Пікірлер
@goodluckolomi5499
@goodluckolomi5499 24 минут бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU
@mathiasmhoja8540
@mathiasmhoja8540 26 минут бұрын
Mwamba yupo sahihi
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 26 минут бұрын
Mim sijaelewa Bado hajataja tukio ilo la moto kama utatokea.
@emanueluroki6160
@emanueluroki6160 51 минут бұрын
Hakika imekuwa kweli makubwa tunategemea kuyaona so wale wanao mpinga na kumzihaki ss rolinga juu ya shuhuda wataumbuka wao Wacha mungu. Aishangaze DUNIA kwanza
@chrispinusmakai5308
@chrispinusmakai5308 Сағат бұрын
Amen from Kenya Nairobi kawagware
@WemaOmary-z3t
@WemaOmary-z3t Сағат бұрын
Ayatimia kwa jina la Yesu nafuta mauti kwenye kila kaya kwa damu ya Yesu
@ChristinaChristina-y9p
@ChristinaChristina-y9p Сағат бұрын
AMEN AMEN AMEN HALLELUJAH
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 3 сағат бұрын
Matukio yajayo ikiwemo kifo hiyo ni siri ya Mwenyezi Mungu tu, huwezi kujua wewe acha uongo acha kudanganya watu
@suzanne9517
@suzanne9517 4 сағат бұрын
Mungu atusaidie sana
@Gaynor1234
@Gaynor1234 4 сағат бұрын
Namshukuru Mungu kwa uzima wangu na familia yangu. Namshukuru Mungu kwa kuwa atanipa kazi nzuri iliyo ya kudumu.
@LovenessJames-i2s
@LovenessJames-i2s 4 сағат бұрын
MUNGU BARIKI NCHI YANGU TZ NA KUIPA ULINZI🙏
@DivineRukundo-f6m
@DivineRukundo-f6m 6 сағат бұрын
Kayimbe gospel ❤❤❤❤❤rubi 🙏
@maryusanga-zl1mq
@maryusanga-zl1mq 6 сағат бұрын
Mungu atusaidie mtumishi wa Mungu na kufuatilia na kuamini.
@ChristinaChristina-y9p
@ChristinaChristina-y9p 6 сағат бұрын
Namshukuru MUNGU kwa siku ya Leo kiukweli nilimeamka na Nguvu ya ajabu na hii ni baada ya kujiunganisha na Maombi ya Usiku wa manane . Nanipo kwenye Mfungo nimeamka nikiwa na Nguvu ya ajabu sana nimeamini katika Shukurani kuna miujuza. Ni mimi Christina Yusuph Bwire Sospiter. Nipi Qatar
@frankjohn8706
@frankjohn8706 7 сағат бұрын
NABII ANGEWEKA WAZI MAKANISA YAPI MAANA YAPO MAKANISA YA WANA WA MUNGU NA YAPO YA WANA WA ULIMWENGU LKN KUJUMLISHA MAKANISA NI KAMA WIZARA YA MAMBO YA NDANI IONAVYO KWAMBA WOTE NI WAKRISTO KUMBE ASIE NA ROHO WA KRISTO SI WAKE
@FestusSila-j4q
@FestusSila-j4q 7 сағат бұрын
Imagine sky mungu atudsidie tu juu wenye wanatuongoza ni watu wa tamaa nyingi,
@sophiamwita434
@sophiamwita434 7 сағат бұрын
MUNGU uturehemu
@mathiasmhoja8540
@mathiasmhoja8540 8 сағат бұрын
Marekani tayari imetokea tunashukuru nabii
@naomimfundo
@naomimfundo 9 сағат бұрын
Ni rahisi sana kujudge na kuwakosoa watumishi wa Mungu,,unaposokia maonyo ni wazi Mungu anachotaka ni sisi kubadilika tumpende na tumtafute kwa bidii,,huu sio wakati wa kuishi vuguvugu,,
@magdalenasanga4711
@magdalenasanga4711 9 сағат бұрын
YESU uturehemu wanao
@cathrinekangeta2234
@cathrinekangeta2234 9 сағат бұрын
Amen
@AgnesMussa-t7r
@AgnesMussa-t7r 10 сағат бұрын
Joseph omba mungu akupe macho ya rohoni
@caritasmushi8896
@caritasmushi8896 10 сағат бұрын
Bwana Yesu .. Rehema rehema rehema
@chrispinusmakai5308
@chrispinusmakai5308 10 сағат бұрын
Amen
@EliasEduardoTadeu
@EliasEduardoTadeu 10 сағат бұрын
Amina,mtumishi wa Mungu ubarikiwe saaana.
