Sio huyu wote ni sistimu, ila wamejificha kwenye dini, tuwaache na Mola wao
@MohamedKasalama6 ай бұрын
Kwa fadhila zako Allah umhifadhi mahala pema peponi marhum mufti Hemed bin Jumaa aamina yaarabi
@emmanuelMakundi-wk1ls6 ай бұрын
Sauti adhimu, sauti Maridhawa, Sauti yenye mamlaka.
@HijaSaid-xd7fg9 ай бұрын
Huyu jamaa alikuwa ni sistimu rejea maziko yake alizikwa na watu gani
@khalilbakari8029 ай бұрын
Nonsense
@khalilbakari8029 ай бұрын
Nonsense
@Kekulebenzene5 ай бұрын
BAKWATA asilimia kubwa ndio walewale, BAKWATA ni sehemu ya maslahi tu ila dini hamna. Kuna mstari mwembamba baina ya ukafiri na BAKWATA
@psj156410 ай бұрын
Mashallah
@lullebolle80810 ай бұрын
Shekh mkuu hemedi bin hemedi bin jumaa mungu akuweke pema peponi
@mdrobiul452010 ай бұрын
মাশাআল্লাহ অসাধারণ অনেক সুন্দর
@allyndabe245810 ай бұрын
wallah hi saiti nilikua naisikia kipindi nipo mdogo sana kipindi nipo hicho nipo kijijni kwetu KITONGOJI CHA FINZI KIJIJI CHA KIPARAG,ANDA WILAYA YA MKURANGA MKOA WA PWANI sauti ya shekh huyo nilikua naisikia kwenye majira ya sa 04:30 Alfajir . kwenye kipindi cha dini kutoka TBC kipindi hicho ilikua inaitwa RADIO TANZANIA🇹🇿. DAR ES SALAAM kiukweli maisha ni safari ndendefu 😢😢 labda nitumie nafasi hi kuliza swali ivi mamaetu kiongozi wetu wa nchi ya jamuhuri ya mungano wa tanzania mama samia suruhu hassan RAISI wa jamuhuri ya mungano wa tanzania alikua wapi kipindi hicho ❓ na alikua na alikua na umri wamikaka mingapi ❓ ningefurahi sana kama siku moja angejibu hi sms yangu🙏🏼 BY. USTADH ALLY ABDALLAHA NDABE wa mikwambe kigamboni DAR TZ🇹🇿
@abuidifundi201610 ай бұрын
Maashaallah
@mohamedmgimwa622710 ай бұрын
Hakika ilipendeza kumsikiliza. Mola amrehemu marehemu Mufti Hemed bi Hemed
@jumakapilima729510 ай бұрын
Hakika
@MohamedMohamed-md3jd10 ай бұрын
Kweli ni Sauti yake hii au kuna mtu kaigiza sauti yake mie na mashaka kidogo
@jumakapilima729510 ай бұрын
Sauti yake kabisa!!
@abdallahshariff65559 ай бұрын
Ndio yeye,alipenda sana kuse dhahiri eee katika darsa zake
@halimadaud-k7d10 ай бұрын
Mashalla
@mussakiligaliga434810 ай бұрын
Huyu ndo muft
@jumakapilima729510 ай бұрын
Kabisa, sio hawa wa Leo , machawa/wanasiasa/ wachumia tumbo
@mussakiligaliga434810 ай бұрын
Hakuna zaid ya Hemed bin Jumaa Allah makhfillahu waskanahu maskana filjanah
@MerabaqshAbdulaziz11 ай бұрын
Very Nice Qaswida.Maa Shaa Allah.
@MerabaqshAbdulaziz11 ай бұрын
Relieving Our Hearts.Very Nice Qaswida & Dua.Maa Shaa Allah Wajazakumullah.
@umsoud330611 ай бұрын
يرحمه الله
@HUSSEINZAHARAN11 ай бұрын
Chapati zuchu
@selemankishema578011 ай бұрын
Tangu ameondoka huyu mufti hatujawai pata mfano wake kila anaekuja afadhali alietoka
@hilalalhabsi204711 ай бұрын
Huridhiki tu
@bakarifakih422810 ай бұрын
kweli hakuna kama huyo.allah amrehemu
@ibrahimabdillah5729Ай бұрын
Na ndio aliekuwa na elimu Waliokuja baada yake ovyo kbs
@amourally536611 ай бұрын
Mnajitahidi ila bado zahrau ipo juu yenu sana
@jangwambwana383711 ай бұрын
Kinanan
@abuidifundi201611 ай бұрын
Maashaallah
@MussaBakari-x7l11 ай бұрын
Kwa raha mama hio utaniambia nn
@JabiriChande-ci8qw11 ай бұрын
⅞,PC,
@Mswaki67911 ай бұрын
Maashallah
@abuidifundi201611 ай бұрын
Allah amrehem mwanawachuoni wetu
@jangwambwana383711 ай бұрын
Amiin Inshallah
@jangwambwana383711 ай бұрын
Allahuma Amiin
@abuidifundi201611 ай бұрын
Allah amrehem mwanawachuoni wetu
@FatumaTuwa-oc9fp11 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@mishiwamunyu706311 ай бұрын
Huyo ni mwalim badi nimemwona?
@FatumaTuwa-oc9fp Жыл бұрын
Mola azidi kumpa Afya na Uzima tele Mudiri Wetu,,Mashaallah Mola ibarik Rashaad yetu Milele na Milele
@FatumaTuwa-oc9fp Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@jangwambwana3837 Жыл бұрын
Ilikua Kinondon Kwa Sheikh Shaban Kibwana
@djumatenga4774 Жыл бұрын
Mahallah
@aishahassani2478 Жыл бұрын
Duh mzee akumbushwa na wanafunzi hadi raaaaahaaaa
@Mswaki679 Жыл бұрын
Mwakani inshaallah
@Mswaki679 Жыл бұрын
Maashallah wallah rahaa rashaad yatishaaa
@annanzallo1150 Жыл бұрын
Inshallah mungu akuweke sheikh
@hudaonlinetv Жыл бұрын
Nyi musige
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
Maashaallah
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
Hizi ni siku aina gani? @everyone Rashad day, Tamta day
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
Maashaallah
@FatumaHalima-ke1um Жыл бұрын
You tube
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
Maashaallah
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
Maashaallah Allah abaariki
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
Maashaallah tunastafidi Sana kutoka kwa shekhe letu SAIDI KESSY ALLAH AMHIFADHI