Пікірлер
@AhmedHafidh-r4m
@AhmedHafidh-r4m 3 күн бұрын
Ujumbe mzuri na wanajuwa wanachokifanya hawana fojo
@NOURSWABIRINA
@NOURSWABIRINA 8 күн бұрын
ngoja wachangamke chamke kidogo kwenye tasnia tutawatafuta inshaallah
@farajayangutv
@farajayangutv 6 күн бұрын
hahahahahaaaaaaaaaaaa hii reply ya kishujaa sana
@mwidu8774
@mwidu8774 8 күн бұрын
Bakora🙌
@husseintv7771
@husseintv7771 11 күн бұрын
ماشاءاللہ❤ماشاءاللہ
@SaidNdemla
@SaidNdemla 12 күн бұрын
Hongern ndugu zetu by nurania zanzibar
@dimooficcio1328
@dimooficcio1328 12 күн бұрын
No . 1 Tandale dufu la kistaarabu hawapigi vigoma kama dufu za kileo … watingaji wanatammayur vizuri hawachezi viduku Yani nikisema namba 1 Yani namaanisha wanapaswa kua Mfano Wana MUNAJ… 👏👏👏
@YousufaKisoma-yc1mg
@YousufaKisoma-yc1mg 12 күн бұрын
Salmini🙌
@iddysware9959
@iddysware9959 13 күн бұрын
dooh kaswida ya muda sana hii nilianza kuisikia 2011
@Ahmedsalum-y4z
@Ahmedsalum-y4z 13 күн бұрын
familiaaa walimu
@hassanshabani1928
@hassanshabani1928 13 күн бұрын
Safina mmepigwa bhana kuweni wapole kajipangeni tena na muje hata na zanzibar yotee yani
@hassanshabani1928
@hassanshabani1928 13 күн бұрын
Allah awafanyie wepesi sheh hamidu na sheh salum nawaona ....
@AhmadDuge-qw6th
@AhmadDuge-qw6th 14 күн бұрын
Wanangu tandale moja iyo
@ja60pallangyo93
@ja60pallangyo93 14 күн бұрын
Mashaallaha kwa mana swifa
@salimhamad4363
@salimhamad4363 17 күн бұрын
BADO SIJAONA UBORA KWAO GHAZALI ATBAKI KUWA JUU
@HassanZuberi-l1s
@HassanZuberi-l1s 20 күн бұрын
Mwamba
@SaidNachul
@SaidNachul 21 күн бұрын
Mashaallah ♥️ kazi mzuri pia pongezi kwa dada mkubwa hapo
@warshysaid8564
@warshysaid8564 22 күн бұрын
Subhannallah waislamu tumefikishwa hapaa Allah s.w atuongozee
@salimhamad4363
@salimhamad4363 23 күн бұрын
dadayangu ukifuata nyayo za arafa husen utakuwa ni wapili kwa tanzania kwani unajua
@Mounirahya
@Mounirahya 23 күн бұрын
Mashallh ❤️🥰
@SuleymanMadaha
@SuleymanMadaha 24 күн бұрын
Mashallah 🎉🎉🎉🎉
@HalimaSanga-b5x
@HalimaSanga-b5x 24 күн бұрын
Mashaallah
@MudricMohamed-x7x
@MudricMohamed-x7x 24 күн бұрын
Wanajuaaa sana ❤❤
@IdrissaMakame-m4r
@IdrissaMakame-m4r 24 күн бұрын
Zainu wa kawaidatu sana
@moudkipete
@moudkipete 27 күн бұрын
Shughuli ya kitaifa
@hassanamran6481
@hassanamran6481 27 күн бұрын
Mashaalah mmungu awasimamie katika kazi zenu na awafanyie wepesi katika kila jambo
@hassanamran6481
@hassanamran6481 27 күн бұрын
Mashaalah mmungu awasimamie katika kazi zenu na awafanyie wepesi katika kila jambo.
@farajayangutv
@farajayangutv 27 күн бұрын
Shukran, Allahuma Ameen kwa sote pia
@SalumkifuLukwe-wk7sp
@SalumkifuLukwe-wk7sp 28 күн бұрын
ViTaa
@MaulidiSifa
@MaulidiSifa 28 күн бұрын
Mnajua kak hongereni san
@IDDYBURUHANI
@IDDYBURUHANI 29 күн бұрын
Safi sana
@IbrahimSaidi-l7x
@IbrahimSaidi-l7x Ай бұрын
Huyu babdeo huy siyo siri ana majin
@Lakh-e5d
@Lakh-e5d Ай бұрын
Ngozi ngozi ngozi simaliziii
@abubakarsaid7303
@abubakarsaid7303 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 Ай бұрын
Sema mwamba yuko byeeeee
@AfaeMohamedy
@AfaeMohamedy Ай бұрын
Sheikh Othman kamaliza kila kitu
@sumadouble623
@sumadouble623 Ай бұрын
Wanajuwa sana hawa
@haidar438
@haidar438 Ай бұрын
Mpiga violin ana kichaa cha kujua 😆🙈❤
@danielkiriba2298
@danielkiriba2298 Ай бұрын
Hatari na Nusu
@MustanYusuph
@MustanYusuph Ай бұрын
Mola ame mkubali ni shujaa wa kweli amepewa jina zuri ammary bin yasir aswa kali sana
@IdrissaMakame-m4r
@IdrissaMakame-m4r Ай бұрын
Hongeren
@IdrissaMakame-m4r
@IdrissaMakame-m4r Ай бұрын
Hongeren sanaaa
@bashirusaidi4983
@bashirusaidi4983 Ай бұрын
Hatari sana hii
@shehakhamis2136
@shehakhamis2136 Ай бұрын
mashallah
@NemaJuma
@NemaJuma Ай бұрын
Huu msiba mkubwa ktk dini, na masingi ya kihundi
@SaidKalulu
@SaidKalulu Ай бұрын
😂😂😂
@Mokiwa_Rajabu
@Mokiwa_Rajabu Ай бұрын
Msiba wa nn fafanua
@NemaJuma
@NemaJuma Ай бұрын
Magita vinanda,vimeharamishwa cy ktk dini
@farajayangutv
@farajayangutv Ай бұрын
tupe Aya na hadithi ukhty
@SaidKalulu
@SaidKalulu Ай бұрын
😂😂😂
@Mokiwa_Rajabu
@Mokiwa_Rajabu Ай бұрын
Thibitisha Kwa Aya
@MinixMinix-uu6tw
@MinixMinix-uu6tw Ай бұрын
Dufu sio haram ila ushari wangu hao kina wawekeni mbali sehemu yao wasiwepo hapo
@ayubusalum4487
@ayubusalum4487 Ай бұрын
Uyo jamaa anajua mpk basi
@AbulooqSalum
@AbulooqSalum Ай бұрын
Hatar sana hii kaka imekaa sana
@zubbeiryelmurjeb5802
@zubbeiryelmurjeb5802 Ай бұрын
Rast maqaaaam rast Do🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@SadickJuma-e3x
@SadickJuma-e3x Ай бұрын
Kaka sio BAYYAT bhn ni MAQAM RASTI
@MahmoudRamadhani-v8l
@MahmoudRamadhani-v8l Ай бұрын
Nimependa sana wallahi hongera zao SHUJAIL MUSWALLYNA chini ya usimamizi wa YAHYA BIHAKI ALLAH (S.W) Azidi kumpa afya njema aeke vitu vizuri 🙏