LUGHA 5 ZA MAPENZI
21:16
4 ай бұрын
WANAWAKE WASIOPENDWA #PART2
29:03
6 ай бұрын
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
SIFA YA MWANAUME KAMILI
9:55
7 ай бұрын
JE, UNATAKA MWANAMKE AKUTII.
5:31
FAIDA 7 ZA TENDO LA NDOA
9:20
9 ай бұрын
SIRI 3 ZA MAHUSIANO
22:06
9 ай бұрын
SABABU 3 ZA MWANAMKE KUKUACHA
12:56
HAKI YA MWANAMKE IKO WAPI?
7:19
10 ай бұрын
Пікірлер
@BeatriceChua-nf6ff
@BeatriceChua-nf6ff 9 сағат бұрын
Mm ajanambi ila ana nijimb majimb mabany
@mbekitv693
@mbekitv693 2 сағат бұрын
@@BeatriceChua-nf6ff pole
@KikuletwaPump
@KikuletwaPump 19 сағат бұрын
Da shukran brother
@mbekitv693
@mbekitv693 2 сағат бұрын
@@KikuletwaPump karibu sana
@delinevamwakapasa6948
@delinevamwakapasa6948 Күн бұрын
Ama unaongea wee Kaka tupone
@mbekitv693
@mbekitv693 2 сағат бұрын
@@delinevamwakapasa6948 asante sana😊🙏
@delinevamwakapasa6948
@delinevamwakapasa6948 Күн бұрын
Nimeshaelewa wanna Kaka etu ubarikiwe
@mbekitv693
@mbekitv693 2 сағат бұрын
@@delinevamwakapasa6948 vizuri sn kama umeelewa😊👏
@OdetteKahambu
@OdetteKahambu Күн бұрын
Ashuru sana kaka. Umenielimisha sana.
@mbekitv693
@mbekitv693 2 сағат бұрын
@@OdetteKahambu oh asante sana mpendwa
@kullwamaulid6295
@kullwamaulid6295 Күн бұрын
Shukran sanaa kaka hakika tunajifunza vitu vingi mnooo kutoka kwako..!! God bless u..!!
@mbekitv693
@mbekitv693 2 сағат бұрын
@@kullwamaulid6295 amina mpendwa🙏😊
@najmakinya8779
@najmakinya8779 Күн бұрын
😢😢Mimi sina lakusema naona yote
@mbekitv693
@mbekitv693 2 сағат бұрын
@@najmakinya8779 mmmh
@safiasuliman5136
@safiasuliman5136 Күн бұрын
Kwel kaka uongo mwing
@mbekitv693
@mbekitv693 Күн бұрын
@@safiasuliman5136 hakika, hivyo kuna haja yakuwa muwazi kuanzia mwanzo usingoje hadi penzi likafika mbali, “the point of no return” utajikuta uwezi kusema ukweli tena na athari zake ni mbaya zaidi.
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu Күн бұрын
Imenisaidia ila nilishawaza kabla yakuskia hii video ila skuwa na uhakika nawazo langu,ivi pia mwanaume anaweza kumuogopa mwanamke akijua uhalisia wake anapesa?😢na kwanini awe mbali naye wakat anaweza kumtoa kimaisha pia?
@mbekitv693
@mbekitv693 Күн бұрын
@@RaimamomedSaidi-wz1yu mwisho nilitoa mfano kuwa hadhi yako pia inaweza ikamuogopesha mwenzako na kuhisi thamani yake haiwezi kumudu uwepo wako kwake
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu Күн бұрын
@@mbekitv693 sasa ili kumuaminisha kuwa naweza kuwa sawa na yeye hata km ninakikubwa zaid yake,nimfanyie nini ili ajiamini?
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Күн бұрын
Namuona Nandi na billnas😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 Күн бұрын
@@shuwehaharuna6309 kivipi😀
@GraceSteven-qq5hn
@GraceSteven-qq5hn Күн бұрын
Asant
@mbekitv693
@mbekitv693 Күн бұрын
@@GraceSteven-qq5hn karibu sana mpendwa na uyashike maneno yangu
@IreneSantu-fd7kb
@IreneSantu-fd7kb Күн бұрын
Nakukubali sana Kaka Mbeki,Mungu akupe maisha marefu👍🥰
@mbekitv693
@mbekitv693 Күн бұрын
@@IreneSantu-fd7kb asante sana sana mpendwa nakukubali pia😊
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Күн бұрын
Asante kwa somo zuri🎉🎉
@mbekitv693
@mbekitv693 Күн бұрын
@@fathiyahmuzney7367 asante sn mpendwa yaweke akilini masomo haya.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 18 сағат бұрын
​@@mbekitv693Sawa😍
@SylvieSalma
@SylvieSalma Күн бұрын
Kweli kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 Күн бұрын
@@SylvieSalma hakika, hivyo kuna haja yakuwa muwazi kuanzia mwanzo usingoje hadi penzi likafika mbali, “the point of no return” utajikuta uwezi kusema ukweli tena na athari zake ni mbaya zaidi.
