SARATANI YA UUME
7:04
3 ай бұрын
Пікірлер
@Mchitaman-vs1lc
@Mchitaman-vs1lc Күн бұрын
M natumia Viagra
@Mchitaman-vs1lc
@Mchitaman-vs1lc Күн бұрын
M kweli natumia Dr,nisipo tumia nikiingiza tu namalaza sasa nifanyeje Dr,na ninashida ya pressure nana miaka 38 na nisipo tumia uume hausimami vizr na nikiingiza tu,hat nusu dakika haishi nimemaliza nifanye nini, naomba msada
@nkungumajira3108
@nkungumajira3108 2 күн бұрын
😮
@SalmaMoris
@SalmaMoris 5 күн бұрын
Mfano umepima ukimwi
@neemamroso6864
@neemamroso6864 7 күн бұрын
Dr kuna uhusiano wowote huyu mdudu na kujaa acid tumbon?
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 8 күн бұрын
Mbona tunaambiwa inasababisha magonjwa ya moyo
@PruchelyJohn
@PruchelyJohn 8 күн бұрын
Dr. hyo njia ya vidonge vya majira kwa kila siku ikitokea siku moja ukasahau kumeza unaweza kupata mimba pia🙏
@changanyikenitv5163
@changanyikenitv5163 9 күн бұрын
Asante kwa elimu Bora
@SymonAaron
@SymonAaron 11 күн бұрын
Why us like plo lumumba
@fabrianjr9163
@fabrianjr9163 12 күн бұрын
Dokta hongera kwa kutoa elimu na.kusaidia jamii naomba utuandalie somo linalohusu tatzo kutokwa damu puani na matibabu yake
@OtmariChiweka1999
@OtmariChiweka1999 12 күн бұрын
🙌
@SalamaMohammed-z6j
@SalamaMohammed-z6j 13 күн бұрын
Nini madhara ya acid tumboni
@EsterMoto-l3h
@EsterMoto-l3h 3 күн бұрын
M mwenyewe ninayo hiyo shida naomba namba yako nateseka sana na hiyo shida
@AshaKarimu
@AshaKarimu 15 күн бұрын
Mimi napata shida sana nakuwashwa koo
@doktamathew
@doktamathew 15 күн бұрын
Whatsapp 0759710680
@nzellahhamis1504
@nzellahhamis1504 16 күн бұрын
Baada ya kuwa na maumivu kifuani, kiuno, viungo, uchovu, Nilipima last two weeks nikaambiwa Nina vidonda vya tumbo na vimeonekana kwenye choo na sio kwenye damu. Nimepewa dawa inaitwa KIT FOR H PYLORI. Na maelekezo ya Dr amesema Bacteria huyu sio vidonda vya tumbo. Swali langu ni: KIT FOR H PYLORI ni dawa ya huyu Bacteria au ni dawa ya vidonda vya tumbo?
@stevenfrank6401
@stevenfrank6401 17 күн бұрын
👍
@HajrahRamadan
@HajrahRamadan 19 күн бұрын
Dr, uko wapi na namba zako za simu mm hizo dalili ninazo
@doktamathew
@doktamathew 19 күн бұрын
Whatsapp 0759710680
@godyshayo9984
@godyshayo9984 20 күн бұрын
Kama una vidonda vya tumbo unaweza kunywa kahawa
@doktamathew
@doktamathew 20 күн бұрын
Usitumie
@japharingove4714
@japharingove4714 25 күн бұрын
Saf sana cheaf nimepata shule kubwa
@GenesMatei
@GenesMatei 25 күн бұрын
Mtu akinywa maji ya glucose kila siku Kuna shida docta?
@doktamathew
@doktamathew 25 күн бұрын
Atapata kisukari
@stevenfrank6401
@stevenfrank6401 25 күн бұрын
Shukrani dokta. Ubarikiwe
@RehemaMaliki-q6n
@RehemaMaliki-q6n 26 күн бұрын
Jamn mim nina shida doctor naomba namba
@doktamathew
@doktamathew 26 күн бұрын
Whatsapp 0759710680
@gladnessterry8430
@gladnessterry8430 26 күн бұрын
Usiku ninateseka sana doctor
@doktamathew
@doktamathew 26 күн бұрын
Whatsapp 0759710680
@DelAdry
@DelAdry Ай бұрын
Dr ikitokea mama anatumia kitanzi then baada ya miezi kama nane hivi anakosa period, ushauri wako ni upi kwa mtu kama huyo Dr?
