Neema na Peter combo yenu mkiimba pamoja am sure hata shetani huwa anaogopa 😍😍😍 mzidi kutunzwa na Bwana chini ya mwamba wake
@MichaelMsigala-pv7gx12 сағат бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo jamani
@rgcbambacdc13 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@hamiltonmwarori368815 сағат бұрын
Huu wimbo ni moto sana 🎉❤ Yani tunaingia mwaka mpya na kishindo 🎉😊
@happynwa215516 сағат бұрын
Nataka nione kwa macho
@StacusMkama-kz1ht17 сағат бұрын
wokovu una maadili yake, mwanamke kuvaa suruali haileti ushuhuda mzuri , Sisi ndo wakuupindua ulinwengu , watu waokoke kupitia uvaaji , matendo yetu , sasa kama tumeanza kuvaa kama wao tunakwamisha injili , tusiulete udunia kanisani tuna haribu injili
@tinahbejumla11 сағат бұрын
acha fikira za kijinga fungua akili yako na moyo wako ukamsifu Mungu na ukamuabudu
@DanielDavid-ce3ejКүн бұрын
Jesus is the rock ❤
@favourkenyaКүн бұрын
777
@jonahwechuli32Күн бұрын
Nataka nione Kwa macho
@EvodiusMhanuz-qz3hfКүн бұрын
Bonge la song kiukweli mmeweza
@GloriaDon-dp9xgКүн бұрын
Yesu nimesikia habari zako nataka nione kwa macho 🙏
@minvononyango342Күн бұрын
A person reading this in 2040 i need you to know that God dwells on praises
@mwayilewismunthali878511 сағат бұрын
amen
@katieabraham20139 сағат бұрын
To add on that us in 2045 we will be so rich and still praise our lord so who ever is reading it just know all will be well we came a far but look what we have become❤
@MariaErangaКүн бұрын
It's more than Praises❤, it's an angelic gathering ☘️
@haikabosco9049Күн бұрын
Ayeeee🎉🎉🎉🎉
@AgnesAgnes-fm8wp2 күн бұрын
Aaah eeh Yesu eeh nimesikia habari zako nataka nione Kwa macho
@MarrySanga-q4t2 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@Newsoundsworldwide2 күн бұрын
Kwa mbalii Sana kaijage kwenye sax 🔥🔥🔥#lyzee
@ngwisuswillah40412 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Kapibite2 күн бұрын
Nikitaka kumsifia Yesu wangu nasikiliza huu wimbo
@happinessnovart23772 күн бұрын
👏👏👏👏👏Asante Mungu nilikuwa nshautafuta sana huu wimbo hapa KZbin....Mbarikiwe sana Osborns Praise 🙏🙏🙏👏👏👏
@hendrymsuya76482 күн бұрын
Yesu awabariki sana! This is my year song
@winnienandwa42732 күн бұрын
The song is powerful indeed blessings to you all Osborn praise 🙌🙌🔥🔥🔥🔥🥹💃💃💃💃 God bless you pastor T na mama mchungaji nawapenda kweli ❤your daughter from Kenya 🎉
@DoricasKamala2 күн бұрын
Am so blessed ❤❤
@salomeemmanuel51862 күн бұрын
❤
@lightnessshayo22672 күн бұрын
It has become the national anthem at my home place😂kucheza ni must🤸♀️🔥
@stellahnduku50902 күн бұрын
Eeeh yesu nmesikia habari zako wow nice song I have new song hitting on 🔥💯 NAONA MBALI by STELLAH NDUKU get it and God bless you all
@IRENESWAI-c1h2 күн бұрын
EMAA nakupenda bure keep its up ufanye makubwa zaid good bless you more
@Praise-fs7wu2 күн бұрын
Aaaahhhweeee😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽NYIE WEZETU AMBAO HAMJAOKOKA MNACHEZEAGA KWA WAPI😂
@thesoundpresident2 күн бұрын
Creativity on arrangement 😅😅😅... The drummer and the bassist agreed to finish this thing😂😂... Team go Team finish . PRAISE HOT LIKE HOT CHAPATI. This is Lovely Macho version. Makofi Yao plz.
@SafinaValentino2 күн бұрын
Ili vibes lisikie tuu ivi watu wa mkuyuni tumebarikiwa❤❤
@benonkwama56982 күн бұрын
Glory to God for such a glorious song. Ningeomba wakuu ikiwapendeza mtupitushie na spotify tuwe tunasikiliza pia from Dar to Dom to Mwanza🔥🔥
@JacklineTusiwene2 күн бұрын
,2025 nataka nione habari zako tenaaaaa❤❤❤❤
@jasmineabdallah24642 күн бұрын
Nimesikia wewe wabariki nataka nione kwa macho❤
@edenndalamai2 күн бұрын
❤❤❤
@EsthermlongoEsther3 күн бұрын
Amen amen mungu awabariki praise na awainuw nabarikiwa sana 🙏🙏
@reneebill37423 күн бұрын
This team is too much ooooh. Glooooory ❤❤❤
@ChinaTzTradingCompany3 күн бұрын
💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾❤
@luciageorge2923 күн бұрын
Halleluya nataka nione kwa macho Baraka zako Yesu
@AngelAngel-c4w3 күн бұрын
Pastor tunaye ,praise tunayo na tuna tamba nao ❤ hakika utukufu nikwa Bwana
@elijahsaro66113 күн бұрын
Namuona pastor tony Kwa mbali hii recording imebarikiwa
@elijahsaro66113 күн бұрын
Song of the year 💯💯💯💯💯❤️❤️❤️
@PharmBenson3 күн бұрын
vijana wameupiga mwingi🎉🎉 let's declare 2025 tuone kwa macho
@douglasmardai19323 күн бұрын
😊
@winfridamagudo89393 күн бұрын
What a song to end a year with🎉🎉🎉🎉🎉
@ConstanceNeema-x8r3 күн бұрын
Yesu nataka nikuone kwa macho🙏🙏
@neysmillerndimbo56883 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Next level
@JoelSilwano3 күн бұрын
Tumesikia habari zako niendelee Kuna kwa macho
@JudithRobert-xu9il3 күн бұрын
Hallelujah Hallelujah 🎉
@YvonneShirisha3 күн бұрын
Eeei the coordination and blending of all the instruments is just amazing and powerful God bless you people🙏🙏🙏
@stellachotta4833 күн бұрын
Yesu nataka nikuone kwa macho sitaki kusimuliwa 🙏🙏