenadid3027 25 күн бұрын
Anaitwa Issa Kamba
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 26 күн бұрын
Guitar ni la mzee Mponda
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 26 күн бұрын
Trumpets na SAXOPHONE zimepangiliwa vyema
@SwaleheLiyoba
@SwaleheLiyoba 27 күн бұрын
Daaaa kama imetoka leo hinyimbo
@wcb_online
@wcb_online 27 күн бұрын
brongo trendz tz