@lucymwithi7774
@lucymwithi7774 11 сағат бұрын
🙏🏽🙏🏽
@eunicezawadi9844
@eunicezawadi9844 11 сағат бұрын
Amen ❤
@NelsonNuhu
@NelsonNuhu 11 сағат бұрын
Mungu uturehemu na utuepushe na draft ya mwezi wa 10😢
@_Esounds
@_Esounds 11 сағат бұрын
MTUMISHI WA MUNGU MIMI NAOMBA UNISAIDIE KITU KIMOJA HUYU NABII LOLINGA😂YUPO KIROHO AU APANA NA YUPO MWINGINE ARUSHA ANAITWA SUMBE JE HAO WATU VIPI
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 11 сағат бұрын
Mwenye masikio na asikie neno la MUNGU
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 13 сағат бұрын
Kwani huwoo ni wa kirohoo?
@humphreylukoyeopwapo4777
@humphreylukoyeopwapo4777 13 сағат бұрын
Amen
@KelvinJosephat-x6e
@KelvinJosephat-x6e 13 сағат бұрын
Hinatisha
@Tina-b2b1n
@Tina-b2b1n 14 сағат бұрын
Mungu wa huruma utuhurumie sisi wakosefu😢
@RuthNassari
@RuthNassari 15 сағат бұрын
Naomba urefu niongezewe
@RuthNassari
@RuthNassari 15 сағат бұрын
Nashukuru Mungu kwa watoto Wang’s na starship kiuchumi Asante Munu
@RuthNassari
@RuthNassari 15 сағат бұрын
Aamen amazing tha God for you
@RuthNassari
@RuthNassari 16 сағат бұрын
Kwani Wao wanna Kiswahili kilichonyooka?? Go prophet
@RuthNassari
@RuthNassari 16 сағат бұрын
Amen
@RuthNassari
@RuthNassari 16 сағат бұрын
Haya cry out and weep
@richardsilvanus8927
@richardsilvanus8927 16 сағат бұрын
Huyu sio mtumishi na wala hamna kitu anaona
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 10 сағат бұрын
Anaona huyo, amepewa neema ya kuona mambo ya kitaifa
@RuthNassari
@RuthNassari 16 сағат бұрын
Aamen
@RuthNassari
@RuthNassari 16 сағат бұрын
Aamen
@RuthNassari
@RuthNassari 16 сағат бұрын
Achilles mwema yako
@RuthNassari
@RuthNassari 16 сағат бұрын
Same stitches baba
@pasteurjonasbulambo7037
@pasteurjonasbulambo7037 16 сағат бұрын
Thank you so much
@sarafina70
@sarafina70 16 сағат бұрын
Namshukuru Mungu na naomba Maombi ya kufunguliwa huduma yangu.🙏
@pasteurjonasbulambo7037
@pasteurjonasbulambo7037 16 сағат бұрын
Uko Mungu juu ya miungu yote.
@pasteurjonasbulambo7037
@pasteurjonasbulambo7037 16 сағат бұрын
Sifa kwa Mungu
@pasteurjonasbulambo7037
@pasteurjonasbulambo7037 16 сағат бұрын
Haleluya Haleluya Haleluya