Пікірлер
@Breezy9757
@Breezy9757 4 күн бұрын
Hii film tunaipataj
@Assay-gn1wv
@Assay-gn1wv 4 күн бұрын
Hii story mama yangu alikuwa anaifuatilia saaaana kwenye jarida la tabasam, au sani, au bongo, kitu kama hiko, haviwezi kurudi tena hivi vitu, kipindi hiko hata kusoma sijui😂🙌🏾
@isabhatototwin6542
@isabhatototwin6542 6 күн бұрын
Pamoja sana mkuu... Pamoja mpaka 10 kwa mama itimie👏👏👏👏
@NjmalAl
@NjmalAl 8 күн бұрын
Asante mama Kwa kunisaidia
@NjmalAl
@NjmalAl 9 күн бұрын
Asante mama Kwa mawaidha yako tutayafanyia Kazi inshallah
@NjmalAl
@NjmalAl 9 күн бұрын
Asante mama kwa mafunzo yako bora
@SaumusaidiPorepoe
@SaumusaidiPorepoe 10 күн бұрын
Shukurani❤
@MohammediMbuguni
@MohammediMbuguni 15 күн бұрын
Mtu makini sana
@TendaMb
@TendaMb 25 күн бұрын
alafu kwasisi wanaume ushauri wetu ukoj
@hamisiyusuphgide204
@hamisiyusuphgide204 Ай бұрын
Kaka na kubali xna leo ndio nimeona thaman ya msimamo wko kk
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Ай бұрын
Inauma saan elf 60 mtu afie ulingon kisa 60 kosa san
@mwanawamrima6138
@mwanawamrima6138 Ай бұрын
Tatizo ni kwamba hamtafuti watu, sahihi brother.
@peacemakerstv
@peacemakerstv Ай бұрын
Ufafanuzi wako zaidi hapa utasaidia hili
@latifahmakau2
@latifahmakau2 Ай бұрын
Tanga ni salama ! Atake na aje !!!
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb Ай бұрын
Unakipaji mungu akuzidishia nauweka heshima kwa watu wandi ❤❤❤
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤salim nibondia mzur sana yan ushindi wake ni wahalali kabisa unapiga hadi mtu anaacha mwenyewe huu ndio ushundi🎉🎉🎉penda ww
@zainabtanzanian7141
@zainabtanzanian7141 Ай бұрын
Jamani nashukuru kwa mafunzo mazuri.lakini kuhusu kuwapenda ndg wa mume nilijitahidi sana lakini cha ajabu wote wamenikasirikia na nikiuliza sababu hawasemi kwa iyo apo panakuwaje
@emanuelmosha9105
@emanuelmosha9105 2 ай бұрын
Loi
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 2 ай бұрын
Hakuna ccm bila polisi na tume.. Ccm ni chama ambacho hakijaandaliwa kwaajili ya ushindani. Ndio maana chadema mmoja ni ccm elfu moja. Chadema wamejiaandaa kwa ajili ya ushindani ndio maana wanajiamini na wana uwezo
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 ай бұрын
Mavi ya kuku umeengua wagombea
@ismailsamangagho1228
@ismailsamangagho1228 2 ай бұрын
🎉
@RamadhaniOmary-d5f
@RamadhaniOmary-d5f 2 ай бұрын
🥊🥊
@Yusuphchangalaweyusuphch-qq9iu
@Yusuphchangalaweyusuphch-qq9iu 2 ай бұрын
Wa fundishe ngumi hao mdogo wangu
@MwitaSenso
@MwitaSenso 2 ай бұрын
Ikitokea apo achana na michezo ya masumbwi
@ZainaMuhidini
@ZainaMuhidini 2 ай бұрын
But why zaina 😂😂
@RaulaHamis
@RaulaHamis 2 ай бұрын
