Penzi la Masai na mzungu - ESEPATA
10:33
Пікірлер
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 4 сағат бұрын
Jamaa nondo sana.
@RashidGhalib-r8w
@RashidGhalib-r8w 6 сағат бұрын
Asante team madindotcom Kwa taarifa na maarifa
@salumadam2862
@salumadam2862 7 сағат бұрын
😢😢😊
@bethkonga7944
@bethkonga7944 11 сағат бұрын
Kumbe malekani kuna rushwa kubwa hivi
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 11 сағат бұрын
Yap nipo hapa kwa wakati kupata madin kwa rugha furani hivi ya unyamwezi wajanja ndio tuna muerewa raz
@kassimbayuu
@kassimbayuu 11 сағат бұрын
Shukrani sana
@user-zk5wp6en8q
@user-zk5wp6en8q 12 сағат бұрын
Uongo huo
@user-ru4pq6ml2m
@user-ru4pq6ml2m 12 сағат бұрын
Jitahidini kupandisha kwa wakat iz za laz mtamadun...uwa tunazsubil sna
@madinidotcom
@madinidotcom 12 сағат бұрын
karibu, usijali.
@davidsimlembe2834
@davidsimlembe2834 Күн бұрын
Haaa haa 😅😅😅
@luganomasebo6606
@luganomasebo6606 Күн бұрын
Gidion naomba video zako ulizosimuliaga kuhusu vita vya Rwanda mauaji ya kimbali vzilikuwa nne naziomba
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 2 күн бұрын
Daah !! Fortunatus Umenikumbusha mbali san hapo kwenye Mahali pasipo na daktari. Mama angu alikuwa na Hichi kitabu home na ndo kili nispire kuwa na interest na Science now ni Mpharmasia. Umenikumbusha mbalii san kaka
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 2 күн бұрын
Kwenye swala la kulelewa kijeshi hapo umenigusa, nimelelewa kijeshi hata shetani anaogopa na nimekua hivyo.
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 3 күн бұрын
Makini sana
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 3 күн бұрын
ASANTE
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 күн бұрын
✌️👍👊.
@user-pp9vz1kv9x
@user-pp9vz1kv9x 3 күн бұрын
Fundi huyu mtu na nusu
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 күн бұрын
Wahuni wote peponi. Kumbuka alipewa sharti lá kureport kwa wakubwa zake pale Qatar pindi afikapo,hili mmeliskip. Mie ningekuwa mkuu wa Alqaida ningemshtukia na kumpiga risasi.
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 күн бұрын
Rwanda anafanya yake Msumbiji ,sisi tunang'ang'aa macho tu na kujipa moyo kuwa ni big fish😢😢😢
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 3 күн бұрын
Asante
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 3 күн бұрын
Asante
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 4 күн бұрын
Asante
@omaiyakitto
@omaiyakitto 4 күн бұрын
Hiyo ya kuingiza uchafu aliwahi fanya Mr Nice alijua hajui.. muulizeni hawezi kusimulia.
@omaiyakitto
@omaiyakitto 4 күн бұрын
Buyobe is very Credible Man tatizo hawezi vumilia Criticism.
@imanimdugalatv9258
@imanimdugalatv9258 4 күн бұрын
Do baba unatisha saana, safisaana me nafarijika Cosmas
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 5 күн бұрын
Hawaja weka hiyo leather kwenye kitanda wameweka kwenye godoro yaani mattress cover zao ni leather
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 5 күн бұрын
Ipo hivi chochote atakacho gundua binadamu basi lazima kitapata mbadala wake. Mfano jambo lolote la hatari likitokea tambua linambadala wake kwahivyo msiwe na shaka. Haswa kikivumbuliwa kitu ujue tayari wapo na mbadala wake. Inaitwa, tengeneza tatizo kisha lete suluhisho ili upate HELLA.
