Пікірлер
@CelvineFloriani
@CelvineFloriani 11 сағат бұрын
Mimi ninayoo erf m❤❤❤❤🎉🎉🎉
@CelvineFloriani
@CelvineFloriani 11 сағат бұрын
Mimi hp carevisi ❤❤❤❤
@wesleydeniskiruimusic3559
@wesleydeniskiruimusic3559 20 сағат бұрын
Waah
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Күн бұрын
Walioko madarakani wajibu hizi shutuma. Je ni kweli yasemwayo?
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m Күн бұрын
Ni ukwelu usiopingika inakuja tz haikwepeki .wala katiba hatutaiangalia kwa njaa hiiiii
@mariamdzame
@mariamdzame Күн бұрын
congratulations ❤❤
@salmabasil385
@salmabasil385 Күн бұрын
Na sio babu Amra ni babu Amara doh
@salmabasil385
@salmabasil385 Күн бұрын
Fanya research kabla hujaongea Paula sio bint wa kwanza wa majani kuna Patricia kabla ya paula
@GossipCourt
@GossipCourt 2 күн бұрын
✅✅✅✅✅
@benjamalila9942
@benjamalila9942 3 күн бұрын
Safi
@user-oz7qs3xt6t
@user-oz7qs3xt6t 3 күн бұрын
Amen
@user-wi6oo9gu5n
@user-wi6oo9gu5n 4 күн бұрын
Walai hiii nayo ni ukweli kabisaaaaa
@user-ug1jf5br2q
@user-ug1jf5br2q 5 күн бұрын
Kaka nipe njia namm mimi ninayo herufi m irasina maisha
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 5 күн бұрын
Mbowe hata miaka 50 aongoze mpaka tupate ukombozi kama mandela
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 6 күн бұрын
Wapigania uhuru hawabadirishi mwenyekiti
@GloriaMunezero-qk8pz
@GloriaMunezero-qk8pz 7 күн бұрын
Kl gee❤❤❤❤
@joshualusato2099
@joshualusato2099 8 күн бұрын
Hugo Hanna kitu halo na wewe unapoteza muda kwa kuptosha jamii
@JosefuSwai
@JosefuSwai 10 күн бұрын
Iko wazo chadema ni chuo Cha wanasiasa njooni ccm mchukue wahitimi wapo wengi sanasana
@PremicePaluku-ff6fr
@PremicePaluku-ff6fr 10 күн бұрын
Mimi nina hiyoo erufi m katika mikono yangu yote asante nina imani mungu ipo siko ata nitajirisha Katika njia zinazo mfurahisha asante
@fuadaladawi1255
@fuadaladawi1255 10 күн бұрын
Go boy go, Obama weating you mayami
@fuadaladawi1255
@fuadaladawi1255 10 күн бұрын
Ibra is great
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 11 күн бұрын
Mzee ni wazi mbowe ni Mwenyekiti wa milele
@gangan4618
@gangan4618 11 күн бұрын
Chadema ni lichama Imara sana TENA SANA.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 11 күн бұрын
Na hiki Chama kinaendelea kusimama imara. Mungu awatangulie
@gangan4618
@gangan4618 11 күн бұрын
Kweli Kamanda Mbowe ni Mwamba. Pamoja na Chuma "LISSU" Tunauona ukombozi wa TANGANYIKA HATIMAE TANZANIA ILIYO BORA ZAIDI. Well said Kamanda, Viva kamanda viva.
