We jamaa wa simba hapo kwa captain umeongea ukweli
@isackyohana2707Күн бұрын
sasa wabongo bwana,,,raisi nae ndivyo anasapoti timu kwa mtindo huo,,,we unaibuka eti milioni 5 kila goli haina maana,,,c wivu huo wa waziwazi!!!kwinhine kuna harimashauli cy manispaa,,,koroboi!!!!
@DenisSanga-bj5udКүн бұрын
Wewe Kiwale wewe kwa mechi Gani ya kutamba fontein gate hata hawashambulii ilkuwa inacheza Simba na jezi za fontein ngoja mkutane na timu zenye maswali kwenye beki yenu
@DenisSanga-bj5udКүн бұрын
Kweli kabisa kaka miundo mbonu ipewe kipaumbele kwa maendeleo ya soka nchini ila Yanga bingwa
@kolosii4351Күн бұрын
Waambie simba hakuna pengo la chama wafurahi. Ndio watanzania tunapenda kusikia sifa tuu.
@mnyamanimaarifa5470Күн бұрын
Tutoleni machizi
@mpekeomtandalatv29092 күн бұрын
😅😅😊
@mpekeomtandalatv29092 күн бұрын
🔥🔥
@mpekeomtandalatv29092 күн бұрын
😂😂
@mpekeomtandalatv29092 күн бұрын
🔥🔥
@mpekeomtandalatv29092 күн бұрын
🔥🔥
@mpekeomtandalatv29092 күн бұрын
👏👏
@Veni5842 күн бұрын
Siku ya dabi uje
@DieyMakonga2 күн бұрын
Upo vzur semaji letu
@ExperoLivin2 күн бұрын
Woyoooooo
@JustinMwakalukila2 күн бұрын
Sasa mtu keshawaambia anaipenda simba mnamuuliza kwann anaipenda simba😂😂😂,Sasa kwann wow ni mwandishi wa habr na ni stabiki wa YANGA😅😅?
@mpekeomtandalatv29092 күн бұрын
Shangaaaa
@shabanibwanamdogo62542 күн бұрын
Hawa ndio wanamichezo sasa nc kiongoz
@AnethAkyoo5 күн бұрын
Pamoja sana wanangu wa kazi 👍👍👍👍💚💚💚💚💛💛💛💛
@sampeopletz12557 күн бұрын
Wimbo mpya wa YANGA 👇👇👇👇👇🙏🙏 kzbin.info/www/bejne/gJu8eIKohr2bfZosi=ATVrhW8u4ljDtxUl
@kolosii43519 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉😢😢
@adamfugame71689 күн бұрын
hawa wanatakiwa raundi ya pili wapigwe sita ukijumlisha na nne = kumi wapeleke ngenga kwao
@hawahussein1379 күн бұрын
Waambie
@subiramohamed830810 күн бұрын
Kaka yake zuchuu
@AllyAthuman-z9b11 күн бұрын
Pakome no Kama malehemu radislaus Shawa au Hamisi gagalino
@githinji4411 күн бұрын
Shabiki sugu!!
@user-ji1mq4sk1n12 күн бұрын
kwahiyo kama kaka yake zuchu tukutongoze
@mpekeomtandalatv290913 күн бұрын
😂😂😂😂
@NeySalim14 күн бұрын
Kumbe mdog nilidhan mzee
@user-bt6ep3yb2h14 күн бұрын
Simba waelewa nafikiri ni wachache, wengi wao hawana msimamo na uelewa wa kandanda, acheni visingizio visivyojenga football.
@kolosii435114 күн бұрын
Simba pre season ilijikita zaidi kwa ajili ya yanga. Wakasahau kuna timu nyingine ambazo hazisemwi ila zipo juu.
@kolosii435114 күн бұрын
Walitumia nguvu nyingi kwa yanga kisha pumzi zikakata kwa coast.
@peterchande95714 күн бұрын
Captain naamini Yanga bingwa wa Africa
@MkobaMfangavo14 күн бұрын
Hana jipya huyu
@SaidAlly-uh4qw14 күн бұрын
Khadija kopa mtupu huyu jamaa wamefanana sana😂😂
@SuleimanAbdallah-jb6sx13 күн бұрын
Kweli Kabsaa. Hata uzungumzi kama wa Khadija kopa
@LucasGibsonhailonje9 күн бұрын
Sana yaani hasa anavobinua midomo aisee
@IslahiMohamed-qi2jf14 күн бұрын
Fey akisherekea tusiumie
@IslahiMohamed-qi2jf14 күн бұрын
Bifu tu mm mwenye yanga lakin fey yupo saw
@IslahiMohamed-qi2jf14 күн бұрын
Alocheza vzur fey
@SoccerCity0114 күн бұрын
Chadrack Boka mashine ya Kusaga na kukoboa 🔥🔥🔥
@MeshackLukanda14 күн бұрын
kweli fei Toto aache ujinga yanga imemlea huyoo
@fettiemaganza148415 күн бұрын
Kidogo afanane na mwijaku
@WahabiNgaeka-ij7el15 күн бұрын
Akuna ubingwa apo
@AyubuMsindo15 күн бұрын
Dadaake zuchu
@AyubuMsindo15 күн бұрын
😮umlee wewe mamayake
@user-vv1te9fu8q15 күн бұрын
Yani huyu akiongea mamaake mtupu wamefanana mpk mashavu na sasa hivi alivyonenepa ndio kabisa bi khadija kopa mtupu
@fettiemaganza148415 күн бұрын
Ndugu yake mwijaku😂😂
@ShimakaSlimdad15 күн бұрын
Hivi hujui kuwa na technical banch jipya ndio ilikusaidia
@julianajeremiah435315 күн бұрын
Kwaiyo mlitaka Fei afunge asishangilie uswahili tu huo