Thank you for the message, May Allah The Almighty bless you. We really have to adorn ourselves with all those six characters of people of Paradise
@AminaTanzaniaАй бұрын
Nawapata nikiwa omani wanakatoriki wenzangu poreni sana wakristu wezangu tushikuru katika jambo mungu ndio muweza wayote amina amina wana wa mungu
@AminaTanzaniaАй бұрын
Maisha haya ukiyatafakari unakaatuu unasubiria kifo sioni faida ya kutafuta utajiri
@lilianally67192 ай бұрын
✊✊✊
@Mkakafulani012 ай бұрын
🙏💪💪
@balthazarnyamusya2182 ай бұрын
Historia adhimu na adimu ya uhifadhi wa urithi adhimu unaoshikika na usioshika, unahamishika na usiohamishika ambao kimsingi jukumu hili hutekelezwa na Makumbusho ya Taifa . Karibu tujikumbushe histtoria ya uzalendo pamoja nasi
@24habari2 ай бұрын
Vitu adimu kupatikana sana kwa sasa. Keep it up guys
@RichardKiyenze-m2w2 ай бұрын
Kingkiba👑 ndan ya Kings👑 fm ni nzur sana hioo👏👏
@TariqTV-p5e2 ай бұрын
B2k mnyma sana
@EMMANUELGENERAL-n1r2 ай бұрын
👑🔥👑🎯🎯👑👑👑🔥🔥👑👑🔥🔥👑🎯👑🎯
@mtctz98442 ай бұрын
Hongera sana dada natamani kujifunza cofia ya cap nakupataje?
@NizaNizasanga2 ай бұрын
Pole
@mwalongojohnbosco67232 ай бұрын
Natamani Sana kusikia historia ya songea hususani wale viongozi Wao WA makabira kama akina songea mbano (machifu)
@ImmakulataNdewitso2 ай бұрын
Mm Ulaya unahamia kwetu. Tujiandae kwa mabadiliko ya tabia ya nchi. (Winter imechungulia kwtu.) Hata Kenya mwaka 2014 ilinyesha hivyo hivyo. Kwa hiyo tusiogope itapia ila inakausha mimea yote iliyoko maeneo hayo.
@valenakomba76862 ай бұрын
Hiyo ndo mvuwa inayonyesha ulaya marakwa mara. Ni bardienst tuu hilo . Pia ni mabadriko ya tabia ya nchii. Pia Mungu anataka kutuonyesha kwamba yeye peke yake ndo Mungu . Na anaweza akafanya lolote . Mungu ni Mungu tuu.
@KarimAbuu-p9q2 ай бұрын
Allah awaongoze
@SalomeChesco-q1j3 ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri mpendwa
@SalomeChesco-q1j3 ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri mpendwa
@SellemaniAthumani3 ай бұрын
Niko bbt naitaka mtambo wa zola
@iamnormal86483 ай бұрын
Tuwekee video kamili ya hizi nasaha za Mtaka. Huyu jamaa anakuwaga na maneno ya busara sana.
@rithaurassa3 ай бұрын
Habari ndio hiyo bila viongozi kukemea ushoga na ulawiti kila. Ck .haya maneno yanabakin hewani tuu hamna ufwatiliaji zaidi. Wanafamya hivyo ilituone haya yanayofanyika ni ya kawaida.mungu angilie kati.
@annomgaya74503 ай бұрын
😂😂😂😂
@ceciliamatiku4423 ай бұрын
Hongera sana binti, hawa ndiyo viongozi wetu wa kesho
@givenmsule68913 ай бұрын
Moshi kilimanjaro nawafuatilia kings 🤴 fm
@hekimamgina57063 ай бұрын
Top notch...! Open minded
@LilianKimambo-gg1do3 ай бұрын
More blessings my lovely girl ♥️♥️
@ChristopherCareen3 ай бұрын
imanni ww ndio mwanamke shujaa wahii generation nikipa nafasi ya kukupigia kura basi utpita bira kupigwa❤
@RichMotherr3 ай бұрын
❤❤❤
@NestorySanga-y2j3 ай бұрын
God bless kings fm
@rajabusanga7453 ай бұрын
Safi
@kibonaamenye68783 ай бұрын
hongera sana ndugu MENEJA IMANI, kwa kuifanya KING'S FM kusimama kama taasisi iliyo bora. hongera sanaa, nimekusikiliza kwa makini sana kunakitu kipo ndani yako Mungu akubariki sanaa ndugu MENEJA. OMBI kwa ndugu meneja, DODOMA ni soko kubwa sana kwa KING'S FM jaribu kulitazama kwa miaka ijayo. karibu sana posho city/capital city .
@drmethodtee7333 ай бұрын
Am super proud of you imani❤
@ugexclusive66743 ай бұрын
Nipo nakusklizaaa apaaaa
@gilibertmligo91753 ай бұрын
Sako kwa bako🤳💪
@deogratiusmgina24393 ай бұрын
Kifalme Zaidi
@tgwan3 ай бұрын
Jana Nilikuwa na Mwanangu mmoja Mtaani nikamwambia Msanii wa Kuimba Ukifika Media, Imba sana... Wakuchana Chana sanaaa... Ndio ninachokiana kwenye hasira Za Huyu Brother #TUSONGE 🙌
@tgwan3 ай бұрын
Mnyamaaa 🙌
@dignakanje45083 ай бұрын
Yaani mano yanumiza sna jmn
@dignakanje45083 ай бұрын
Hivi wanapata wapi hyo mianya yakufanya njombe ndio sebuleni kwao jmn.Mbona kma wanafanya kwakujuamini hivyo.Hao majambazi niwandani ama mipakani jmn.
@GCM474 ай бұрын
Watu wa uwemba😂
@FredymaswiMwita-oj6gv4 ай бұрын
mbona wachadema mnapiga hamuogopi haki za binaadam?
@FredymaswiMwita-oj6gv4 ай бұрын
jeshi la polisi kuna maswali meng😅kuliko majibu..hadharani mna ndimi mbili..kama wanasiasa
@RichardMadebe-f1m4 ай бұрын
Msilaumu police tatizo ni serikali huo ni mradi wa police kujipatia kipato hamjasikia kikokotoo? Hawalipwi madeni yao uhamisho posho za safari nk wafanyeje? Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake jamani
@FrederickThadeo4 ай бұрын
Chapa selikali imeshindwa wa na nchi tujilinde na wajinga
@simbarajabu41574 ай бұрын
Police wanakamata mahakama inawaachia
@faustinluambano29584 ай бұрын
Hii ni ushahidi kuwa sirikali iko bussy na fyama fya upinzani.