@Immamk__44
@Immamk__44 6 күн бұрын
Hawa ndo watu wa kuitwa kwenye media sasa🙌
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 күн бұрын
👊👍✌️.
@msongamwinyi2877
@msongamwinyi2877 7 күн бұрын
Paratrooper Wanyonyi's voice
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 7 күн бұрын
Kila mtu kazaliwa kufanya kitu chake hapa duniani. Sasa ukiiga IGA na kutka kufanya ya wenzio ndio tunajizolea shida ambazo hatujui zilikotoka.
@yusuphhassani5590
@yusuphhassani5590 7 күн бұрын
Smart thinker
@raphaelassenga3538
@raphaelassenga3538 7 күн бұрын
Nawe unawapiga kikibosho 😂😂
@raphaelassenga3538
@raphaelassenga3538 7 күн бұрын
👏👏
@raphaelassenga3538
@raphaelassenga3538 7 күн бұрын
Presenter Mangi org 😂😂Nem Piga kazi dogo ur the best
@samwellsamwellswai
@samwellsamwellswai 7 күн бұрын
Kaka apa nakubali Sana🔥🔥🔥👊Ila naomba uwe unakuja live ule muda wa kilindi🔥🔥🔥🙏🙏
@samwellsamwellswai
@samwellsamwellswai 7 күн бұрын
Kaka apa nakubali Sana🔥🔥🔥👊Ila naomba uwe unakuja live ule muda wa kilindi🔥🔥🔥🙏🙏
@joshuampalala111
@joshuampalala111 7 күн бұрын
Mwamba yupo composed mno.
@LudoMwamsaku-x2u
@LudoMwamsaku-x2u 8 күн бұрын
Hawana democria hawa wanatuzuga tu kwani republic na democratic wote ni wale wale tu wanaongozwa na serikali moja central government.
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 8 күн бұрын
Afande sele ni mtu na maarifa yake
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 8 күн бұрын
Ndiomana ni muhimu sana mtu kufanya mazoezi ya kutafakari ( meditation ) japo mara moja kwa siku ili aongeze umakini na uwezo wa kusikiliza na kuhisi yajayo.
@officialfrolencetv7323
@officialfrolencetv7323 10 күн бұрын
hivi reprican na Democrats ni chama kipi kimewahi kutoa marais wengi
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 10 күн бұрын
Nasikiliza hata sielewi
@DanielDani-lr2sy
@DanielDani-lr2sy 11 күн бұрын
Mungu awape maisha marefu kiukweli binafsi yangu mie mmefanyika baraka sana kwangu kutokanana na kipindi chenu bora zaidi Cha muda wote kwangu
@GeremihJuma
@GeremihJuma 11 күн бұрын
Kuna watu Wana tembelea pua siyo miguu Nashangaa binada. Mwingine anasema. Taifulani eti lamungu nani? Alikudanganya taifa la ezlael nitaifa Lina luhusa ya kuua alafu una shabikia mauji nimungutu ndo muweza yote siyo taifa frani zero comment
@juliuskiruji9627
@juliuskiruji9627 11 күн бұрын
Mimi tangu nianze kuskiliza Madinidotcom aseeeee naenjoi sana na hata akili yangu imekua
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 11 күн бұрын
Musiite watuagaidi Kwa sababu ni waislamu gaidi ni marekani na israili mbona hamusemi wao ndiyowaliyo unda hayo makundi
@youngcee3145
@youngcee3145 12 күн бұрын
Darasa lako kaka nikubwa Sanaa,Mungu akubless marifa ziongezeke zaid
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 12 күн бұрын
Hawa watu Wa kuangalia Sana
@RashidGhalib-r8w
@RashidGhalib-r8w 12 күн бұрын
Asante team madindotcom Kwa taarifa na maarifa❤❤❤❤
@juliuskiruji9627
@juliuskiruji9627 11 күн бұрын
Jamaa wanajua kuorganize info
@AgustinoAlexander
@AgustinoAlexander 12 күн бұрын
👊👊