@aikamushi6334
@aikamushi6334 2 күн бұрын
Asante sana kaka najifunza kitu
@mbekitv693
@mbekitv693 Күн бұрын
@@aikamushi6334 good nafurahi kusikia hivyo😊👏
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
EBU NIAMBIE JE, HII VIDEO IMEKUSAIDIA?
@user-ei2ud7gh5h
@user-ei2ud7gh5h 2 күн бұрын
Japo mahusiano yetu ndo yanaanza tupo nchi tofauti lakin maswal yake ,mara unampango gan na mm, unanipenda, unampango gan baada ya kumaliza mkataba wako wa kaz, unampango gan baada ya kurud nyumban , mahar yako shingap , unapenda nn kutoka kwangu, hupendi kitu gan kutoka kwako waah mahusiano yangu yakwanza je huyu ni mwanaume anipendae , mwanzo wa 2019 tulikuwa tunachat nae ila nilikuja kumblock mwaka mzima tumeanza kuwasilian mwaka huu 2024 lakin pia kwa kile kipindi nilimblock aliseama nilikuwa nakupenda nilitaka kukuoa ila limeshakata tamaa .nilienda nyumbanTz sikumtafuta nimerud kazn ananiambi ohh ulikuja hukunitafuta nilitaka walau nikatoe kishika uchumba ila ndo hivy, nilikata tamaa ya kuoa na kuchukia wanawake , umebadilik sana ila ukibadilika nami nitabadilika aaa ninakaz yy bado anajitafuta ukwel sijui yupo kwangu for money nimsaport ama ni love but hayo maneno mara nipe muda baada ya miaka 4 utakuwa tayar kunivumilia jamannnnnn😂😂😂😂😂😂😂NISAIDIEEE MIMI JAMAN NIPONE
@EvePatrick-u7m
@EvePatrick-u7m 2 күн бұрын
Nijb kka
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@EvePatrick-u7m Nicheki whatsapp 0659152333
@EvePatrick-u7m
@EvePatrick-u7m 2 күн бұрын
Je mwanaume Ambye anakuambia wenzako wanajtaftia mavaz wenyewe na apo una kichnga hauwz ktafta n boraa
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@EvePatrick-u7m sijakuelewa
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 2 күн бұрын
Ahsante Shukran Wallah
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@jamilashabani8580 karibu sna
@rahmasuleiman7888
@rahmasuleiman7888 2 күн бұрын
Imenisaidia sana....
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@rahmasuleiman7888 woow vizuri sn👏
@user-yi5zm4bb3y
@user-yi5zm4bb3y 3 күн бұрын
Asante kaka wewe kweli ni mshauri mzuri barikiwa sana
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@user-yi5zm4bb3y asante sana mpendwa😊🙏
@deborakadhengi5771
@deborakadhengi5771 3 күн бұрын
Bro ni ukweli aky😢❤ yan mm nko na 4yrs kwa relationship na huy chali na wazaz wakipanga kitu mpk nijue na pia huy kjana pia,, juz kulikuw kuna plots flan zinatak kugawanwa baba vyaa akasema niambiwe na nipeane id no:😢🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@deborakadhengi5771
@deborakadhengi5771 3 күн бұрын
Aky niukweli mim nko kwa relationship kma hiy yan hta kma kunapangwa kitu lzma nkijue na wazaz wa kijana walimwambia kjana kma hutamuoa Deborah usilete mwanamke mwengine,, aky God awabless hao wazaz, mawifi na waume zang wadogo❤❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@deborakadhengi5771 Amen🙏
@FloridaTesha
@FloridaTesha 3 күн бұрын
Niunge kwenye group brother
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@FloridaTesha 0659152333
@Asiamachosefu
@Asiamachosefu 3 күн бұрын
Hata mimi niko najihakikishia kuwa maisha yangu bila yeye yataenda nikisha jihakikishia hilo tu , nampa amani yake naondoka , mana , hindoa kila siku mimi ndo nimekuwa naifosi idumu ila yeye , ana ,ipuzia kisa anajuwa nampenda , sasa ndo niko kwenye kujihakikishia maisha bila yeye nikiona naweza tu , nampa amani yake ,naondoka
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@Asiamachosefu ni changamoto kwakweli
@IsmailKajonjo
@IsmailKajonjo 5 күн бұрын
Manager dadaangu nyiny ndy tatz
@DavidMatambo
@DavidMatambo 5 күн бұрын
Brother ume bezz Santa kwa wanawake
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@DavidMatambo sawa kaka nitarudi na kwa wanaume.
