BONGO DRAFT:  ALY WHITE vs DESOUZA round 11
5:59
Пікірлер
@BobanKiko-d1j
@BobanKiko-d1j Күн бұрын
Simba akicheza na cr7 Yani ni yanga mtupu
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 5 күн бұрын
Jamaa kazingua ilikua goli angeenda kuomba kete ya meja
@saidkuwingwa485
@saidkuwingwa485 4 күн бұрын
Angeomba meja wa kete za rangi gani
@HafidhMwegio-yi6ix
@HafidhMwegio-yi6ix 5 күн бұрын
Lini ilikuwa mechi hii
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 10 күн бұрын
Madevu analipenda mno draft ila draft lenyewe halimpendi,maana sio kwa kibano hiko anachopewa😢
@charlesmaganga8430
@charlesmaganga8430 11 күн бұрын
Jenny anajitahidi
@jumamusa999
@jumamusa999 12 күн бұрын
Nakubali mgogo
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂jamaa anafikiria kabsa
@saidkuwingwa485
@saidkuwingwa485 15 күн бұрын
Noel tunakuheshimu kama umetaja kishabiki sawa ila kimichezo usimkosee heshima Ronaldo
@saidkuwingwa485
@saidkuwingwa485 15 күн бұрын
Umetaja kiushabiki ila ungekuwa mkweli bila ushabiki 01: Noel 02: Nduli 03: Ronaldo 04: sisco 05: Issa mamba 06: Dogo shuku 07: Dogo Ally 08: Dogo janja 09: Simba wa Dom 10: Dogo athumani
@MAURIDIIBRAHIMU
@MAURIDIIBRAHIMU 16 күн бұрын
Mbona mechi kati ya Nduli ndulima na Dogo janja hazijaisha
@EmmanuelEvarist-nj1kj
@EmmanuelEvarist-nj1kj 17 күн бұрын
Mwenye anajua app ya hii dalmax checkers, nipe maelekezo
@Until835
@Until835 21 күн бұрын
Changuchangu ana tambo saana 😆😆
@melkizedck
@melkizedck 22 күн бұрын
Hovyo kabisa. Yaan huyo white kapishana goli! hajui.
@charybdis8113
@charybdis8113 23 күн бұрын
Uwe unaweka toka mwanzo wa game
@Until835
@Until835 21 күн бұрын
😂😂ili iweje ??
@selemanajali6336
@selemanajali6336 27 күн бұрын
Jamaa Wa Arsenal analala sana
@jumamusa999
@jumamusa999 28 күн бұрын
Sawa tunataka mechi yake na cr7
@cliffgn2396
@cliffgn2396 29 күн бұрын
There is a timer set. Every player is afforded 70 seconds to make a move
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Ай бұрын
The red tshirt guy is too slow
@BrotherR9
@BrotherR9 Ай бұрын
Haijulikani nan mshindi hapo
@bruncejohn9904
@bruncejohn9904 Ай бұрын
SARE TU IO
@kalebulufyagila6416
@kalebulufyagila6416 Ай бұрын
Hao jamaa hawatambiani,, hadi linakosa ladha
@Seifbrown.ke.254-vo6zy
@Seifbrown.ke.254-vo6zy Ай бұрын
You should set up a timer. Guys are too slow
@kalebulufyagila6416
@kalebulufyagila6416 Ай бұрын
Sasa io camera ni kwaajili ya watu au draft hovyo kabisa
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee Paul bingwa draft baruti
@rasoolymsafi3896
@rasoolymsafi3896 Ай бұрын
Camera iko mbali
@AbduliMaulidi
@AbduliMaulidi Ай бұрын
Matokeo yalikuwaje, uwe unatujuza na matokeo boss
@EricGM47
@EricGM47 Ай бұрын
Sure
@charybdis8113
@charybdis8113 Ай бұрын
Ataharibi ladha. Hivi hivi
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Ай бұрын
Kabsa awe anaweka matokeo😅
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 Ай бұрын
Camera una kaa mbali sana
@lazaromshenzi
@lazaromshenzi Ай бұрын
janja kaz anayo anacheza na mtu atariiii
@lazaromshenzi
@lazaromshenzi Ай бұрын
mbona.mecho yao inacheleweshwa kutumwa
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee Paul bingwa wa draft baruti
@malietabonifas3058
@malietabonifas3058 Ай бұрын
Cameraman dah
@allysultani668
@allysultani668 Ай бұрын
John kipaji,dogo yasiini
@allysultani668
@allysultani668 Ай бұрын
Ally mzanza
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee paul bingwa wa draft baruti mtafuteni
@mbezasports
@mbezasports Ай бұрын
tunampataje
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Ай бұрын
Wanajichezea chezea tu bila kufikiria😅😅
@studio..07
@studio..07 Ай бұрын
Anawafunga wenzake kwa maneno
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee Paul wa baruti bingwa wa draft
@ThomasfrancisMvella
@ThomasfrancisMvella Ай бұрын
Hii mechi inaobekana mzee noel alishambuliwa sana....Full time ilikuwaje?
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Ай бұрын
Kwamba raundi zote hakuna mshindi?
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee paul bingwa wa draft ☠️☠️☠️😉king mafosi 🤑🤑
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 Ай бұрын
Jamaa ilikua amalize game kwa kumfungia king
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee paul wa baruti bingwa wa mafosi cio poa 🤲🙌🙌🙌
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee paul bingwa wa draft 😮 pale baruti cio poa
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee paul wa baruti ndo bingwa wa draft cio poa wanangu oa ehhhhb 😢🙌🙌🙌🙌🙌 mafosi mfalme
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzeee paul bingwa draft yupo baruti cio poa oa eehe eheee fosi kma zote 🤕🥶🥶🥶🥶🥶🥶🙌🤲
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzeee paul ndiye bingwa wa draft 👏👏🙌🙌kazi kazi bingwa wa mafosiii👹👹👹🤲
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee paul bingwa wa baruti 🙌🙌🙌🙌🙌bingwa wa mafosiiiiiiiii🥶🥶
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
Mzee paul wa baruti bingwaaaaaaaaa🙌🙌🙌
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Ай бұрын
12:40, CR vuta king hiyo peleka mpaka mwisho ili uvushe king nyingine, lilikuwa ushinde goli la kete tatu, kilaza wee
@andrewstyles2193
@andrewstyles2193 Ай бұрын
😂😂
@geofreymaneno5370
@geofreymaneno5370 Ай бұрын
Cr 7 hayupo kwenye orodha ya mabingwa wako?
@abdallahbaruani8596
@abdallahbaruani8596 Ай бұрын
Ongereni kwa kazi ya kutuonyesha mechi za draft,ila bado hatuoni vizur livuteni karibu