Пікірлер
@jumamwita-dx1hs
@jumamwita-dx1hs 7 сағат бұрын
Daaa mbona umekatisha
@akothchristine4752
@akothchristine4752 7 сағат бұрын
Amiina glory glory hallelujah
@flm1530
@flm1530 8 сағат бұрын
Sylas tv MUNGU azidi kuktangulia videos zako za watumish wa MUNGU wa kwel has za mosses kulola zimesaidia wengi MUNGU azid kuktia nguvu ubaki kweny kupost neno la MUNGU
@NiniKiboko
@NiniKiboko 15 сағат бұрын
Ubarikiwe
@JamesMely
@JamesMely 18 сағат бұрын
Nabarikiwa na injili nikiwa nchini CHINA 🔥🔥
@SYLASSTV
@SYLASSTV 18 сағат бұрын
SAFI NDUNGUYANGU
@JamesMely
@JamesMely 18 сағат бұрын
Mathayo 15 13 Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa.
@RashidiHoza
@RashidiHoza Күн бұрын
Asante ila katiba
@anthonykiamanywa5201
@anthonykiamanywa5201 Күн бұрын
Naperuzi na kudadisi nijue mambo
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 3 күн бұрын
Mama analia kwa uchungu sana
@TelespholKimazi
@TelespholKimazi 3 күн бұрын
Bopa
@anisethmisana
@anisethmisana 3 күн бұрын
Ameeen
@SimoniMbela
@SimoniMbela 4 күн бұрын
Iman ulilinda
@MariaJohn-kl4fl
@MariaJohn-kl4fl 4 күн бұрын
Walifanya vizur sana 🙏
@BilhaElisha-h6f
@BilhaElisha-h6f 4 күн бұрын
namshukuru mungu kwakusiliza mtumishi wake na nimejifunza kitu ambacho sikujua shetani aliniteka kwanzia leo ameshiindwa kwajina la yesu kristo
@EstherNelson-y5o
@EstherNelson-y5o 4 күн бұрын
Awepo mwingine tena.apendavyo mungu
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub 5 күн бұрын
Pumzika kwa amani Baba yetu
@AMINASHABANI-vb6kx
@AMINASHABANI-vb6kx 5 күн бұрын
Wewe salima uyo mjamzito atakiwi kulia arafu yoko mwishon 8
@KisambuuMollel
@KisambuuMollel 6 күн бұрын
Hakika bado anaishi japo amekufa ukiwa kiroho anaishi mungu atusaidie amen❤
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 6 күн бұрын
Damu yake inalia aridhini ..."they murdered him".
@pungopungo411
@pungopungo411 7 күн бұрын
Wahaya ni hatari kuliko mchaga
@pungopungo411
@pungopungo411 7 күн бұрын
Kakutana na kigongo cha kabira
@pungopungo411
@pungopungo411 7 күн бұрын
Kione kinavyojibu Mali Mali wahaya na mali
@MtotoHumbi
@MtotoHumbi 7 күн бұрын
Yaan wat et mkavu unalia had unachoka
@WemaMwinshehe
@WemaMwinshehe 7 күн бұрын
Inauma sana pole wafiwa
@sarahmaro215
@sarahmaro215 8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ bsbangu huyu ambaye nimeokoka ktk mkutano wake ktk viwanja vya shule ya sec Uyui Tabora hadi leo sijaacha wokovu ❤
@barakaelias1116
@barakaelias1116 8 күн бұрын
Ameni Mungu aturehemu
@EliasRukayagana
@EliasRukayagana 8 күн бұрын
Whatsap
@JASTONMFUGALE
@JASTONMFUGALE 8 күн бұрын
Alikuwa kijana shupavu
@GivenessJohnson
@GivenessJohnson 8 күн бұрын
Ee Mungu naomba unisaidie🙏🙏
@GivenessJohnson
@GivenessJohnson 8 күн бұрын
Aliebaki kama wewe ni Christopher mwakasege tu😢
@HadasaGallant
@HadasaGallant 8 күн бұрын
Nikiskia mahubiri ya huyu baba nalia naingia kutubu kabisa Mungu awaguse weeengii waje wasikilize chakula hiki adimu kwenye makanisa yetu kwa sasa
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 9 күн бұрын
Familia yske huko Moshi nao pia wachunguzwe.Pengine kuna jambo gumu la kifamilia. Wachagga hovyo sana na wanapenda kujifanya kauzu kila December sio wote wanaoenda sikukuu wengine wanaenda vikao vy mafarakano. Mtoto mdogo huyo mnamtenga ili iweje? Eti mimi ni baba mdogo akina chami wengine wako wapi? Na kwanini ni Richard etter na sio Richard Chami? Mbona hataji nani kamtuma na pia baba na mama wa Dr wanapatikana wapi?
