Shekhe Othman maico napenda sana mawadha yako yananifundisha nakuniweka sawia Allah akujalie pepo ya Firdaus ahala
@hassanngaokola25954 күн бұрын
Naam
@sadih53336 күн бұрын
UTAJILI ndio nini , kumbukeni kua kuna watu wanajifunza hii lugha, acheni kulegeza domo wakati wa uwandishi.
@aminaosman33156 күн бұрын
,mashekh wengine wanatajirika kwa kuzulum waislam wanyonge ambayo hawana hela ya kununua haki zao hapa tanga kuna anayejita sheikh kawazulumu yatima na mjane na akashinda mahakamani kwa kununua haki na kuapa kwa kushika msahafu mwezo WA Ramadhan I na mashekh wengi wanajua lakini wanaogopa mungu MTU Leo watoto WA marehem wanaisho katika maisha magumu walishikiana kuizulumu na waofumbia ukweli tunawashtakia katika mahakama ya Allah kila moja atampa kazi ya kufanya na kesho akhera Allah atawahum yao Insha,allah
@YusuphRashidi-b1j16 күн бұрын
Nime muota mtume mida saa sita sita hiv kaja na gali yake rendkruza anaangaliangalia maji atawaze kwenye msikiti mgeni kwake amevalia jaketi lekundu na anaonekana mkakamavu anatembea kwa kuangalia chini na sura yake mbona nimeiyona
SHeikh osman michael Alla akujalie afya njema tuzidi kupata elimu
@islamicnooruBurundi24 күн бұрын
Mtume nishawahi kumuona uso kwa uso kwenye ndoto
@OMARIOMARI-j5j21 күн бұрын
ulifanyaj ukamuona?
@HamisiAthuman-b3l24 күн бұрын
Jazzakhalah kheri
@chikujuma18Ай бұрын
Mm nimeshakunywa dawa hadi nimechoka nimemwachia mwenyezi mungu
@faizunmohd9839Ай бұрын
Jazakallah kher
@FaridaMbaraka-u2lАй бұрын
Jazaakallahu kheir sheikh
@NasrahassaniNasrahassani-p8pАй бұрын
Mashaallah
@GodsonVedastoАй бұрын
Allah atufikishe Ishaallah tuweze kushiliki pamoja
@FatumaAthuman-p7cАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@ArafaKatundu-j2bАй бұрын
Mungu atufanyie wepesi insha allah
@OthmanChilungo-s3vАй бұрын
Naam khalifa
@is-fabadtvАй бұрын
Naam
@DrLachi19Ай бұрын
Ni pale Soko eeee?
@FatumaAlly-h5l9 ай бұрын
mashallah
@saidatowainda52511 ай бұрын
Inalalih wainIlaihi ilajiuni Allah akufanye uwe kati ya watu wapeponi
@aishamzeehamissi6859 Жыл бұрын
Asalam buriani sharifu kusekwaaa
@aishamzeehamissi6859 Жыл бұрын
Innalilah sharifu kusekwaa.allwwaa akuweke mahali pema peponi Chumbageni twakukumbukaa.
@OmarOmar-tx3xk Жыл бұрын
Ma'Sha'Alla,
@abeidngema9488 Жыл бұрын
Allahmaghrallah waskanna fijjannah sheikh ibn qadr kusekwa mungu amueke miongoni waliowema na amsamehe dhambi zake za ambazo hakuzijua akiwa hai
@mansoormannix1753 Жыл бұрын
Amin
@nurumuhammad2753 Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu uzidi kutuilimisha Allah akulipe kheyr
@mody-guyngido2792 Жыл бұрын
Utajiri Sheikh unajua unaupata vipi wewe mwenyewe,tupe elimu ya vipi tutajitahidi kutenda matendo yakumridhisha Allah Mali na watoto ni mapambo ya dunia tu.
@al_huda_theguidance5034 Жыл бұрын
Next part tafadhali,
@piliramadan875 Жыл бұрын
Na akupe umri mrefu
@piliramadan875 Жыл бұрын
Shekhe odhumani mwenyezi mungu akulipe kheli yarabra aramin
@bahatilaizer8706 Жыл бұрын
❤ Sheikh Osman Michael Allah akujalie afya njema tuzidi kupata elimu
@jitihadaonlinetv739 Жыл бұрын
Mashaa allah
@hassanngaokola2595 Жыл бұрын
Maashalha
@ledyleylaally8276 Жыл бұрын
Assllem allykum w w Allh akubariq akkujalie uMRI mrefu tuzid kupata elmu
@piliramadan875 Жыл бұрын
Maashaallah maashaallah
@michaelmagwaza-bc6mk Жыл бұрын
Msiishie kutwambia hayo tu bali baada ya hayo twambieni Serikali imechukua hatua gani.?
@dijjahbeybe5096 Жыл бұрын
😭😭😭Yan kaniumiza Sana huyu shekhe Allahumaghufr llahu warhamah
@is-fabadtv Жыл бұрын
Wallahi nyoyo zinamajonzi mno Kwa wahadhir WA kiislam
@dijjahbeybe5096 Жыл бұрын
Kilichobaki tumuombee Kwa Allah amrehem, na Ampe Nuru ktk nyumba yake yamilele Aaamina Thumma 😥😥😥😥
ZANZIBAR NAKO KUMEOZA. Ndo maana Ayubu mahamud akahamishwa mjini unguja alipopiga vita ushoga na usagaji
@is-fabadtv Жыл бұрын
Allah atunusuru
@KiongoziMandara Жыл бұрын
اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس. اللهم لا تحرمنا أجره ولا تفتنا بعده واغفرلنا وله وللمسلمين أجمعين.
@is-fabadtv Жыл бұрын
Aamin
@jumakhamis226 Жыл бұрын
Inalilah wanailh rajiuuu ALLAH amjaaliee pepo ya
@rahimomary7663 Жыл бұрын
Inalilah wainailah rajiun kull nafsi dhaikatul mauti poleni Sana
@is-fabadtv Жыл бұрын
Hakika
@yanga15572 жыл бұрын
Mashaallh ngaokola asante kwa kutumia muda wako kutuerewesha
@is-fabadtv Жыл бұрын
Shukrani
@ngaokolatv44162 жыл бұрын
Allah akuweke mwalimu
@is-fabadtv Жыл бұрын
Aamin insha allla
@idrisamadeleka75982 жыл бұрын
MAAASHALLAH
@ramadhanjuma6102 жыл бұрын
Kaka Masha Allah uko vzr Allah aku zidishie
@is-fabadtv Жыл бұрын
Aamin insha allah
@hassanngaokola25952 жыл бұрын
Maashalha
@binsuyuutwiiytv.47012 жыл бұрын
Doooh bhhaaaaaas shukraan san doctor al akhy ngaokola