Пікірлер
@irenemark6908
@irenemark6908 9 минут бұрын
Maana yake nini?
@LidiahMohamed
@LidiahMohamed 2 күн бұрын
@shyneafya2468
@shyneafya2468 11 күн бұрын
Nani yupo hapa ndugu zangu wa Mbeya mnaendelea kusikiliza 1/9/2024 yan wimbo huu unanitoa machozi mwenzenu
@magrethnatai8846
@magrethnatai8846 4 ай бұрын
Mimi Mchaga lakini naupenda huu wimbo, Napendaga harusi za wanyakyusa ili niucheze.
@ZenathManyanya
@ZenathManyanya 4 ай бұрын
Yan mpaka natamn kuwa mnyakyusa
@lazaroraphaelmwandosya7010
@lazaroraphaelmwandosya7010 8 ай бұрын
Hallelujah 🙏🙏❤
@alexdonard3084
@alexdonard3084 9 ай бұрын
Wimbo huuu huwa naulewa sana
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 9 ай бұрын
Niliwahi kukutana na huu wimbo Uyole Mbeya mwaka 2008, nikanunua Tape Yake, kipindi hicho anaitwa Uboke K. Mwandiga. Ubarikiwe dada na kazi ya Bwana
@JosephKadama-fc7xj
@JosephKadama-fc7xj 9 ай бұрын
Ngoma kali sana! Ila sijui maana yake
@ericaambindwile2529
@ericaambindwile2529 Жыл бұрын
Very nice song, be blessed my deae
@jumahalfani6789
@jumahalfani6789 Жыл бұрын
I don't know Swahili but I love the song....From. Jamaica 😂
@piusnkwale
@piusnkwale Жыл бұрын
Kwasisi tunaotoka mbeya tunalilewa vibe la wanyakyusa😊
@michaeljohn646
@michaeljohn646 Жыл бұрын
Jikungumbusya kukaja
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
♥️♥️♥️👏
@glorywalter3085
@glorywalter3085 Жыл бұрын
🤗🤗🥳🙏
@sumaadamson214
@sumaadamson214 Жыл бұрын
Nawapenda sana ndugu zangu wanyakyusa nawapenda Toka moyoni 🥰🥰🥰
@atuganilekitego8616
@atuganilekitego8616 Жыл бұрын
I'm proud to be nyakyusa
@edwardgwaspika4943
@edwardgwaspika4943 Жыл бұрын
This song is so beautiful. Big congratulations:)
@husseinnkuna6401
@husseinnkuna6401 Жыл бұрын
Mungu awabariki wote🙏🙏 naitwa Hussein nipo dar es Salam ila home ni ipinda kyela
@hamphumichael7194
@hamphumichael7194 Жыл бұрын
Kyusaa
@festohangu3178
@festohangu3178 Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana rafiki yangu
@gipsonmwankobela2825
@gipsonmwankobela2825 Жыл бұрын
ndaga fijo
@gracengolanga3294
@gracengolanga3294 2 жыл бұрын
Ooh how I love this song
@philomenasamson4766
@philomenasamson4766 2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@anithamahaba8054
@anithamahaba8054 2 жыл бұрын
Woow naupenda sana huu wimbo,japo mm ni kuryani sielewii lugha, Mungu akubariki sanaa
@happymwamakula8573
@happymwamakula8573 2 жыл бұрын
Aminaa tukusekela nkati mwa kyala
@marymwashilindi6162
@marymwashilindi6162 2 жыл бұрын
Wanyakyusa pyeeee
@magdalenangailo126
@magdalenangailo126 2 жыл бұрын
2022
@siamoye4549
@siamoye4549 2 жыл бұрын
Jaman wakwe na mashemej zangu wanyakyusa
@anthonychirwa8019
@anthonychirwa8019 2 жыл бұрын
Amen
@kumbukenikimbu259
@kumbukenikimbu259 2 жыл бұрын
L
@lilianmwalemba3537
@lilianmwalemba3537 3 жыл бұрын
2021 like kama unaisikiliza hii nyimbo Naloli naloli uswe tulibhabhuke mungamu kha jhesu
@stephanomwanguku3876
@stephanomwanguku3876 3 жыл бұрын
ubalikiwe mama ang
@angelinakisoo2332
@angelinakisoo2332 3 жыл бұрын
Japo mimi siyo mnyakyusa na kinachoibwa sikijui zaidi ya jina la Yesu, ila nabarikiwa sana na huu wimbo barikiwa dada🙏
@ndigwakomatola6210
@ndigwakomatola6210 3 жыл бұрын
.
@jobmoffat7844
@jobmoffat7844 3 жыл бұрын
Naloli mwe
@ramadhaniluoga5491
@ramadhaniluoga5491 3 жыл бұрын
Nyimbo nzur hongera
@emanuelmwakipesile6848
@emanuelmwakipesile6848 3 жыл бұрын
Upo mbali na mbeya unasikia hii kitu unasikia hii kitu unahisi upo rungwe au kyela kabisa
@nebartmwakibinga9262
@nebartmwakibinga9262 3 жыл бұрын
Naloli naloli
@aminathatave5247
@aminathatave5247 3 жыл бұрын
Wimbo huu unanifanya niliye jamanii😭😭
@emmahmwampondele1185
@emmahmwampondele1185 3 жыл бұрын
Kyala akutuleghe mama
@felicianmapunda2328
@felicianmapunda2328 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana watani zangu wanyakyusa
@tulibakomwafula9079
@tulibakomwafula9079 3 жыл бұрын
Naloli nabububo jubha usajigweghe💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿
@shabanimagogo502
@shabanimagogo502 3 жыл бұрын
Najutakaga kukanyaga ardhi ya kyela mumenipa kumbukumbu zisizotoka kuanzia mwaka 2013 mpaka leo tamaduni zenu ziko kichwani pangu kinachoniuma zaidi nyimbo hii hunikumbusha mwanamke wakindali niliewahi kumpenda sana wimbo huu alikuuwa akiupenda sana
@believegeofrey900
@believegeofrey900 3 жыл бұрын
Hahahahahaha rudi sasa
@dianaprudence1565
@dianaprudence1565 3 жыл бұрын
Barikiwa mnoooo
@gastomligo8801
@gastomligo8801 4 жыл бұрын
Naloli naloli nikiwa njombe
@adammwambuluma6894
@adammwambuluma6894 4 жыл бұрын
Tujuane ambao hatupo. Mbeya lakin 2naskiliza hiinyimbo
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 Жыл бұрын
Dah nakupenda Sana unanikumbusha mtalaka mke wangu
@MaryWarioba
@MaryWarioba 6 ай бұрын
Tulipooo
@elinessclarence8585
@elinessclarence8585 3 ай бұрын
Tupo 2024
@tibeliusmdegela2748
@tibeliusmdegela2748 4 жыл бұрын
Napenda jinsi unaomba ukiwa na bashasha unafanya napenda wimbo hata kama sielewi maana yake.
@gwamakapeter704
@gwamakapeter704 4 жыл бұрын
uswe tulibhabhuke mungamu ja kyala# amen..!!
@amongidion652
@amongidion652 4 жыл бұрын
Ndagha fijhoooooo ....