@swedystar7970
@swedystar7970 11 күн бұрын
Swedy star 💫 From Us amissi Kamanda 🎉🎉🎉🎉🎉
@user-hr9ol5we9y
@user-hr9ol5we9y 11 күн бұрын
Dear God, let your will be done, I'm just a piece of clay but you are the potter 🙏🙏
@WinfredNdunguru
@WinfredNdunguru 11 күн бұрын
Sawa umejuaje
@neemanziku5403
@neemanziku5403 12 күн бұрын
Kupitia msigwa imenifanya nisimwamini mtu,kweli msigwa Ni msaliti
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 12 күн бұрын
Baba imeongea vizuri sana
@user-zi4et6uz2u
@user-zi4et6uz2u 12 күн бұрын
That's true
@bonifacemwanga3115
@bonifacemwanga3115 12 күн бұрын
Msigwa kuwa makin, wakishakutumia wanasep na ww huna mahal pakutua wakt utaongea
@bonifacemwanga3115
@bonifacemwanga3115 12 күн бұрын
MSIGWA UMEAMUA KURUDI (MISRI) umerudi utumwani je utakuwa na ujasiri wa kukibadilisha CCM MAFARAO hawatakuacha, historia inaonyesha ukila matapishi lazima utaarisha/tumbo litakuuma, wakat utazungunza
@camilomassao8971
@camilomassao8971 13 күн бұрын
Mbona ccm walianzaga kampeni za Magufuli wa Milele? Wanahoji vipi ya CHADEMA ? Hizo ni politics, Mbowe songa mbele
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 11 күн бұрын
Mungu aendelee kukulinda mwamba wetu❤
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 13 күн бұрын
❤❤❤❤ chadema ndo talajio la wengi kuondoa umaskn maana ccm wemesalit ichi yetu ccm kimekuwa chama cha mabepali mabebelu
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 13 күн бұрын
❤❤❤❤ chadema ndo talajio la wengi
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 13 күн бұрын
Sisi hatuna shida lakini mbowe ni mvumili ila tunamuitaji lisu kuwa raisi ktk taifa hili ili sishooshe nchi bila kuangalia sura za watu aangalie sheria tuu hatutasema kuwa ilipize kisasi hapana Bali sheria
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 13 күн бұрын
Ccm Wana Wana siasa wazuri tuu shida ni sheria hazifuatwi sio kwamba ccm Haina Wana siasa wapo wana siasa wazuri wenye mvuto elimu kubwa wenye PhD shida ya ccm uongo kwa sababu wapo kina bashiru makonda na wengineo ndani ya ccm mm siamimi kuwa ccm Haina Wana ccm wazuri hapa wapo chadema inasimamia haki huo ndio uzuri wa chadema
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 11 күн бұрын
Vipngozi wote Chadema ni wazuri na wanaweza kuongoza nchi hii kwa haki na utulivu na pia kwa demokrasia endelevu
@coolruler6820
@coolruler6820 13 күн бұрын
Sijaona wa kumfananisha na mbowe kwenye upinzani, amejaa utulivu, hekima na ni mpends amani na ni mtu asiyeyumbishwa na asiyekata tamaa. Hata wanaomsema kuwa chama ni chake acha wamseme kwani anastahili kuwa kiongozi hadi pale chama kitakapotimiza ndoto ya kuishika dola.
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 13 күн бұрын
Demokrasia ni kura Wanachama wakichagua kiongozi yuleyule ni demokrasia haijalishi ni mara ngapi kiongozi yuleyule atachaguliwa .
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 13 күн бұрын
❤ Yaani umesema kweli kabisa. Mimi ni zao lako la kwanza diwani mwanamke wa kuchaguliwa ktk jimbo la Kyela na kanda ya Nyasa. Asante Mungu akubariki na kukulinda mwenyekiti wangu 2015.
@bulayamoffatmwmbilu5750
@bulayamoffatmwmbilu5750 13 күн бұрын
Mbowe msimamo.Wasaliti wrote wataondoka ili wabaki wanamageuzi
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 13 күн бұрын
Mzee tuko nyumayako
@ZahoroIdrissa-s6k
@ZahoroIdrissa-s6k 14 күн бұрын
Swaga za uongo tu izo
@mertus.nestory.bishirangon4624
@mertus.nestory.bishirangon4624 14 күн бұрын
Good
@SirajiHamis-pc1kh
@SirajiHamis-pc1kh 14 күн бұрын
Mzee uko vizuri sanaa ❤
@simpsonisoe8994
@simpsonisoe8994 14 күн бұрын
Msingwa ameniangusha sana,nilikua na muaminisana ki sisiasa ,mudooomoo tu ,njaaa kamupeleka ccm
@rwakyenderajulius3861
@rwakyenderajulius3861 14 күн бұрын
Busara
@judicatendengerio-ndossi1583
@judicatendengerio-ndossi1583 14 күн бұрын
Washindani hutumia walinzi au watu wakaribu nae Kiongozi wa juu kummaliza. Lilitokea kwa wafalme, manabii na viongozi wengine. Nixon alisemaga Kila mtu anauzika mradi ufike bei. Maisha ni mafupi wacha anaejiuza ajiuze. Muulizeni aliyebomoa madanguro kinondoni alifanikiwa? Si bado wapo? Siasa ni hivyo hivyo. Kisa cha Shakespear na Brutus Brutus ni hikihiki.
@ErickBaraka-n7f
@ErickBaraka-n7f 14 күн бұрын
Safi mwanangu
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 14 күн бұрын
Chadema lazima kusimama imara. Msisikilize maneno ya watu. Hao wanataka kukidhohofisha chama. .Mawazo yenu ndo sahihi.