Naomba kuuliza mtoto anaanza kula anapokamilisha miezi sita au ni ndani ya mwezi wa sita
@VanessaMallya-c5v22 күн бұрын
Mafuta ya moto au ya baridi?
@AlexChungu-t2j23 күн бұрын
Barikiwa sana🙏
@BarakaPaul-d5oАй бұрын
Bei ya jumla bei gani
@mastytvtanzania251129 күн бұрын
Wasiliana na namba ipo kwenye video
@RehemaselemanMazwilАй бұрын
Sawa
@joreenmassawe8801Ай бұрын
Mim mtoto wangu ana miez sita na wik 2 ila ni msumbufu kula
@NajjatKassimАй бұрын
Huchemshi?
@farajaodero4482Ай бұрын
Mwanangu kabàkiza siku 5 naweza kumpa chakul
@mastytvtanzania2511Ай бұрын
Subiri zitimie mpendwa, zimebaki chache tu
@Paulmtao2 ай бұрын
Mimi nina mimba ya miezi 6 lakn dawa ninazoi tumia zinaitwa FEFO hasa najiuliza ni sahihi kwel maana hospitalin walinambia nitumie
@mastytvtanzania2511Ай бұрын
Ni sahihi, Fefo zina mchanganyiko wa iron kwa jina lingine ni Ferrous na pia zina folic acid pia ndiyo maana kwa kifupi zinaitwa Fefo
@famentplatnumz11432 ай бұрын
Jmn na mimba ya week 8 naeza anza kutumia hiy folic acid???😢😢😢
@mastytvtanzania2511Ай бұрын
Unaweza anza
@OmanOman-wy3ih2 ай бұрын
Dada nimekupenda ma sha Allah unajibu comment vizuri tena karibu zote Allah akulinde dada yangu
@mastytvtanzania2511Ай бұрын
Amina shukrani sana
@neemangenzi86102 ай бұрын
Thanks mummy, binafsi umenifumbua macho😢😢😢
@mastytvtanzania25112 ай бұрын
Shukrani sana
@neemangenzi86102 ай бұрын
Ahsante dada, kitabu ndo kil a kitu tupatie
@mastytvtanzania25112 ай бұрын
Karibu 0768297606
@Emmykirway-m1i2 ай бұрын
Mwanangu anapata shida wakati wakujisaidia analia sana na choo kigumu
@mastytvtanzania25112 ай бұрын
Mpeleke hospital ya karibu
@hawaajanka85292 ай бұрын
Sory uji tunapikaj bila sukar?
@hawaajanka85292 ай бұрын
Uje tunapikaje bila sukar dada
@mastytvtanzania25112 ай бұрын
Huwa tunatumia mbadala wa sukari kwa watoto kama rojo ya tende, rojo ya matunda matamu kama ndizi, embe nk
@SaniaKwangaya2 ай бұрын
Nataka kujifunza
@mastytvtanzania25112 ай бұрын
Tutakuwa na darasa litaanza mwezi January 2025
@RosemaryEmily-n3x2 ай бұрын
Mwanangu dalili zote anazo anamwaka na miez 2
@SalamaMohammed-z6j3 ай бұрын
Mimi nina ujauzito wa mwezi mmoja na nina vidonda vya tumbo na acid na vyakula vingi wameniambia nisile je itakuaje kwenye makuzi ya mtoto na hyo folic acid nikitumia pia amna shida yoyote mna sijui ata nile nini kila ninachokila acid inaongezeka
@mastytvtanzania25113 ай бұрын
Pole sana kwa changamoto, ni vyema ukaenda hospitali kwa ushauri na muongozo zaidi
@SalamaMohammed-z6j3 ай бұрын
@mastytvtanzania2511 sawa Asante
@NemaSleiman3 ай бұрын
Mamy naomba naomba yako
@GamDuel-vr4hp3 ай бұрын
Appointment ya leo bila wewe ninge aibika nashkuru nimeupiga mwingi asante sana
@mastytvtanzania25113 ай бұрын
Ha ha haaa nimefurahi kusikia hivyo
@AbuuGapiTV3 ай бұрын
Asante sana kwa somo zuri
@AbuuGapiTV3 ай бұрын
Hongeza kwa somo zuri
@AbuuGapiTV3 ай бұрын
Tunashukuru sana mtaalamu wa lishe kwa somo Zurich,mungu akupe umri mrefu ili uendelee kutuelimisha
@mastytvtanzania25113 ай бұрын
Amina Asante sana
@BukuruIbrahim-o3m3 ай бұрын
❤❤❤❤
@eshaali96933 ай бұрын
Cmc ndio nn
@mastytvtanzania25113 ай бұрын
Kilainishi husaidia ice cream ziwe laini
@alinentahobari29303 ай бұрын
Hapo kwenye asali we acha tu sitaki kukumbuka 😭
@mastytvtanzania25113 ай бұрын
Pole sana kwa changamoto, unaweza ukashare nasi changamoto uliyoipata mpendwa
@RynerLinuma3 ай бұрын
Hata ukiangalia hizi ice cream ni tamu sana
@mastytvtanzania25113 ай бұрын
Shukrani sana
@lydialugakila60783 ай бұрын
❤
@SalomeNyamwata3 ай бұрын
Hebu nijuze zaidi vilainishi ni nini
@mastytvtanzania25113 ай бұрын
Vinasaidia ice cream kuwa laini, vipo katika mfumo wa ungaunga. Katika masoko ulizia CMC
@NasmaThabith4 ай бұрын
Ahsante baas mie nilitaka nikayatafute supermarket,,,na vip kuhusu kupatikan zinapatikan maduka ya asili au sokon?