@rehemaathhmani357
@rehemaathhmani357 9 күн бұрын
R I P
@ERICAHMWAKILUNGU
@ERICAHMWAKILUNGU 9 күн бұрын
My lord my Good hakika injili yako ilikuwa upanga ukatao kuwili hakika ..roho yako i bado inaishi 2024
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 9 күн бұрын
Human naipenda sana hii kuitazama kikwete 🎉🎉🎉🎉
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 9 күн бұрын
Huyu kabadiri kitengo tu. Kuzimu ina ujanja mwingi. Kwa habari ya mafuta ya upako hamna kitu hapo. Hakuna sehemu aliyokiri kwamba alichoma moto madunguri.
@elaineeliudi2497
@elaineeliudi2497 9 күн бұрын
Ameen MUNGU ni mwaminifu sana .
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 9 күн бұрын
Hii siku siisahau niliinjoi sana 😅😅😅😅😅😅
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 9 күн бұрын
INASIKITISHA na inauma SANA
@OstakiaCornely
@OstakiaCornely 9 күн бұрын
Kijana mdogo maskini
@Rennyanselim
@Rennyanselim 9 күн бұрын
Huyu dada mjamzito sa mnataka azimie naye afe acheni unoko
@blackhood76tv
@blackhood76tv 9 күн бұрын
😂😂
@blackhood76tv
@blackhood76tv 9 күн бұрын
😂😂
@OfficialA83640
@OfficialA83640 9 күн бұрын
Kumbe hakuwahi kufunga ndoa dah huyo mtoto mama yake asimame kidete la sivyo Wahaya nawajua vizuri tu
@monicamassawe3435
@monicamassawe3435 9 күн бұрын
Co mhaya ni mchaga
@OfficialA83640
@OfficialA83640 9 күн бұрын
@@monicamassawe3435 Mwanamke Muhaya sasa unabisha nn marehem ndy Mchaga
@BinSultan-i8j
@BinSultan-i8j 9 күн бұрын
Tuko 2024. Mungu fundi
@kajoakother6041
@kajoakother6041 9 күн бұрын
kwani amuwajuwi wahaya kwamali
@GiselaMungereja
@GiselaMungereja 9 күн бұрын
Hamjawahi fiwa nyinyi asietoa machozi anaumia sana kwa wanaojua wanaelewa maumuvu aliyonayo ni makubwa sana, tumefikia hatua ya kuhukumu mtu kwa kumuangalia tu acheni hayo mambo.
@witnessmbilinyi3281
@witnessmbilinyi3281 8 күн бұрын
Yaani ambaye hatoi machozi anaumia zaidi maana maumivu hayatoki, ila watu hawaelewi tu
@dazuujuma778
@dazuujuma778 5 күн бұрын
Kabisa binafsi nikilia nahisi afueni
@sarahSavith
@sarahSavith 3 күн бұрын
Acha kabsa
@SalamaJuma-s8e
@SalamaJuma-s8e 9 күн бұрын
Mke wa marehem mkavu km hajafiwa uyo ndo chanzo cha kifo cha disimas
@joycemwankusye4872
@joycemwankusye4872 9 күн бұрын
Nyie nyie
@nadiatanzania
@nadiatanzania 9 күн бұрын
Alikuwa afe pia jaman ndio ujuwe kaumia 😮
@mwakasagule
@mwakasagule 9 күн бұрын
Baba yetu bado unaishi maishani mwetu. Sasa hivi Injili kama ya kwako haipo tena. Sasa hivi tunapambana na miradi ya dunia hii.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 10 күн бұрын
Safi sana baba mdogo wa marehem. Umesimama kwenye nafasi yako.