Hongera sana baba unanikumbusha mbali sana..fingering hiyo "Yeye ashindaye nitampa kuketi nami katika kiti changu cha enzi"
@Giuseppe-tz27 күн бұрын
@@monicamabella4659 Hakika ataketi naye katika kiti chake cha enzi mwananguu 🙏🙏
@tempochoir28 күн бұрын
Wow 🔥🔥🔥🔥 natamani niimbe wakati unapiga kinanda🎉🎉🎉
@Giuseppe-tz28 күн бұрын
@@tempochoir 😀😀😀😀 Karibu tumuimbie Mungu wetu
@aristidesdanda829028 күн бұрын
Mambo ni 🔥🔥
@Giuseppe-tz28 күн бұрын
@@aristidesdanda8290 🔥🔥🔥🔥
@goldenshadrackmsungu366428 күн бұрын
Fundiiiii
@Giuseppe-tz28 күн бұрын
Asante Sana Mr. Major
@josephluvinga6495Ай бұрын
Ipo poa san yan
@josephluvinga6495Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏ipo vzr sana yni
@JustusJustus-h3jАй бұрын
Nakupenda sana wimbo uu jmn mko wap nyie wanakwaya
@Giuseppe-tzАй бұрын
@@JustusJustus-h3j Tuko Dar es salaam Tanzania
@kennedymukoto4224Ай бұрын
Ningelitaka kujua kwaya hii saaana
@AgustinoSilvanoАй бұрын
Bado ulikuwa hujafungwa😂
@RestusBravooАй бұрын
Hongeraaa sanaaa
@Giuseppe-tzАй бұрын
🙏🙏🙏
@MzikiWaMbinguni2 ай бұрын
Safi sana kwa kweli
@Giuseppe-tz2 ай бұрын
❤❤
@Maliganyasylivester2 ай бұрын
Nice performance
@Giuseppe-tz2 ай бұрын
@@Maliganyasylivester Asante sanaa
@bennjanja23822 ай бұрын
Watching from the holy land .... keep it up
@Giuseppe-tz2 ай бұрын
@@bennjanja2382 Ameen
@goldenshadrackmsungu36642 ай бұрын
Mwambaa
@Emmanuely9722 ай бұрын
Mkuuuu🔥🔥
@Giuseppe-tz2 ай бұрын
@@Emmanuely972 niaje mkuu
@goldenshadrackmsungu36642 ай бұрын
Wimbo imenyooka sana
@goldenshadrackmsungu36642 ай бұрын
Fundi mwenyewe
@lufinakomba53922 ай бұрын
❤❤
@tempochoir2 ай бұрын
Wow Mtiribu safiii 👏
@tempochoir2 ай бұрын
❤❤🎉🎉🎉
@tempochoir2 ай бұрын
Hongereni mmetulia Soprano nimeipenda mlivyoanza👏
@tempochoir2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@tempochoir2 ай бұрын
Wow mtiribu anaimbisha vizuri sana 👏
@tempochoir2 ай бұрын
❤❤🎉🎉🎉
@ValentinaJeremiah2 ай бұрын
Be blessed❤
@ashrafghanem94152 ай бұрын
Tafadhali niruhusu nishiriki tafsiri ya aya hizi kutoka katika Sura ya 4 (Wanawake) ya Quran inayozungumza na Watu wa Kitabu (yaani Mayahudi na/au Wakristo). Ubarikiwe. 153. Watu wa Kitabu wanakuomba uwateremshie Kitabu kutoka mbinguni. Lakini walimtaka Musa makubwa zaidi kuliko hayo, na wakasema: Tuonyeshe Mwenyezi Mungu moja kwa moja. Basi radi ikawapiga kwa udhalimu wao. Kisha wakamchukua ndama baada ya kuwajia dalili zilizo wazi, na tukawasamehe. Na tulimpa Musa uthibitisho ulio wazi. 154. Na tukauinua mlima juu yao kwa kukataa ahadi yao. na tukawaambia: Ingieni mlangoni kwa unyenyekevu. na tukawaambia: Msiruke mipaka siku ya Sabato. na tukachukua kwao ahadi nzito. 155. Kwa ajili ya kuvunja kwao ahadi na kuzikataa kwao Ishara za Mwenyezi Mungu, na kuwauwa kwao Manabii bila ya haki, na kusema kwao: Nyoyo zetu zimefungwa, [yaani, kupigwa muhuri dhidi ya mapokezi] [Tumewalaani]. Bali Mwenyezi Mungu amewapiga muhuri kwa sababu ya ukafiri wao, basi hawakuamini isipokuwa wachache tu. 156. Na kwa ukafiri wao na kumsema kwao Mariamu uzushi mkubwa, 157. Na kusema kwao: Hakika sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu. Nao hawakumwua, wala hawakumsulubisha; lakini [mwingine] alifanywa kufanana naye kwao. Na hakika waliokhitalifiana juu yake wamo katika shaka nayo. Hawana ujuzi nayo isipokuwa kufuata dhana tu. Na hawakumuua, kwa hakika. 158. Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima. 159. Na hakuna katika Watu wa Kitabu ila hakika atamuamini kabla ya kufa kwake. Na Siku ya Kiyama atakuwa shahidi juu yao. 160. Kwa dhulma ya Mayahudi tuliwaharamishia vyakula vizuri walivyohalalishiwa, na kujiepusha kwao na Njia ya Mwenyezi Mungu, 161. Na kuchukua kwao riba na hali wamekatazwa nayo, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. Na tumewaandalia makafiri miongoni mwao adhabu chungu. 