@mastytvtanzania25114 ай бұрын
Hata kwenye masoko zinapatikana mpendwa
@zingesally4 ай бұрын
Iki endakucukuw dukani utauliziya nipe kilayinishi ?awokunajina ningine
@mastytvtanzania25113 ай бұрын
Unaweza sema kilainishi au CMC
@zingesally4 ай бұрын
Iki endakucukuw dukani utauliziya nipe kilayinishi ?awokunajina ningine
@mastytvtanzania25114 ай бұрын
Ndiyo unasema kilainishi au CMC
@lovenesdickson18244 ай бұрын
Namba za simu
@mastytvtanzania25114 ай бұрын
Zipo namba za muuzaji kwenye video
@FraikoMwengwa-on6iy4 ай бұрын
Mimi nina mimba nina tatizo mimba kuharibika nimepewa dawa erythromin na folic
@HamisaJuma-n5x5 ай бұрын
Hicho kilainishi kinauzwa wapi jamani na inaitwaje msaada naomba
@mastytvtanzania25113 ай бұрын
Kwenye masoko unapata, ulizia CMC
@didahsalim3605 ай бұрын
Dada samahani ingekuwa vizuri zaidi kama ungeblend badala ya kuchuja...
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Ooh asante ni sawa pia
@judithgeorge-r7z5 ай бұрын
Asante sana dada somo zurii❤😊
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Shukrani sana
@AyingeneyeMariam5 ай бұрын
Bei gani
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Wasiliana na namba zipo kwenye video uwasiliane na muuzaji
@ESTALUSAYO74205 ай бұрын
Asante kwa somo dear, naomba kuuliza mbona mim nikichanganya rangi haikoi msaada tafadhali
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Umetumia rangi za aina gani?
@SarahMolla-qh4rd5 ай бұрын
Ngoja na mm nijaribu
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
All the best
@SarahMolla-qh4rd5 ай бұрын
Naomba unifundishe na mm
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Fata tu hizo hatua kwenye video yangu utaweza
@neemalizia98905 ай бұрын
Asante sana❤
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Shukrani sana
@ChrisensiaFrancis5 ай бұрын
Chakula cha mtoto waweza kueka chumvi?
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Ndiyo kuanzia umri wa mwaka mmoja
@khadijacarine88525 ай бұрын
Asante sana,mtoto wangu iko napata choo kidogo Sana nifanyeje
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Ana umri gani?
@MwajumaSeif-k7f18 күн бұрын
Wang anamiez miwil hapt choo anakam wiki mbili
@mastytvtanzania251117 күн бұрын
@MwajumaSeif-k7f mpeleke hospitali kwa msaada zaidi mpendwa.
@NeemaElia-e4l5 ай бұрын
Ukikosa CMC unaweza tumia nn
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Unaweza tumia cornflour
@DorcusSamwel6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mama angu nimejifunza na naanza kutendea kaz
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Shukrani sana
@SiwemaAbdull6 ай бұрын
Sasa kwa maziwa yaunga kunafaida kweli
@mastytvtanzania25115 ай бұрын
Ipo
@mukizagideons10942 ай бұрын
Nimejiuliza hilo pia
@mastytvtanzania25112 ай бұрын
@mukizagideons1094 mimi hapo nilitengeneza za matumizi ya nyumbani tu. Kwa biashara unaweza kutumia yale ya unga ya kupima kidogo hayana gharama kubwa