Wasiilat Shafii (Khalifa Twaha)
4:24
sheikh othman michael  part 1
34:43
SHEIKH OTHMAN MICHAEL  part 2
17:21
SHEIKH OTHMAN MICHAEL
34:43
Жыл бұрын
DHKRI UMMY HAULI  SEPTEMBER 2023
37:01
MUHAMMAD YAA RASUULA
8:55
Жыл бұрын
YARABBI SWALI
8:23
Жыл бұрын
DHIKRI PART 3
33:45
3 жыл бұрын
DHIKRI PART 2
21:38
3 жыл бұрын
DHIKRI PART 1
18:29
3 жыл бұрын
KIBARWA PART 9
13:33
3 жыл бұрын
KIBARWA PART 8
22:11
3 жыл бұрын
KIBARWA PART 7
18:41
3 жыл бұрын
KIBARWA PART 6
25:12
3 жыл бұрын
KIBARAWA PART 5
21:21
3 жыл бұрын
KIBARAWA PART 4
17:31
3 жыл бұрын
Пікірлер
@MohanedJuma
@MohanedJuma 2 күн бұрын
Nampenda Sana bwana mkubwa huyo namimi nimepita pale zawiyani shaurimoyo Zanzibar chini ya khalifa swaleh kinunu
@MohanedJuma
@MohanedJuma 2 күн бұрын
Nampenda Sana bwana mkubwa huyo namimi nimepita pale zawiyani shaurimoyo Zanzibar chini ya khalifa swaleh kinunu
@hassanmwanga5273
@hassanmwanga5273 8 күн бұрын
Mashaalah
@HudhaifaHudhaifa-t2r
@HudhaifaHudhaifa-t2r 11 күн бұрын
Allah atupe barka zake
@NuruJumanneHamimu
@NuruJumanneHamimu 16 күн бұрын
Mashallah Allahuma firahu Alihamuhmu nasikuluku fijana ,na Allah atupe kheri kutokana na yota yakoo nanuru yako Allah atutengenezee Akhella yetu na dunia yetu amiin
@NuruAlves68
@NuruAlves68 18 күн бұрын
allaahu akbaru. kazi nzuri saana masheikh zetu ❤❤❤❤
@JaniMohamed-xe5ml
@JaniMohamed-xe5ml 18 күн бұрын
❤❤❤
@JaniMohamed-xe5ml
@JaniMohamed-xe5ml 18 күн бұрын
❤❤❤
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 18 күн бұрын
Ahsante wajina kwa ladha za wachaMungu
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 18 күн бұрын
MaashaaAllah. Alhamdulillah. Usituweke sana bila kututumia hayo majambo ya watu wa Mungu
@ally9610
@ally9610 18 күн бұрын
sawa
@kondomohamed3150
@kondomohamed3150 18 күн бұрын
Maasha Allah
@kondomohamed3150
@kondomohamed3150 18 күн бұрын
بارك الله فيك حبيب
@kondomohamed3150
@kondomohamed3150 18 күн бұрын
جزاك الله خير
@LumolaSteven
@LumolaSteven 28 күн бұрын
Allah amzidishie nuru kwenye kaburi lake Sheikh wangu Sheikh Muhammad (R.A)
@zamdinikilala5454
@zamdinikilala5454 Ай бұрын
Allah allah allah
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl Ай бұрын
Sheikh muhammad bin nassor bin abdallah al qadir hakika alikuwa ni walii mkubwa,mimi nimeshihudia makarama yake kwenye miaka ya 2000,hapa anaingia pia khalifa hassan bin hussein wa arusha,nikipata wasaa nitakieleza kisa hiki insha allah,
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl Ай бұрын
Ninamuomba allah swt anijaalie siku moja nami niweze kufika katika maqubah haya ili niwazuzulu mabwana wakubwa hawa,allah swt awarahamu masheikh zetu wote waliotangulia mbele ya haki amiin
@MohamedMgwami-nw6bl
@MohamedMgwami-nw6bl Ай бұрын
Masha allah ninawashukuru kwa kutupa tarekhe ya bwana mkubwa huyu sheikh sayyid hassan bin umar mtume chimo ,allah swt amrahamu sheikh wetu huyu amiin
@MURIDIWASHEIKHE
@MURIDIWASHEIKHE 2 ай бұрын
Mburahat
@halimaabdi4829
@halimaabdi4829 2 ай бұрын
MashaAllah❤❤
@MujaahidHamad-s2t
@MujaahidHamad-s2t 3 ай бұрын
Masha Allah
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 3 ай бұрын
Kwa baraka zake Allah insha Allah amjaalie sheikh shariff mohammadi nassoro awe pamoja na mtume swala eleihi wasalam katika pepo ya Firdausi
@bagalucha
@bagalucha 3 ай бұрын
Asalam Aleikum waislamu wenzangu,uislamu umeihimiza kuelekezana,kwa kuifuata haki iliyotoka kwa Allah,kupitia Quran na mtume wake wa mwisho,kiongozi wetu mtume Muhammad Swalallahu alayhi wasalaam,sisi viumbe na watumwa kwa Allah,hatupo wakamilifu,tuwe na hadhari ya kujipa utukufu wa kupindulkia,tuwache hawaa binafsi,na tuifuate haki aliyokuja nayo mtume ambaye,ndio kiyoo cha yaliyopita,ya wakati wa uhai wake na yanayokuja,Allah katika Quran anasema (SUBANA,ametakasika aliyemchukua mja wake Usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona.)01 Al Israa,tena Quran 70. (Na hakika tumewatukuza wanaadamu, na tumewapa vya kupanda nchi kavu na baharini, na tumewaruzuku vitu vizuri vizuri, na tumewafadhilisha kwa fadhila kubwa kuliko wengi miongoni mwa tulio waumba.) tunajua kuwa Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ni Muhuri wa Mitume na mtukufu na mbora wa Mitume, mtukufu zaidi kati yao na Allaah, Ametakasika. Ushahidi wa hilo katika Qur-aan na Sunnah unajulikana sana. Ama yale ambayo hayana ushahidi wa wazi, basi ili tuwe katika upande wa usalama tujiepushe nayo.kwa hiyo hili la kuwakufurisha watu kwamba anaesema mtume ni binaadamu,amefanyakufuru kubwa,linataka uwazi na ufafanuzi wa kielimu,ambalo kulikataza hili,lisije likapelekea upotoshaji,kwa wengine kiimanj,na kuwaingiza katika shirki,tupunguzeni munkar na hawaa nafsi,tunamuomba Allah atuongoze katika njia iliyonyooka,Amin
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 3 ай бұрын
Kikao cha wacha Mungu.