@doktamathew
@doktamathew Ай бұрын
Tazama mpaka mwisho nimeeleza
@atuganilemwanyasi6058
@atuganilemwanyasi6058 29 күн бұрын
Asante sana kwa Somo zuri hakika nimeelimika🙏🙏
@karim6964
@karim6964 Ай бұрын
Doctor Asante Kuna Elim nimepata hapa
@arishimosha6455
@arishimosha6455 Ай бұрын
1:50
@benjaminmlaghila5453
@benjaminmlaghila5453 Ай бұрын
❤ napenda sana kazi yako
@SangaJ-l4z
@SangaJ-l4z Ай бұрын
Sawa doctor tunashukuru
@doktamathew
@doktamathew Ай бұрын
🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@fathefirst1935
@fathefirst1935 Ай бұрын
Keep up the good work Daktari. Umekuwa msaada sana kwa jamii
@doktamathew
@doktamathew Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@Zamdaification
@Zamdaification Ай бұрын
Nimekuelewa ...hizo dalili nyinyi nimeziona kwangu
@Zamdaification
@Zamdaification Ай бұрын
Hongera Dr Kwa kusaidia jamii juu ya afya
@HeroBusy
@HeroBusy Ай бұрын
Mungu na akawafiriji na MUNGU atupganie, kuna watu wanaotamani kuangalia afya zao ila hawana pesa
@Mpemba-n4y
@Mpemba-n4y Ай бұрын
Dokta na omba namba
@doktamathew
@doktamathew Ай бұрын
0759710680 Tuma ujumbe whatsapp
@MariyamOmar-lx4ez
@MariyamOmar-lx4ez Ай бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakaatuh mmi naumwa sana walai nikona miaka 14 kwa kitanda sijawahi kusikia nafu tumemaliza pesa zote niko Mombasa Kenya🇰🇪 nilikuja mpaka Tanzania nikaja kwa shekh maikol huku niko Kenya niliwahi kuenda mahispitali mengi mengi sijawahi pona kabisa hata sai niko kwa kitanda watu wamechoka na mmi siwezi hata kazi yoyote ele kwa Nyumba pia naona nikama nasumbua sana nimechoka sana mimi usiku naona pumzi zina goma
@doktamathew
@doktamathew Ай бұрын
Habari.pole sana kwa unayoyapitia.tafadhali niandikie ujumbe whatsapp 255 759 710 680
@kenedyandrew107
@kenedyandrew107 Ай бұрын
Doctor hongera kwa kazi nzuri nimekua mfatiliaji sana na tips zako
@SalimaJaphary
@SalimaJaphary Ай бұрын
Mungu akulinde dr
@charlesmollel1845
@charlesmollel1845 Ай бұрын
😊8t
@najmaulaya2261
@najmaulaya2261 Ай бұрын
Dr upo maeneo gani nasumbuliwa mimi nimemaliza hospital lkn tatizo bado koo linaniuma halafu kama kunakitu kinakwama na sauti inakua inakwaruza naomba nisahidie
@doktamathew
@doktamathew Ай бұрын
0759710680
@hamadkimaya2564
@hamadkimaya2564 Ай бұрын
Chakwanza anza kulalia mto ili acid isirudi kooni. Ndani ya wiki moja - mbili koo lako litaanza kukaa sawa. Hali ya kukohoa ili kurekebisha sauti/koo itaacha
@ashadanga6470
@ashadanga6470 Ай бұрын
Mimi nimepjmwa nina vidond vya tumbo ila nimepewa dawa inaitwa kit for pylori Je ni sahihi na dalili zote hizo ninaz
@doktamathew
@doktamathew Ай бұрын
0759710680
@benjaminmlaghila5453
@benjaminmlaghila5453 Ай бұрын
Asante sana Dr mimi nimeogopa sana maana ninatatizo la choo cheusi
@glorymamkwe4360
@glorymamkwe4360 2 ай бұрын
Asante dr kwa elimu
@AminalubadiliLubadili
@AminalubadiliLubadili 2 ай бұрын
Tutumie namba zako ututumiie
@doktamathew
@doktamathew 2 ай бұрын
0759710680
@MariyamOmar-lx4ez
@MariyamOmar-lx4ez 2 ай бұрын
Salam aleikum mmi naumwa Sana Na dalili zoye nikonazo nimepewa madawa but Basi sijapona
@doktamathew
@doktamathew 2 ай бұрын
0759710680
@ramadhanimaulid-gm3cp
@ramadhanimaulid-gm3cp 2 ай бұрын
Mambo vip
@MohamedMohamed-hu3on
@MohamedMohamed-hu3on 2 ай бұрын
hujataja ndizi dr.. inamaanisha ndizi hazina tabu?
@gaudencemassawe2738
@gaudencemassawe2738 2 ай бұрын
Napataje tiba ya Acid doctor
@doktamathew
@doktamathew 2 ай бұрын
0759710680
@sinaichristian8365
@sinaichristian8365 2 ай бұрын
Inapendeza zaidi
@TertulaDonath
@TertulaDonath 2 ай бұрын
Sawa dokita
@mohammedjmo3596
@mohammedjmo3596 2 ай бұрын
Nmekuelewa vizur sana dokta asante
@AshaChanzi
@AshaChanzi 2 ай бұрын
Dokta unapatika wap kwa dar es salaam
@staraamr2770
@staraamr2770 2 ай бұрын
True doctor...most ladies do fake reaching orgasm...ni waongo na wanazidhulumu nafs zao.. Wewe kama mwanamke ujue mwili wako ukoje na unataka nini...afu communicate to your partner acha uoga acha kuona aibu... Wanawake wengi hawafikii mlima kitonga 😂😂😂