Пікірлер
@StacusMkama-kz1ht
@StacusMkama-kz1ht 23 күн бұрын
gundi gani hio unatumia jina lake mkuu
@LazaroWambura-ko3vf
@LazaroWambura-ko3vf 17 күн бұрын
Bulbond
@brightnesskimaro6617
@brightnesskimaro6617 2 ай бұрын
Video yako haionekan vzr
@lugarawayouthfoundation8184
@lugarawayouthfoundation8184 3 ай бұрын
Ni fursa nzuri kwa vijana
@BeatriceMagoha
@BeatriceMagoha 8 ай бұрын
Unaelekeza vizuri ila uyo camera man umemtoa wap
@iddimkaba125
@iddimkaba125 Жыл бұрын
Broo hivi bando la hiyo karatas unachukulia wapi kiwandani au stationary?
@AsiaOmar-in9gg
@AsiaOmar-in9gg Жыл бұрын
Unapatikana wapi.
@JosephineAloyce-wh9ed
@JosephineAloyce-wh9ed Жыл бұрын
Mungu akibariki Sana Kaka
@MKANYAGIAJI
@MKANYAGIAJI Жыл бұрын
Asante sanaa brother umefundisha vizur sema some time unavyo elekeza kuusu base tulikua atuoni vizur unavyo itengeneza base
@herrymkumbwa9407
@herrymkumbwa9407 Жыл бұрын
Asante kwa kutufundishaa
@rachelmalembela7443
@rachelmalembela7443 2 жыл бұрын
Hiyo karatas inakuwa na ukubwa gani?
@gentymwambambale343
@gentymwambambale343 2 жыл бұрын
Mbona sehem zingine Haionekan good
@erickjohn931
@erickjohn931 2 жыл бұрын
ungetuambia vipimo vya karatasi kwanza na ukubwa wa bahasha
@erickjohn931
@erickjohn931 2 жыл бұрын
urefu na upana wa karatasi
@rebekambia777
@rebekambia777 3 жыл бұрын
Material yanapatikan wap
@ratifambogera5708
@ratifambogera5708 3 жыл бұрын
Naomba urudie tena mana anaechukua video hayupo serious😓
@Nadia-dg5hm
@Nadia-dg5hm 3 жыл бұрын
Mungu akubariki
@jacksonlupogo1221
@jacksonlupogo1221 3 жыл бұрын
Bahasha katon take shingap
@kabulamaganga8246
@kabulamaganga8246 3 жыл бұрын
🔥🔥
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 3 жыл бұрын
napataje sensitizer na pigment mikoa mingine ngumu kupata
@jacksonlupogo1221
@jacksonlupogo1221 3 жыл бұрын
Katika katon bahasha Zina kàà ngap
@ngahyolerwasalvius5058
@ngahyolerwasalvius5058 3 жыл бұрын
Good Job. Nimeipenda
@polyasimtangoo929
@polyasimtangoo929 3 жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuri ya bure. Jesus bless you so much
@sallyommy2662
@sallyommy2662 2 жыл бұрын
Sio bure baba mb zimeenda