Kungwi nae kaachika mara ya saba na bado anaendelea na kazi yake 😅
@miszsalha52365 күн бұрын
Hao wanga leta shk na watoto wasome kisomo na pia kila siku kwenda kulala weka full quran.pia salt nizuri weka mlango.what I know ukiskia MTU calling don't look behind soma quran
@marwamairabe22827 күн бұрын
Dada Sabrina huko juu zaidi tena zaidi,,,,endelea kutupa elimu ya afya ya ndoa💐💐🌹🤝💐❤️
@marwamairabe22827 күн бұрын
Kwa kweli wewe zaidi ya makungwi wote ambao nimewahi kuwaona,,,,uko juu zaidi,,,uko juu zaidi,,,, hongera sana❤❤
@marwamairabe22827 күн бұрын
Kwa kweli wewe zaidi ya makungwi wote ambao nimewahi kuwaona,,,,uko juu zaidi,,,uko juu zaidi,,,, hongera sana❤❤
@wizzoally83547 күн бұрын
Nakutaka
@user-gq8dc4jy5p8 күн бұрын
Mguu umeinua advertise 😂😂😂
@user-dl3ep1ow3y8 күн бұрын
U DONT HAVE CLOATH LOOK UR SELF ARE U ISLAM LADY NO SHAMEFUL 😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂
@user-dl3ep1ow3y8 күн бұрын
ARE U OKAY ARE U ISLAM ☪️ U RESPECT UR SELF DONT TALK BAD WORDS I THINK U ARE CRAZY U THINK WHAT ARE U TALKING IS GOOD NO U CRAZY 😂😂😂😂😂😂😂
@alisalim78688 күн бұрын
Wacha hayo mawaidha madam Tafuta chaku zungumza unaushusha hadhi uisilamu wwe Wacha hiyo mambo kama waitaka Pepo
@alisalim78688 күн бұрын
Wacha hayo mawaidha madam Tafuta chaku zungumza unaushusha hadhi uisilamu wwe Wacha hiyo mambo kama waitaka Pepo
@user-es4uf6gj7u12 күн бұрын
Bila ya kuku sikiliza nimesha kuona una laaana
@SABRINAWANGECI12 күн бұрын
Sasa ushajua hilo skiza alafu ujione shoga
@user-wp8yk6ow8h15 күн бұрын
Lkn jee ww ukojeeee?????
@user-wp8yk6ow8h15 күн бұрын
Apo umesema❤❤❤
@badarahmed186116 күн бұрын
Ungelifanyiwa zunguo la wangazija 😂 weka surat Albaqara ... kwa KZbin kuna ruqya nzuri nzuri weka
@SABRINAWANGECI16 күн бұрын
😂😂😂😂😂 ndio lipi hilo la tuputupu? Naweka daily
@badarahmed186116 күн бұрын
Nzuri sana my sister ... watahama wote coz huwa yawaunguza .... kisha ita mwalimu asomee maji yenye utarusha rusha kwa corners zote za nyumba kama kuna sihri au kitu umefanyiwa itachomeka na kuvundika plus avoid too much music na pictures za wanyama na binadamu na masanamu kwa nyumba @@SABRINAWANGECI
@badarahmed186116 күн бұрын
@@SABRINAWANGECI la matwari
@sadufadhil330416 күн бұрын
Mawaidha mazito. Kwelii kabisaa nakuungaa mkono.
@ShariffOmar-p8g18 күн бұрын
Asante mgiriama wangu niandalie ugeni nakuja kuchukua mwari mmoja huko lamu😂
@SABRINAWANGECI16 күн бұрын
Ukifika lamu wasalimie
@sarafinahprince426519 күн бұрын
Yeah 💯
@NkebwaAman21 күн бұрын
Plz naomba tafsiri ya lolo ni nini ?
@NkebwaAman21 күн бұрын
Hongera saana mumeo ana faidi kweli kweli utamu.
@esmaelinhoharnandez447921 күн бұрын
Ririririi
@user-jz3lh1st1j22 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SaidaAli-kr3biАй бұрын
❤❤❤❤
@user-sv7hw8cw1kАй бұрын
Point
@SaidaAli-kr3biАй бұрын
Real my dear❤❤❤❤
@missmannydxbАй бұрын
Kenya wametapa wa kuwafunda, Hongera Sab somo nzuri msahallah 😊
@ladytya9323Ай бұрын
We aje azichukue pesa kwenye benk ahonge 😅😅😅😅
@badarahmed1861Ай бұрын
Kuna ile stage yaitwa umeolewa kwa hamu ukawatwa mwaka jana .... uliza akothee atakwambia
@SABRINAWANGECIАй бұрын
Komaaaa😂😂😂😂😂😂😂
@badarahmed1861Ай бұрын
@@SABRINAWANGECI hahahahaha 🤣😂😂😂
@badarahmed1861Ай бұрын
Riririririiii
@esmaelinhoharnandez4479Ай бұрын
Ririririiiii
@BilluAmourАй бұрын
Umesema kweli kbx Sabina
@labunaabouna6122Ай бұрын
Yule ndio kazi pale na ndio unamuona sio mtoto mdogo ndio vle kazi yake yule bint ila bubu tik tok ni sawa abisa kakosea
@itsmimi4135Ай бұрын
Riririririririr ❤❤❤
@SABRINAWANGECIАй бұрын
🥰🥰🥰
@AbdallaSaleh-g8oАй бұрын
Ww acha ujinga
@AbdallaSaleh-g8oАй бұрын
Ww acha ujinga
@AbdallaSaleh-g8oАй бұрын
Ww kwako unafanya
@villytotostv7442Ай бұрын
Just came across this channel nacheka yangu yote nime subscribe na nika ring bell
@akidaSalomeАй бұрын
Hii nayo kali
@SaidaAli-kr3biАй бұрын
😂😂😂😂
@tophie_pia8724Ай бұрын
Naona nikikutafuta kabla ya kuoleka
@JasminAbbas-of2fs2 ай бұрын
Uishi miaka mingi dada 1 ❤❤❤
@awatifalghanim11062 ай бұрын
Mashaallah kwanza umependeza Mungu akuhifadhi ❤ wallah unatuchekesha 😂😂😂 kweli siyo lazima marafiki….
@SABRINAWANGECI2 ай бұрын
Asante🥰
@salojaanbaloch2 ай бұрын
Sawa saws
@salojaanbaloch2 ай бұрын
You are right for what you are saying 👍👍👍👍👍
@aminaabdulghanim82562 ай бұрын
Sabrina hii post unge post mapema ungekuwa umeniokoa.
@SABRINAWANGECI2 ай бұрын
Ni wewe ndio umechelewa kuona
@user-zq5ld5px6u2 ай бұрын
umekosa kazi wee Mama,, kaa nyumbani ulee watoto................
@SABRINAWANGECI2 ай бұрын
Mama ni mamako alokuzaa na mkundu asouosha
@mataypanga5262Ай бұрын
Mbona una matusi😂@@SABRINAWANGECI
@SamirazizuZizu2 ай бұрын
Your videos are really useful ukiskizwa kwa umakini, I've really learnt alot through your videos .Thank yuuuuu and Keeping Going❤