Mafundisho mazuri mashaalah 😅😅😅😅😅😊 3:06
@RaulaHamis
@RaulaHamis 2 ай бұрын
Mafundisho mazuri mashaalah
@RaulaHamis
@RaulaHamis 2 ай бұрын
Mafundisho mazuri mashaalah
@HassanShaame-rl9xu
@HassanShaame-rl9xu 2 ай бұрын
Bigap king
@Mwajabubossi
@Mwajabubossi 2 ай бұрын
Asanteee Kwa mafunzo mama
@ayshaabdi3243
@ayshaabdi3243 3 ай бұрын
Fundi uyoo viva mwandei viva
@Samsungjprime-ww9ve
@Samsungjprime-ww9ve 3 ай бұрын
F.L.MYA LOVE STOR TUNAITAKA MWANZO HADI MWISHO KTK HII YOU TUBE F.L.M NAIPENDA MPAKA BAS NAOMBA NIIPATE JAMAN
@MunaSalom-vw8yi
@MunaSalom-vw8yi 3 ай бұрын
Wa kwetu
@zaruMkongo-k6g
@zaruMkongo-k6g 3 ай бұрын
Nakupenda Sana uwo wimbo umenikumbusha mbalisana
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 3 ай бұрын
From 🇧🇮 shukuran mama ❤
@rehemaissa9438
@rehemaissa9438 3 ай бұрын
Mashaa ALLAH tanga ni moja2
@JumaAyubu-h4l
@JumaAyubu-h4l 3 ай бұрын
Nakubali sana champion
@AlexMartin-u8k
@AlexMartin-u8k 4 ай бұрын
Upo vzr
@BarakaShukuru-x9p
@BarakaShukuru-x9p 4 ай бұрын
Muheshimiwa
@Farhani-gd5zi
@Farhani-gd5zi 4 ай бұрын
Nawapenda❤❤❤
@Farhani-gd5zi
@Farhani-gd5zi 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MwansitiMwalimu
@MwansitiMwalimu 5 ай бұрын
Allah awaongozee🎉
@halimaa9367
@halimaa9367 5 ай бұрын
Labda shoga hili au vp jaman mbona sielewi dumezuri lkn mhh
@happysanga6846
@happysanga6846 5 ай бұрын
Naomba uanzishe ilo zoez andaa namba za cm tutachangia wazo zuri sana
@rogersiddy
@rogersiddy 5 ай бұрын
Wazo zuri sanaaaaa tena sanaaaa ili atakapomaliza heka heka hizi apate biashara na nyumba ya makazi atulie laa sivyo atakuwa mtu wa kufadhaika Kila siku Mungu🙏mpe wepesi maisha yake yote afya njema na uhai mrefu
@BonnieKabegu
@BonnieKabegu 5 ай бұрын
it's nice
@AbuuKiumwa
@AbuuKiumwa 5 ай бұрын
Kabixaa bro champion uko sahii
@MohamedMwitumba
@MohamedMwitumba 5 ай бұрын
Nakuungamkono mr Hasani mwakinyo kwamawazoyako tumchangie huyu dada ili tukiohili iwenisehem yakubadilisha maishayake😢😢😢😢badoanaitaji msadawetu ili asahau lililomkuta
@abbassalum6824
@abbassalum6824 5 ай бұрын
Mi nikajua unaongea ivyo tayr ushamfungulia akaunti na ushamuwekea hat milioni 10 kumbe maneno tu unayumba wew
@samsonsanga4368
@samsonsanga4368 5 ай бұрын
Sahihi hawa ndo watoa mawazo yasiyo na macho,,, alitakiwa aseme yy ameanzisha kampeni hyo Sasa anasema ajitokeze mwanaharakati. Kwahyo anaamini kila atakaefanyiwa hvo tumchangie ndo funzo??? Tuiachie mahakama ipo kazini muhimili muhim wa haki upo kazini.
@saidsalum6101
@saidsalum6101 5 ай бұрын
Safi sana hasani umeongea sawa kabisa
@ibrayomapenzi7048
@ibrayomapenzi7048 5 ай бұрын
MAWAZO MAZURII KILOBAKIA SASA JAMANI TUJUWEEE TUNAMCHANGIAA WAPII