Mungu wabariki ndugu zangu mnapo Anza mianzo mipya ya maisha ya ndoa
@fatmamsindi46125 ай бұрын
Maashallah, Allah airunze ndoa yenu wanangu, muone wanetu, wajukuu na vitukuu In shaa Allah. Wenye hicho baba wayarudie wenyewe
@consoafrica13506 ай бұрын
Congratulations to Janeth 🎉🎉🎉🎉
@MartinSwai6 ай бұрын
Bendi yangu pendwa hii naweza kutaja kikosi chote hicho
@degwaboy81289 ай бұрын
R.i.p banza stone
@DennisNyabuti-w8s10 ай бұрын
Good job kuja kisii club kamel park resort Kenya tukule raha
@leviskiwanga9070 Жыл бұрын
Kanutiiiiiii -levis hapa
@DeoOmbael Жыл бұрын
Kingunge
@marykagusa8910 Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu watwanga pepeta mungu awape Afya njema nawapenda sana dada maduga mpanda
@rafikitv1 Жыл бұрын
Na kwako pia. Mwaka ukawe wenye mafanikio na Afya tele.
@kenmcoha6349 Жыл бұрын
choki karudi...lo hata kenya alikua vile vile..toka rudi toka rudi
@rafikitv1 Жыл бұрын
Music ni Maisha ndugu yangu Kenmcoaha na kawaida ya maisha huwa ayana kanuni au formula. Yanaweza kubadilika muda wowote kutegemea na mazingira. Hivyo Choki yupo sahii.
@petermahimbo-d2i Жыл бұрын
Hongera twanga big up chock kwa kumentain sauti
@petermahimbo-d2i Жыл бұрын
Hongera sana choki kwa tunzi zilizokwenda Shule nyimbo zako zinaishi
@issackmfeti6708 Жыл бұрын
Tutakuwa na maombi ya kuwaombea kama tulivyofanya wiki chache zilizopita . Tunamwamini sana Mungu atawavusha tu kwa Neema yake.
@barakaboniface6921 Жыл бұрын
✌️ It's was wonderful
@sophialarsen1285 Жыл бұрын
😂😂
@sophialarsen1285 Жыл бұрын
Mlichezea maisha. Twanga ilikuwa zamani sio sasa. Choki wa kupiga mziki villa chooni Mwanza. . Kweli
@MussaSaponga Жыл бұрын
Tunapenda km ivi sio ukiingia KZbin unakuta live za kitambo tu
@rafikitv1 Жыл бұрын
Asante kwa kutembelea channel yetu na Karibu sana Mdau. fuatilia channel yetu zinakuja na Live za bendi nyingine nyingi tu.
@kwabikagwe8203 Жыл бұрын
R.I.P Adolph Mbinga😢😢😢
@rafikitv1 Жыл бұрын
Amen.. Apumzike kwa Aman.
@kwabikagwe8203 Жыл бұрын
Wapi Makabi Lilepoo
@samwelngatunga4786 Жыл бұрын
Rip banza stone
@MahizaHamis Жыл бұрын
🎉
@RafikimediaTZ Жыл бұрын
Zephania hapo ni Sinza kijiweni panaitwa Andrew Lounge. Twanga pepeta huwa wanapiga kila ijumaa kama sijakosea iyo ratiba yao.
@zephaniamayeye4902 Жыл бұрын
Erick magoa njoo unipe jibu uu Ukumbi mzuri wawapi huu na wanapiga lini na lini????
@zephaniamayeye4902 Жыл бұрын
Wapi hii wakongwe wenzangu wa twangapepeta live
@RafikimediaTZ Жыл бұрын
Zephania hapo ni Sinza kijiweni panaitwa Andrew Lounge. Twanga pepeta huwa wanapiga kila ijumaa kama sijakosea iyo ratiba yao.
@happinesspakoako5217 Жыл бұрын
Naunga mkono kufanya mitihani yote pale tu unapomaliza chuo
@JuliaTole-qd3fd Жыл бұрын
R I P
@fatumamfumia4507 Жыл бұрын
Sorry mama brian 😢
@MrishoGambo-xr4gy Жыл бұрын
Mama I polen Martin Kimasi
@jamesmndalila4848 Жыл бұрын
R.I.P MWANANGU
@agnesmgongo9825 Жыл бұрын
Poleni sana Mungu pekee akazidi kuwa mfariji. We love you our friend Reyna..❤❤❤ may you have strength in everything. Mama & Angel Kasaka & family we are praying for you and your loved family. 🙏
@gabjoni4306 Жыл бұрын
Poleni sana wafiwa
@ThomasLugayila-jk3hw Жыл бұрын
So sad, rest in paradise my young brother
@ednaleganga8657 Жыл бұрын
RIP😢
@wolfgangkingola7814 Жыл бұрын
Apumzike kwa amani mbele yake nyuma yetu
@lago237doul83 жыл бұрын
Rest in peace Beata Mubita, you use to call me in-law. Assia my freind assia Beata From Douala Cameroun. 😭😭😭😭😭😭😭😭 SO its True !
@Bint19713 жыл бұрын
Rest in heavenly peace Beata, candle in the wind gone too soon schoolmate 😭
@ninetteanahasieboucher57743 жыл бұрын
Rest in peace Beata😭😭
@zeinamkazi89013 жыл бұрын
Rest In Peace Beata😥
@esthermurasi63303 жыл бұрын
RIP Our friend Beata.
@hildalowasa33613 жыл бұрын
Raha ya milele umuangazie Eee Bwana, apumzike kwa Amani. Amen