SUBSCRIBE YOUTU.BE CHANNEL SHILINGI AHMAD ONLINE TV.
@abuidifundi20162 күн бұрын
Hiyo ni khutba ya ndoa
@ahmedbadi58223 күн бұрын
Maa Shaa Allah sheikh Said anajielewa ki Ilmu
@shilingi-Ahmadi4 күн бұрын
SUBSCRIBE KZbin CHANNEL SHILLINGI AHMAD ONLINE TV.
@adageimalenge83945 күн бұрын
Shida mashekh wanaongea kwa mihemko na ndo mana wanajibiwa waz waz.
@athumanibakari-j6u6 күн бұрын
Shekh Muhammad,sijakuelewa
@shilingi-Ahmadi6 күн бұрын
@@athumanibakari-j6u Rudia mara ya pili kwa makini utaelewa.
@hamzaqaacm18693 күн бұрын
Njoo na bakora tukueleweshe kwa kuwa mwanafunz mwenye uelewa mgumu
@shilingi-Ahmadi6 күн бұрын
SUBSCRIBE YOUTU.BE CHANNEL SHILINGI AHMAD ONLINE TV.
@shilingi-Ahmadi6 күн бұрын
SUBSCRIBE YOUTU.BE CHANNEL SHILINGI AHMAD ONLINE TV.
@Mumewangu6 күн бұрын
Niliwahi kuongea kishki ana elimu lakin hana hekima na Busara. pia anatamaa sana ya pesa akipewa pesa za zaka anafanyia mambo yake tu
@BjleonardBhianda6 күн бұрын
Kama waislamu wao kwa wao wanaitana kafiri...nje ya uislamu si balaa zaidi..zamani niliamini waislamu ni wamoja na hawana kuitilafiana na kama wanaitilafiana basi wanastahiana...daaa ni nilifikiri tofauti kazi hipo!!..nilidhani kukosoana na kudharauliana ni kwa wakristo tu, nikasema sisi kwa nini tukose hekima na busara tunabalaa gani?...kumbe kote ni moto moto...Mfano dhehebu la shia toka Iran toka nikiwa mdogo nilifahamu ni waislamu kweli kweli...kumbe nao wanaitwa kafiri na waislamu was suni kwa kweli nilishangaa sana..katika uislamu baada ya kupita sana humu kwenye mitandao..kila dhehebu moja moja la kiislamu linaliona lingine si kitu.Nipo najifunza dini mbalimbali duniani je wanamitazamo gani,mfano Ukristo,Uislamu,Bahai,Buddha,confusion,Banyani, nk...miezi sita mwaka huu natizama uislamu. Kishk ni msomi wa kiislamu namfutilia sana na wengine pia, naokota vichache vinakaa kichwani.Na huyu kijana kutoka Kenya nadhani itakuwa Mombasa kwani Kiswahili kimenyooka vizuri,huyu kijana pia naona ni msomi wa dini vizuri,sasa hapo kazi hipo...Mimi bwana napenda kusikiliza midahalo mbalimbali kisiasa,kiuchumi nk....kina maruhumu shekhe Nyundo,shekhe Kipoozeo,Nassor Bachu,Othiman Maalim na wengine wengi, wote napitia kusikiliza.Ila Waislamu mna wasomi wengi sana wa dini..mnasoma kwa kina..in deep.
@shilingi-Ahmadi7 күн бұрын
SUBSCRIBE YOUTU.BE CHANNEL SHILINGI AHMAD ONLINE TV.
@HamidaMuhindo7 күн бұрын
May Allah have mercy on us Ameen Yarabbi 🤲🤲🤲🤲
@shilingi-Ahmadi7 күн бұрын
@@HamidaMuhindo Allahumma Aaameen
@AllyhHassani7 күн бұрын
Hii clip ya mwaka juzi
@AshuraKhamis-qv3ld8 күн бұрын
Ju nyotee nibinadam hakuna siyekoseya na hakuna mjuzi kwahiduniya ispokuwa Allah 😢😢😢Allah Akbar kuliko kutowa fatwazenu mshindwa
@AshuraKhamis-qv3ld8 күн бұрын
Jamanii mjifuze kuwa mnakosowa mashaikh😢😢mnachiya ayibu hata mbele ya Allah subhanallah kwani ukimfyata kwake utakuwanini mpaka Yani mjiwekee mtandaonii mumuogope mungu
@shilingi-Ahmadi8 күн бұрын
@@AshuraKhamis-qv3ld Ushauri mzuri ila kuna Ushauri mwengine huwa haufanyi kazi si kila utakayemfata ataelewa na akiri kosa lake
@GhGg-mc4qq8 күн бұрын
Allh atupe mwisho mwema tuzid kuswali jaman Dunia tunapita
@shilingi-Ahmadi7 күн бұрын
@@GhGg-mc4qq Allahumma Aaameen
@HuseniAbasi-c5c8 күн бұрын
Kishiki anapenda sana kusheki simuerewagi huyu jamaaa asari suni hawanaga adabu hawa
@MohamedibrahimMwatembo8 күн бұрын
Wewe kaka yangu kishiki angalie usije ukaupoteza uma wa kiislam mana yangu uanze kumtuhumu huyo mtoto kuwa sio sharifu wewe usije ukajikuta unaenda motoni hebu wasikilize walio kuzidi elimu wanasemaje kuhusu wasirat shafi mwisho utakuja kutuambia hata kumswalia mtume utatuambia haramu
@IDdiIddy-y3m9 күн бұрын
Duniani tunapita tusijisahau
@shilingi-Ahmadi9 күн бұрын
@@IDdiIddy-y3m Wallahi tufanye thwaa
@yacinigueh57249 күн бұрын
😂
@HASSANKOMORA-y6j9 күн бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu vipi hali. Samahani sheikh wangu afadhali ya huyu anajitahidi akizibomoa Allah amjazie kheri. Mtume aleihis swalatu was salaam amesema katika hadithi ilosimuliwa na mama Aisha Allah amuwie radhi . الماهر بالقران مع السفرة الكرام البررة. والذي يقرأ القرآن وهو يتتعتع فيه وهو عليه شاق له أجره مرتين..... متفق في صحته
@shilingi-Ahmadi9 күн бұрын
@@HASSANKOMORA-y6j Hujaelewa post nini?
