Hongereni sana,ni wimbo wa kristo au kqmq ni ndiyo ni nqmba ngapi?
@TemekesdachoirtanzaniaАй бұрын
@@AngelJuma-ii1li Asante sana, huu sio wimbo wa kitabuni kwa nyimbo za kikristo. Endelea kubarikiwa
@shanelkomba1887Ай бұрын
Kazi nzuri, hongereni sana
@TemekesdachoirtanzaniaАй бұрын
@@shanelkomba1887 Asante sana
@AsajileMwaitolageАй бұрын
Mbarikiwe sana endeleni kumtukuza MUNGU kwa nyimbo nzuri zinazo mtukuza MUNGU
@TemekesdachoirtanzaniaАй бұрын
@@AsajileMwaitolage nawe ubarikiwe sana
@ArsèneAmani-i7iАй бұрын
Good morning really i am so happy with your song twaishi siku za mwisho please send me the Swahili score I am Congolese from South Kivu
@TemekesdachoirtanzaniaАй бұрын
@@ArsèneAmani-i7i Asante sana naomba unitumie namba yako ya whatsup tafadhali
@TemekesdachoirtanzaniaАй бұрын
@ArsèneAmani-i7i andika hapa hapa
@UpendoMkwizu-u2y2 ай бұрын
Uimbaji makini sana
@Temekesdachoirtanzania2 ай бұрын
@@UpendoMkwizu-u2y 🙏🙏
@PrinceNyamweya2 ай бұрын
Mliumba wimbo huu kwenye makambi yetu Doonholm Nairobi siku ya sabato. Ulinigusa sanaa. Baraka tele ❤
@Temekesdachoirtanzania2 ай бұрын
Barikiwa
@maureenkerubo63474 ай бұрын
Wow wow wow
@Temekesdachoirtanzania4 ай бұрын
@@maureenkerubo6347 🙏🙏🙏
@christonciaeliazer76254 ай бұрын
To God be the glory. Temeke choir, you have nailed this song. The person or team who arranged the music, you are truly blessed; the skill is on another level. 👏 Kudos! This is a true reflection of determination, hard work, and consistency. Keep up the good work, Mwalimu Mussa and team. It pays to serve the Lord. I'm extremely inspired and blessed. 🙌'
@Temekesdachoirtanzania4 ай бұрын
@@christonciaeliazer7625 🙏🙏🙏🙏
@Herimission4 ай бұрын
Wimbo mtamu sana. Agizo kuu la utume: kwenda na kufanya wanafunzi
@Temekesdachoirtanzania4 ай бұрын
@@Herimission 🙏🙏🙏
@Herimission4 ай бұрын
@@Temekesdachoirtanzania nimefurahi sana kwa Mara ya kwanza kufika hapa kanisani Temeke leo na kuona baadhi ya waimbaji wa kwaya nzuri ya Temeke.
@Temekesdachoirtanzania4 ай бұрын
@@Herimission ubarikiwe sana na karibu tena na tena
@Herimission4 ай бұрын
Wimbo mzuri ujumbe makini unanibariki kila ninapousikia
@Temekesdachoirtanzania4 ай бұрын
@@Herimission 🙏🙏🙏
@richardchellah95014 ай бұрын
Nice
@Temekesdachoirtanzania4 ай бұрын
@@richardchellah9501 🙏🙏🙏
@LouisRomaric4 ай бұрын
What a cute song🥰 Please I need this in PDF 🙏
@Temekesdachoirtanzania4 ай бұрын
@@LouisRomaric 🙏🙏🙏
@ArsèneAmani-i7iАй бұрын
And me please
@TemekesdachoirtanzaniaАй бұрын
@ArsèneAmani-i7i 🙏🙏
@julius7958414 ай бұрын
This is owesome ..we did it english but mmeiva
@Temekesdachoirtanzania4 ай бұрын
@@julius795841 Asante sana, uko wapi mtumishi wa Mungu
@PATRICKKYALO.SacredVoicesKenya5 ай бұрын
Wow.. mwalimu mkatoliki ...mmeguza ndipo....those vocals.... moto sana
@Temekesdachoirtanzania4 ай бұрын
@@PATRICKKYALO.SacredVoicesKenya 🙏🙏🙏
@isaacnicolao56845 ай бұрын
Ni baraka sana kuwasikiliza ndugu zangu. Wimbo una nguvu sana. Bwana awabariki sana
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@isaacnicolao5684 🙏🙏🙏 nawe ubarikiwe
@joycemanza5 ай бұрын
Mnanibarikiwa sana
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@joycemanza 🙏🙏🙏
@joycemanza5 ай бұрын
Amina mbarikiwe sana 🎉
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@joycemanza 🙏🙏🙏 nawe ubarikiwe sana
@felixdumu2545 ай бұрын
Amen.Amen.What more can I say other than Amen.Mbarikiwe sana for such powerful singing.Being blessed here in🇰🇪
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@felixdumu254 🙏🙏🙏, Asante sana
@deborahmgolemasatu85055 ай бұрын
Nice song Temeke songa mbele
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@deborahmgolemasatu8505 🙏🙏🙏🙏
@opiyobryan24365 ай бұрын
great
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@opiyobryan2436 🙏🙏🙏
@opiyobryan24365 ай бұрын
wonderful
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@opiyobryan2436 🙏🙏🙏
@joyceobwocha59615 ай бұрын
Halleluya, Bwana Yesu asifiwe, Nimebarikiwa, Wimbo mtamu injili kweli
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@joyceobwocha5961 🙏🙏🙏
@JofreyDaudi-w7y5 ай бұрын
Kwa kweli nyie ndo wa sabato mko vizuri Sana nimependa Sana uimbaji wenu