162. Lakini wenye ilimu miongoni mwao na Waumini wanaamini yaliyoteremshwa kwako, na yaliyoteremshwa kabla yako. Na wanao simamisha Swala na watoao Zakat, na wanao muumini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, hao tutawapa ujira mkubwa. 163. Hakika Sisi tumekuteremshia wewe kama tulivyo wateremshia Nuhu na Manabii baada yake. Na tulimletea wahyi Ibrahim, na Ismail, na Is-haq, na Yaaqub, na Wajukuu, na Isa, na Ayub, na Yona, na Harun, na Sulaiman, na Daud tukampa Kitabu [Zaburi] 164. Na Mitume tulio wahadithia. [Hadithi zao] kwako kabla na Mitume ambao hatukukuhadithia. Na Mwenyezi Mungu akanena na Musa kwa maneno. 165. [Tulituma] Mitume wa bishara na waonyaji, ili watu wasiwe na hoja juu ya Mwenyezi Mungu baada ya Mitume. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima. 166. Lakini Mwenyezi Mungu anayashuhudia aliyo kuteremshia. Ameiteremsha kwa ujuzi Wake, na Malaika wanashuhudia [pia]. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Shahidi. 167. Hakika walio kufuru na wakazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu wamepotea upotofu wa mbali. 168. Hakika walio kufuru na wakadhulumu Mwenyezi Mungu hatawasamehe, wala hatawaongoa njia, 169. Isipokuwa njia ya Jahannamu. watakaa humo milele. Na hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi. 170. Enyi watu! Amekujieni Mtume kwa Haki kutoka kwa Mola wenu Mlezi, basi aminini. ni bora kwenu. Na mkikufuru basi hakika ni vya Mwenyezi Mungu viliomo mbinguni na ardhini. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye hikima. 171. Enyi Watu wa Kitabu! Masihi Isa bin Maryamu hakuwa ila ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na neno Lake alilolielekeza kwa Maryamu na roho [iliyoumbwa kwa amri] kutoka Kwake. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala usiseme, "Watatu"; acha - ni bora kwako. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametakasika na kuwa na mwana. Ni vyake vilivyomo mbinguni na vilivyomo katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mlinzi. 172. Masihi hataudhi kuwa mja wa Mwenyezi Mungu, wala Malaika hawatamkaribia. Na anaye dharau ibada Yake na akajivuna basi atawakusanya Kwake wote. 173. Na ama wale walioamini na wakatenda mema, atawapa ujira wao kwa ukamilifu, na atawazidishia katika fadhila yake. Ama wale walio dharau na wakatakabari, atawaadhibu kwa adhabu iumizayo, wala hawatapata mlinzi wala msaidizi badala ya Mwenyezi Mungu. 174. Enyi watu! Imekujieni hoja iliyo madhubuti kutoka kwa Mola wenu Mlezi, na tumeteremsha kwenu nuru iliyo wazi. 175. Basi wale walio muamini Mwenyezi Mungu na wakashikamana naye, atawaingiza kwenye rehema itokayo kwake na fadhila, na atawaongoza kwake katika Njia iliyonyooka.
@LeusDeusi2 ай бұрын
Mtalamu mwenyew Nakuona
@Giuseppe-tz2 ай бұрын
Hatari mkuuu
@aristidesdanda82902 ай бұрын
🎉🎉🎉
@Giuseppe-tz2 ай бұрын
🙏🙏
@BahatiAngelo2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu awazishie bidii ya vipaji vyenu mpo vzr
@Giuseppe-tz2 ай бұрын
Asante Sana ❤❤
@laurentnjoka3 ай бұрын
Hongeren
@Giuseppe-tz3 ай бұрын
@@laurentnjoka 🙏🙏
@IanLemayian-o1q3 ай бұрын
Misa gani ii??
@Giuseppe-tz2 ай бұрын
FAN XI
@andreabasso253gmail3 ай бұрын
Amina,baraka za Mungu ziwe nanyi🙏🙏🙏🙏🙏
@goldenshadrackmsungu36643 ай бұрын
Unenyoosha mzee
@michaelonlinetv3 ай бұрын
Misa nzuri sana hii 🎉❤
@RestusBravoo3 ай бұрын
Nice mr🎉🎉🎉
@Giuseppe-tz3 ай бұрын
Thanks ✌
@tempochoir3 ай бұрын
Mnaimba vizuri wimbo mzuri
@tempochoir3 ай бұрын
Asante 💕 🙏
@Giuseppe-tz3 ай бұрын
❤❤
@mutheeraymond15513 ай бұрын
Ubarikiwe sana🙏 I really love Makoye's compositions na huu umeutendea haki kabisa!! Please do more 💯🔥
@Giuseppe-tz3 ай бұрын
Asante Sana mkuu
@mutheeraymond15513 ай бұрын
Ubarikiwe sana🙏 I really enjoy Makoye's compositions na huu umeutendea haki. Fanya zaidi🔥
@harrone.94733 ай бұрын
Nice work🔥🔥
@Giuseppe-tz3 ай бұрын
Thanks 🔥
@dianakitika3 ай бұрын
Sawa mtoto wa Handel 🎉😊
@Giuseppe-tz3 ай бұрын
@@dianakitika hahahaha.....sawa Pacha WA Handel.....