with love from South Africa , i dont hear anything. but i love the song.
@naomikalinga5459Күн бұрын
Kweli hakuna Cha kujivunia ni Mungu amefanya
@janechengula2833Күн бұрын
Ulikonitoa Mungu wangu nimbali sana 😢
@janechengula2833Күн бұрын
Asante kwakutenda kwangu ❤🎉
@janechengula2833Күн бұрын
😢😢😢😢🙏🙏
@consolataokwalo9891Күн бұрын
Its such an amaizing song
@MeeriMshihirКүн бұрын
sijui nimevukaje kwenye magonjwa waooooo❤❤❤ nilishikwa na ugonjwa ila yoye ni mungu amefanya 🎉🎉 Barikiwa kwa kazi nzuri ya ujumbe kuueneza habari njema ya ufalme wa mbinguni Asante yesu wangu
@MeeriMshihirКүн бұрын
Asante baba wa mbinguni bila wewe nani angetushika mkono ❤❤❤Barikiwa naza mungu azidi kukuongoza zaidi
@sarahsumisumi89322 күн бұрын
Baba asante
@karumegeorge76982 күн бұрын
2025 still the song singing in my heart ❤️
@RahabWanjiku-k8h2 күн бұрын
🙏🙏🙏ni mungu
@naombasanga45352 күн бұрын
Kwakweli Mungu nimwema dadaangu Mungu azidi kuku tunza na azidi kukiiinua kipaji chako maana nikweli Mungu anashangaza matendo yake ni yaajabu jamani twendeni tumtumikie kwa pamoja
@mussanzali2 күн бұрын
Ni Mungu TU!
@DestinedVictor2 күн бұрын
😢😢
@sarahanyango9002 күн бұрын
Yaani nikiskiza hii wimbo naskia tu kudodokwa na machozi ya furaha
@moturiedwin18272 күн бұрын
Nimetumwa huku na Geoffrey (GPG)
@geoffreytheprincemwimbaji93432 күн бұрын
NUMBER 🎉🎉🎉🎉 congratulations
@janetonyalo50113 күн бұрын
Sijui kweli Mungu ni mwema
@ManerlyTjipaka3 күн бұрын
Gog bless you beautiful madam I'm really love your songs. Be bless mum 🙏 all the way from Namibia. 🎉
@eunicekavita2303 күн бұрын
Amen
@dorcasmusuluve84743 күн бұрын
I really love this song
@florenceatieno473 күн бұрын
Sijui kabisaaa vile nilivuka 2024 to 2025 ila kwa nguvu na neema zake Mungu wangu. ❤❤
@AshaJumaMkwiche-p5t3 күн бұрын
Mungu akubariki na azidi kukuimarisha na uzidi kutowa nyimbo zeny ujumbe tukapokee uponyaji kwa baba kupitia nyimbo zako ni mungu tu ametenda jamani❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kayeshdesigners74964 күн бұрын
How I escaped death wakati wa COVID-19 hata sijui. I have never lost hope like that day. When going down stairs to a waiting taxy I knew I was not coming back alive. Sijui Mungu alifanya aje❤❤
@bibihanahmue234 күн бұрын
Nice song 🙏🙏🙏🙏
@BIGEANNEMAGAZINI4 күн бұрын
Barikiwa mutumishi wa mungu
@JULIETOmoke4 күн бұрын
Asante baba 🙏🙏🙏
@lucysagero-o2u5 күн бұрын
I Can't get tired kuskiza hii song 😢😢can't compare myself to anybody najua siku yangu yaja😢 mahali amenitoa ndo mbali na I believe ananipeleka far ...Thank you lord😢😢😢
@Marymbithe-r1b5 күн бұрын
So powerful, more grace❤
@NeemaEmmanuel-cx5rt5 күн бұрын
Be blessed nice song
@janetnzikali68235 күн бұрын
...Soon to be celebrated in Jesus name ,naona dalili ya dhoruba kutulia...
@richardselaka16216 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@KimaniHarrison-b6x6 күн бұрын
Mupakwa mafuta na Mungu uinuliwe juu sana
@DouglasWekesa-yu6zc6 күн бұрын
Ni mungu ametenda👋🙏🙏🙏
@LavinceLovee6 күн бұрын
Same sijui vile nilitoka kwa ajali vita za wanadamu aii Mungu asante
@MaryDama-rf8wz6 күн бұрын
Ni mungu tuuh😊😊😊
@marynzianaanami20927 күн бұрын
Penye Mungu amenitoa Kwa maungonjwa,hadi saai naandamwa na maatui vita imekua mingi 😢😢 tangu Mamangu aondoke duniani vita napikwa 😢😢😢 ni Mungu atanishindia
@esterjob25877 күн бұрын
Asante yesu najua ni wewe umenibeba mpaka kufika hapa mimi ni wewe