@mussamlewa2178
@mussamlewa2178 3 ай бұрын
Alhamdulillah kwa kutuwekea habari zetu
@ally9610
@ally9610 3 ай бұрын
Kheri alhamdullillah Allah atufanyie wepesi
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 3 ай бұрын
Shukran habyb kwa kuanza kutuwekea habari zetu. Maana Kila siku nachungulia kuona umeweka au bado...
@ally9610
@ally9610 3 ай бұрын
Sawa somo Alhabib, cha msingi tuombeane Dua kheri tupate sote duniya na akhera
@salmajuma4300
@salmajuma4300 3 ай бұрын
Shukran
@ally9610
@ally9610 3 ай бұрын
Karibu sana, Asante
@FatmaJ-v7f
@FatmaJ-v7f 3 ай бұрын
MashaaAllah, Allah aiongoze zaid twarika yet, ole wao wanaoikanyaga
@FatmaJ-v7f
@FatmaJ-v7f 3 ай бұрын
MashaaAllah, Allah aiongoze zaid twarika yet, ole wao wanaoikanyaga
@UstadhMpemba-e5b
@UstadhMpemba-e5b 3 ай бұрын
Maashalla allabariki
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 4 ай бұрын
MaashaaAllah. Shukran. Tunasubiri mengine matamu
@shomvishomvi
@shomvishomvi 4 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@LatifaHussein-v2m
@LatifaHussein-v2m 4 ай бұрын
@aminamwinyi5528
@aminamwinyi5528 5 ай бұрын
ALLAH amplipe pepo ya juu shkh wetu,nasi atupe mwisho mwema
@IbrahimKaranja-qu9yn
@IbrahimKaranja-qu9yn 5 ай бұрын
Allah ampe kheir za dunia na akhera
@adnaankhanbhai7057
@adnaankhanbhai7057 5 ай бұрын
Hii ni balaa gani wana dunda na kuruka ruka kama taarab ya pwani
@SaidiRamadhani-j3i
@SaidiRamadhani-j3i 5 ай бұрын
Maashaallah ❤
@OsmanBey-yy1lq
@OsmanBey-yy1lq 5 ай бұрын
wewe chizi kabisa Tena shetani wewe ungekuwa kalibu yangu ningekukata kichwa chako zikir ndodini wewe arafu nakushauli nenda kasome
@MusaRamadhani-wj2dw
@MusaRamadhani-wj2dw 5 ай бұрын
Na huyu Mzee anaelimu kubwa sana sana nivile sisi wajinga huatunatabia wanao jua wanonekana hawakui na wasio jua ndio wanonekana wanajua jkweli ni kwamna halifa musa isa huyu ni mwanachuoni mkunwa
@adnaankhanbhai7057
@adnaankhanbhai7057 5 ай бұрын
Upuuzi mtupu hapo hakuna Uislamu hapo nyote mlihudhuria pilau tu😂😂😂
@meksd2418
@meksd2418 4 ай бұрын
Mjingaa hujibiwaa na mwerevu ibilisii ili akupandishee daraja zakikafirii
@AllyMatondo-m5n
@AllyMatondo-m5n 5 ай бұрын
Shukuran sana
@ZenaBatte
@ZenaBatte 5 ай бұрын
Mashaallah mashaalah
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 5 ай бұрын
Huyu chimo namsikia sana, natamani ningeonana nae. Kiumbe hiki kizito.
@MURIDIWASHEIKHE
@MURIDIWASHEIKHE 6 ай бұрын
Mawahabi wamejichagulia JAHANNAM
@feizelfahad5537
@feizelfahad5537 6 ай бұрын
Ma shaa allah mungu atujalie maisha mema kama hivi tuna mswalia mtume kwapamoja
@AzizashabaniRashid
@AzizashabaniRashid 6 ай бұрын
Ni mburahati sio chanika
@AhmednasirMohamed-le3ht
@AhmednasirMohamed-le3ht 6 ай бұрын
ALLAHUMMA SWALLIY WA SALLIM ❤️ WA BAA RIIK ALAA SAYYIDNAA❤ MUHAMMAD❤WA AALI MUHAMMAD❤
@AhmednasirMohamed-le3ht
@AhmednasirMohamed-le3ht 6 ай бұрын
❤LAA ILAAH ILLA ALLAH MUHAMMADUN RASUULULLAAH SWALLALLAHU ALAIHI AALIHII WA SALLAM❤️❤️❤️❤️
@Yusuphmazohany
@Yusuphmazohany 6 ай бұрын
Adhweem
@Yusuphmazohany
@Yusuphmazohany 6 ай бұрын
Mashallah