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@JofreyDaudi-w7y 🙏🙏🙏🙏
@wingracealfred19785 ай бұрын
Mungu awabarikiii saaana,najuta kuchelewa kuwafahamu.Utumishi mwema mnaoufanya Mungu asiwaache...Beautiful melodies ever❤
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@wingracealfred1978 Amina sana mtu wa Mungu, nawe ubarikiwe pia. Asante sana
@FranklineOgot5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@FranklineOgot 🙏🙏🙏
@FranklineOgot5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@FranklineOgot 🙏🙏🙏🙏
@ObedKoech5 ай бұрын
Amen
@Temekesdachoirtanzania5 ай бұрын
@@ObedKoech 🙏🙏🙏
@EuniceZacharia-q1l6 ай бұрын
Wow!You sing it like angels could Am amazed
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
@@EuniceZacharia-q1l 🙏🙏🙏
@barmasaititus25506 ай бұрын
When will be the next release
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
Soon
@barmasaititus25506 ай бұрын
We have been waiting more of your songs please
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
Hope soon, 🙏🙏🙏🙏
@barmasaititus25506 ай бұрын
We will support where we can
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
@@barmasaititus2550 🙏🙏🙏
@jeanbulambo43836 ай бұрын
🎉🎉🎉
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
👍
@jeanbulambo43836 ай бұрын
Sijuwi kwanini sikuwafahamu mapema nimebarikiwa na uwimbaji wenu Mungu awabariki. toka Africa ya kusini Estcourt KwaZulu-Natal
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
Karibu sana Temeke
@mathabolo31586 ай бұрын
Amen is all I can say because I am so blessed with this timely message from Temeke wahubiri wa kwanza Mungu awabariki sana Wahubiri wa kwanza.🙏
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@elibarikmafie74906 ай бұрын
from soprano mpk bass wako kiwango kikubwa sana
@elibarikmafie74906 ай бұрын
Niko Arusha boss
@elibarikmafie74906 ай бұрын
nakuja kujiunga na nyie walahi mnaimba Hadi napatwa na upako
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
Karibu sana. Uko wapi Ndg yangu
@elibarikmafie74906 ай бұрын
aise jaman hii kwaya Iko kiwango kikubwa sana du
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@elibarikmafie74906 ай бұрын
hii kwaya ipo hapa hapa Tanzania jamn ?
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
Naam, hii Kwaya ipo hapa Tanzania, Mkowa wa Dar es salaam. Ni Kwaya ya Kanisa la wasabato Temeke. Iko wilaya ya Temeke mkabala na kituo Cha polisi Cha Chang'ombe Temeke. Karibu sana kanisani kwetu Temeke.
@elibarikmafie74906 ай бұрын
mko vzr sana du
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
Asante sana
@kennedymwilamwesa38396 ай бұрын
Much love from Zambia
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
🙏🙏🙏
@kennedymwilamwesa38396 ай бұрын
Blessings brethren. I am from Zambia, l am asking for Lyrics and if possible notations to the song. Your music is so uplifting. May God Protect all of you. More grace to the directors !!
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@alistairomedi89306 ай бұрын
Hongeraaaa..... May God's name be praised now and forever ❤❤❤❤❤
@Temekesdachoirtanzania6 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@tynashao92007 ай бұрын
Nawaona waliokua TM Music😍😍
@Temekesdachoirtanzania7 ай бұрын
Naam ni watu na waimbaji wa Tmk
@tynashao92007 ай бұрын
Nyie watu mnaimba balaaa daaa Mungu awabariki
@Temekesdachoirtanzania7 ай бұрын
Asante sana na Amina
@tynashao92007 ай бұрын
Mbarikiwee sana kwa uimbaji
@Temekesdachoirtanzania7 ай бұрын
Amina nawe ubarikiwe
@Temekesdachoirtanzania7 ай бұрын
Amina sana
@deborahmgolemasatu85057 ай бұрын
Safi sana songeni mbele
@Temekesdachoirtanzania7 ай бұрын
🙏🙏🙏
@deborahmgolemasatu85057 ай бұрын
Mko juu Mungu azidi kuwainua
@Temekesdachoirtanzania7 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@Mathias-yi5bo8 ай бұрын
Jaman mi ndo nmewaona leo ety duh nmependa sana uimbaj wenu hakika ntakuwa nawafatilia
@Temekesdachoirtanzania8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 Asante sana na karibu sana. Endelea kutufatilia
@tynashao92007 ай бұрын
Hata Mimi niliukuta unaimbwa upendo tv sikujua ni temeke
@MagrethElias-dp8gt8 ай бұрын
Mbarikiwe mnoo hata kama Niko katika mawazo ninapowasikiliza napata amani mnooo🎉❤