@AyishaNyongore
@AyishaNyongore 5 күн бұрын
Mwanaume nae anulie mty Ake nguo jomoniiiiiiiiiii "
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@AyishaNyongore yes kweli
@DaimeryMahenge
@DaimeryMahenge 6 күн бұрын
Ubarikiw kaka angu ❤❤❤😢😢
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@DaimeryMahenge amina amina😊🙏
@DaimeryMahenge
@DaimeryMahenge 7 күн бұрын
Naomba niunge kwenye group kaka angu napata elimu kubwa sana kupitia mafunz yako 😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@DaimeryMahenge karibu sn 0659152333
@FrolaJoram-eg1ng
@FrolaJoram-eg1ng 7 күн бұрын
Asante 🎉🎉
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@FrolaJoram-eg1ng 😊🙏
@marylynliseche773
@marylynliseche773 8 күн бұрын
Ukweli kbs I salute you kaka😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@marylynliseche773 asante sana mpendwa😊🙏
@tatuathumani3822
@tatuathumani3822 9 күн бұрын
Ila sio msg ya pesa yaan aniambie nikutumie ktk namba ipi nisijibu hapana
@bettymariga
@bettymariga 9 күн бұрын
𝑾𝒐𝒘 𝒂𝒔𝒏𝒕𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒃𝒓𝒐 𝒖𝒔𝒉𝒂𝒖𝒓𝒊 𝒘𝒂𝒌𝒐 𝒖𝒎𝒆𝒏𝒊𝒔𝒂𝒊𝒅𝒊𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂❤
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@bettymariga ooh nafurahi sn kusikia hivyo😊👏🤝
@bettymariga
@bettymariga 9 күн бұрын
𝑨𝒔𝒏𝒕𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒌𝒂𝒌𝒂 𝒖𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊𝒘𝒆 𝒏𝒊𝒎𝒆𝒔𝒂𝒊𝒅𝒊𝒌𝒂
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@bettymariga Vizuri sn na ukafanikiwe 😊🙏
@AishaDady
@AishaDady 9 күн бұрын
Hakiyamungu umenipa some ambalo limetuliza moyo wangu ❤ asante kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@AishaDady Oh vizuri sana mpendwa😊👏
@NyangethaMissenye
@NyangethaMissenye 9 күн бұрын
Hakika nimejifunza jambo jipya
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@NyangethaMissenye nafurahi kusikia hivyo😊🙏
@NoeliaErnesti
@NoeliaErnesti 10 күн бұрын
Mimi hua nakaa kimya ikifika usiku saa tatu natuma mesg '"usikumwema aaawe hakubali anapenda kuongea na mimi usiku saana je ni sahihi?
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@NoeliaErnesti sijaelewa tatizo lako ni lipi hapo ni kutuma text au kuongea na simu🤔
@PhayJohn
@PhayJohn 10 күн бұрын
Nitafany hvyo kala nimependa up ushaur ❤ japo me natabia ya kumtafta sn mpnz wangu nitafnya Kama ulivyosema
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@PhayJohn fanya hivyo pale tu utakapoona yeye sio mtu wakukutafuta hadi umuanze wewe
@ConsolataFaustina
@ConsolataFaustina 10 күн бұрын
Dah ahsante sana kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@ConsolataFaustina karibu sana mpendwa
@Jokha1Jokha
@Jokha1Jokha 10 күн бұрын
Alhamdulilah mume wangu ananipenda
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@Jokha1Jokha mungu awabariki😊🙏
@AnishaEmmanuelKananda
@AnishaEmmanuelKananda 10 күн бұрын
Asante sana baba yangu hakika umenielimisha sana
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@AnishaEmmanuelKananda oh vizuri sna kama umeelimika😊🙏
@fatumakale7004
@fatumakale7004 11 күн бұрын
Shukrn kwa kutujuza megi 😂❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@fatumakale7004 karibu sn mpendwa😀
@EvelinJovian
@EvelinJovian 11 күн бұрын
Nimejifunzaa kitu apa kwakweli
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@EvelinJovian eti eh?
@user-hr7yp6yf1d
@user-hr7yp6yf1d 11 күн бұрын
We ni mwanaume kweli
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@user-hr7yp6yf1d eeeh😀
@user-hr7yp6yf1d
@user-hr7yp6yf1d 11 күн бұрын
Una akili sana
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@user-hr7yp6yf1d asante sn mpendwa😊🤝🙏
@ShubiraCostac
@ShubiraCostac 11 күн бұрын
Ongera sana sana kwa mafundsho yako, mi nimekuwa imala sana kupitia wewe,uwe na Amani ya BWANA,
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@ShubiraCostac wow nafurahi kusikia hivyo. Na uzidi kubarikiwa na masomo yangu😊🙏
@user-jb1fi5iq8g
@user-jb1fi5iq8g 11 күн бұрын
Ahsante kaka kwa ushauru mzuri nimejifunza kitu
@mbekitv693
@mbekitv693 2 күн бұрын
@@user-jb1fi5iq8g good nafurahi kusikia hivyo
@spreadlove5300
@spreadlove5300 11 күн бұрын
Yote haya hutegemea ntu na ntu 😢😢 ili mradi chunga isiwe one sided mapenzi