@SAUDATISaid12 күн бұрын
Tuttbie kwa Allah kifo kipo jaman
@shilingi-Ahmadi7 күн бұрын
@@SAUDATISaid Allah atupe mwisho mwema.
@MoshoJr2812 күн бұрын
Mashaallah
@shilingi-Ahmadi12 күн бұрын
Karibu sana twaomba support yako kwa KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU
@shilingi-Ahmadi13 күн бұрын
SUBSCRIBE YOUTU.BE CHANNEL SHILINGI AHMAD ONLINE TV.
@shilingi-Ahmadi13 күн бұрын
Twaomba subscribe yako kutupa nguvu zaidi.❤❤❤
@shilingi-Ahmadi13 күн бұрын
SUBSCRIBE YOUTU.BE CHANNEL SHILINGI AHMAD ONLINE TV.
@Abubakarimgalu-f4w15 күн бұрын
Maashaallah Allah Aqbar
@shilingi-Ahmadi14 күн бұрын
@@Abubakarimgalu-f4w Shukran sana
@shilingi-Ahmadi15 күн бұрын
SUBSCRIBE YOUTU.BE CHANNEL SHILINGI AHMAD ONLINE TV.
@shilingi-Ahmadi15 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@MoshoJr2821 күн бұрын
Mashaallah
@shilingi-Ahmadi21 күн бұрын
Shukran tusaidie kwa kusubscribe insha'Allah kututilia nguvu.
@itsBattle-pj4yt21 күн бұрын
❤
@shilingi-Ahmadi21 күн бұрын
SUBSCRIBE KZbin CHANNEL SHILLINGI AHMAD ONLINE TV.
@shilingi-Ahmadi21 күн бұрын
SUBSCRIBE KZbin CHANNEL SHILLINGI AHMAD ONLINE TV.
@shilingi-Ahmadi21 күн бұрын
SUBSCRIBE KZbin CHANNEL SHILLINGI AHMAD ONLINE TV.
@shilingi-Ahmadi23 күн бұрын
Tutaanza kutoa darsa na wasia mbali mbali kwa waislam na wasiokua waislam ili tukasalimike kwenye maisha ya duniani na akhera.
@allysuleyman8506Ай бұрын
Mashallh
@shilingi-AhmadiАй бұрын
@@allysuleyman8506 Nahitaji dua insha'Allah
@HHh-ks7eeАй бұрын
thanks.
@shilingi-AhmadiАй бұрын
You're welcome
@dredboyАй бұрын
Mche mola wako
@shilingi-AhmadiАй бұрын
@@dredboy Shukran kwa wasia ila wasia kama huu uanze kwako wewe mwenyewe ndipo utoe kwa wenzio
@shilingi-AhmadiАй бұрын
Wewe jichanganye tu 😂😂😂😂😂😂😂
@HamadFakiOthmanАй бұрын
Hahahah😅
@shilingi-AhmadiАй бұрын
Aibu kubwa sana wallahi bachu 😂😂😂😂😂😂 tafuta mahala upumzike.
@hassanowgennogenno57402 ай бұрын
mashaAllah very good rebuttal.
@issaabdallah12052 ай бұрын
Gita na vinand ndo kazi yako dini si kazi yako
@issaabdallah12052 ай бұрын
Msanni anafany usanii wake. Mbele ya wasanii wenzake
@shilingi-Ahmadi2 ай бұрын
@@issaabdallah1205 Na mwenye kiburi unafanya kiburi chako
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Mnashangiria mazazi yamtu eeenh kunamoto mbele uko
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Mwafany mambi ambyo ata maswahaba hwajawahi kufnya unelimu ww kushinda maswahaba na tabiina mbona hwajwahi kufany huo uovu
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Jamii zmekabiliwa na majanga ya liwatwi nynyi mnakaa mnatowa hoja ambazo hmzitendei kzi
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Umesoma dini lkini hufanyii kzi yliomo ktika dini juwa kwamb mmbo mawili ymelaaniwa nyimbo na nai nynyi mnaimba mnpiga gitaa zumari nai khee vpi nynyi mbn mnavichekesho sana
@MuslimBakar-uf6xd2 ай бұрын
Shekhe gani msanii tu ww said
@inasrashidissanassor-pv7ur2 ай бұрын
M.bachu haja soma elimu yoyote, ila amesoma itikadi ya kiwahabi, kama angelikua na elimu asinge shindwa swala moja alio ulizwa mambrui na Ust.saidi na akaondoka mwenyewe.
@inasrashidissanassor-pv7ur2 ай бұрын
Cha dhamana ni kuadhimisha, sababu huwezi kumufwata usie mufahamu,ukiadhwimisha utamufahamu vizuri unae mfata, mume gonda na chuki yenu enyi mayahudi.