Mchamungu nakupenda sana una mafundisho mazuri sana
@gildasndayizeye78039 сағат бұрын
Amina
@alisteusarchard365621 сағат бұрын
Amina
@JoyceMlwaleКүн бұрын
Najivunia ukatoliki wangu❤
@lucyfrancis1614Күн бұрын
Hongereni saana mmependeza kumtumikia mungu ni raha sana mwenyezi mungu awatangulie muweze kutumika vema
@davidngowi1534Күн бұрын
Nilibarikiwa sana na mahubiri yake
@hadijambwasi2805Күн бұрын
hongereni sana kwa utume wenu
@jumannebasesa1100Күн бұрын
Mungu ambariki na kumlinda Baba Padri anapoanza rasmi Utume wake.
@michshaka-qt5rwКүн бұрын
Barikiwa sana kaka jofrey R
@abaasonetv803Күн бұрын
Joy of Catholic Church
@francisonyango17962 күн бұрын
Amina
@ErasmusMakavery2 күн бұрын
amina
@Wilfred-wk9sf2 күн бұрын
Amen ❤❤❤❤
@Wilfred-wk9sf2 күн бұрын
AMEN 🙏 🙏 🙏
@HadrianIdolius-iz3xt2 күн бұрын
Amina sana na Mungu azidi kukutangulia
@AidanpastoryAndrea2 күн бұрын
Amen amen
@ShaniUrembo2 күн бұрын
Najivunia sana kuwa mkatoliki
@bethwinfred44002 күн бұрын
Tumusi yesu kiristo naomba kwenye kuhabundia kusariwe je?
@Wilfred-wk9sf2 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 ❤❤❤❤❤
@linahmmassy34392 күн бұрын
🎉🎉Ongera sana Fr kwa homilia nzuri iliyojaa uhalisia wa sasa ktk kumfuasa kristo kuwakumbusha kubanduka na malimwengu 🎉🎉
@Wilfred-wk9sf2 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 ❤❤❤❤❤
@Wilfred-wk9sf2 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@Wilfred-wk9sf2 күн бұрын
Amen ❤❤❤❤
@Wilfred-wk9sf2 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@Wilfred-wk9sf2 күн бұрын
Amen ❤❤❤❤❤❤
@daviddsouza7352 күн бұрын
Kanisa, viongozi, kutoa majibu ya maswali ni rahisi. Kufanya mabadiliko ndio kwenye kazi.
@kelvinmwacha1292 күн бұрын
Mwanakwaya Damu damu 😂❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@daviddsouza7352 күн бұрын
Somo bado linaelea hewani kwa kiasi kikubwa kwasababu naona kanisa limejisahau katika kupambana na shida za masikini. Makuhani wa nyakati hizi tuwaweke kwenye kundi lipi? La kina Amosi au la makuhani wa mfalme? Kwenye somo la pili, baada ya sisi kuchaguliwa je tunatimiza masharti ya ukristo? Wengi walimfuata Yesu kwaajili ya miujiza na kula mikate. 12 wailotumwa kabla ya kutumwa waliambatana na Yesu kwa miaka 3 na walifunzwa.
@EmanuelTemba-fr6xc2 күн бұрын
Hongera sana sister kwa huduma yako nzuri Mungu akubariki sana
@phylismwash3 күн бұрын
Amina
@aristidisamba15733 күн бұрын
Dah hongereni sana wana kibamba kwa kanisa zuri
@Wilfred-wk9sf3 күн бұрын
Amen ❤❤❤❤❤❤
@Wilfred-wk9sf3 күн бұрын
Amen ❤❤❤❤❤👏👏👏👏👏
@agripinaitote-xl1lz3 күн бұрын
Asante kwa tafakari nzuri fr,,Mungu atusaidie tuchume ua jeupe na Jekundu tukiwa hapa Duniani.Mama Maria rosemistica utuombee.
@AlistidesBigirwa3 күн бұрын
UTUKUFU KWA MUNGU JUU.
@dismaspeter22663 күн бұрын
Asante sana Fr Mathew kwa tafakari na mafundisho mazuri juu ya Mama yetu. Mungu akuzidishie neema kwa maombezi ya Mama Maria
@user-tu7ol9eq7c3 күн бұрын
Mungu awabariki ktk utume wenu .
@Yosephapaul-xp3ym3 күн бұрын
Amina 🙏🙏
@siamacha48113 күн бұрын
Hongereni sana wanetu.
@alisteusarchard36563 күн бұрын
Amina
@alisteusarchard36563 күн бұрын
CAmina
@ellysella16203 күн бұрын
Kabisa mtumishi
@freddykulwa81903 күн бұрын
Tumsifu yesu kristo
@GetrudaModo4 күн бұрын
Amina baba josphati
@EllyAyo-uq6ol4 күн бұрын
AMEN MTU WA MUNGU,UBARIKIWE SANA
@user-nz6rs9vn3t4 күн бұрын
Mungu wetu,Muongoze askofu rugambwa
@FransiAgustin4 күн бұрын
tukopamoja
@PetterRazaro4 күн бұрын
Kubaya kabisa
@YasintahMasanki-vr4dk4 күн бұрын
Mungu azidi kuwapa watawa wote wepesi katika utume wao