Bonge la dongo, alitupiwa Mzee Gurumo pamoja na Bichuka, wakati walipoondoka kwenda Oss.
@aminamaletaКүн бұрын
Chiriku Hassan reheni bichuka akibado kijana kwa sasa bichuka ni mgonjwa muziki wa zamani ndio muziki hasa sio sasa.kwa sasa bichuka nasumbukiwa na maradhi serikani ifanye mipango ya kuwahudumia hawa wanamuziki wetu wa zamani hata basi kuwapa bima za matibabu waliheshimisha taifa sana
@shabanisudy64933 күн бұрын
Hawa wakongwe wameshindikana
@shabanisudy64933 күн бұрын
Baba ya mziki
@josephsilayo49273 күн бұрын
Nyimbo pendwa kizazi nakizazi zitaimba hizi nyimbo
@RehemaMahamudu-x4g4 күн бұрын
Nyimbo zenye truu stor zina ishi na zina radha
@RehemaMahamudu-x4g4 күн бұрын
Nyimbi hiz km ninapigwa kila siku kwenye ma radio mbona baada ya miaka kazaa zinaangusha ufalme wa vijana
Zamani kulikua kuna raa sana km huyu mjomba tulikua tukimuona anapita mitaan ni kawaida sana
@hesbonomullo54674 күн бұрын
Good music
@joycebenjamin60176 күн бұрын
Duuh huyu jamaa alichanganya nyimbo za aina zote lkn sasa hivi Mapenzi mwanzo mwisho.❤
@juliuskioko18397 күн бұрын
When music was music.
@AwadhiMkumbo7 күн бұрын
Wacha weee ddc
@NasibJunior-j2e7 күн бұрын
Wallah mpaka choz limenitoka
@NasibJunior-j2e7 күн бұрын
Kipindi hicho nilikua cna uelewano mzuri na mama yangu lakin hiki kibao kilinifanya kwenda kwa mama cku hio hio
@MaximeMasinga5 күн бұрын
we acha t😢
@MaximeMasinga5 күн бұрын
@NasibJuni🙏🙏or-j2e
@JohnstoneKavengah8 күн бұрын
Kumbukumbu ya mbali
@MatanoAbdallah-i6h9 күн бұрын
To remember 7onties
@grundtvigafricahouse549312 күн бұрын
Beautiful music.
@danikaale639213 күн бұрын
hakika
@kennethbahebenginilla165714 күн бұрын
Ewe ndugu yangu kitinda mimba,nakuambia mimi kama kaka yako,ingawa natambua unanidharau lakini mimi nimeona dunia kabla yako
@judahshauri12614 күн бұрын
Hasan
@ramadhansaid212315 күн бұрын
Karibu 2025
@NURDINBENDERA16 күн бұрын
Nice songo and educative
@PatrobaP18 күн бұрын
They remix is good. I liked it
@HamisiOmari-t1r24 күн бұрын
Sana shida wewe
@BSNewsAlert28 күн бұрын
Buriani Kaka!
@kennethbahebenginilla1657Ай бұрын
Akili haifanyi kazi kwa kuwa wewe unaumiaa old school ya kale dhahabu(old is gold)
@pascalmsegea4563Ай бұрын
02/12/2024
@JonasKishokeАй бұрын
Huyo anaitwa Papa kishaju kutoka karagwe kagera
@saidifundi-f6gАй бұрын
Rip mzee king kikii mzee wa kitambaa cheupe 😢😢😢so sad
@SalomePeter-b1gАй бұрын
wa kisasa hakuna cha maadili kupitia nyimbo za mziki mara tunaimbiwa chapati chapati duh!
@SephaniaSangaАй бұрын
Kweli ukiwenza unahitaji moyo.hongera marijani rest in peace
@RosemaryStanslausАй бұрын
Pumzika kwa Amani ,mziki ulikuwa ni zamani
@morrisgachunji8978Ай бұрын
I honestly just knew today that this was Longombas Brothers' father. His name was like one of the sons: Lovy Longomba/ Awilo Longomba's brother.
@AliJuma-y7nАй бұрын
Hakkika nihazina kweli
@JairusAnyona-b4iАй бұрын
When I was in school
@mussasaidi481Ай бұрын
❤
@hajiramadhanihaji355Ай бұрын
Hii ndio music. Mashairi safi ,ujumbe mzuri , lugha adhimu ya kiswahili, mpangilio wa vyombo,mzuri ajabu. Sio haya matusi tunayosikiliza Leo ,yaani huwezi kusikiliza music na wanao .yaani matusi matupu.