Ningependa hii movie ioneshwe kwenye tv kabisa iwe na kipindi chake.na sound track ya hii muvi iweke ya ile nyimbo ya makmende amerudi!!! Itakuwa poa sana
@harakatitv12 сағат бұрын
hahahhaha tupo kwenye maongezi na azam tv
@MwakaHappyКүн бұрын
Hahahaaaas hahaaaaaa leo mmenichekesha neno moja tumungu amlinde lisu
@harakatitvКүн бұрын
hakaika Bwana yu pamoja naye subiria sehemu ya nne
@selemansalum-f4p2 күн бұрын
Warisha zoea kuzurumu kula nakutumia mittu
@harakatitvКүн бұрын
mwaka huu watakoma hahahaha
@nathanmmasi38902 күн бұрын
Tena ukome usije kufananisha namafisadi wenu ambao wanaisi wataishi milele wezi wakubwa
@harakatitv2 күн бұрын
Hahahha mbona unahasira
@luthermartin10982 күн бұрын
Alinasa vipi mawasiliano
@harakatitv2 күн бұрын
Wewe umeruka segemu ya kwanza na ya pili ndio maana hujaelewa alipata wapi hayo mawasiliano
@luthermartin10982 күн бұрын
😂😂😂
@Mrsalt-zs2 күн бұрын
Mr president ❤❤
@harakatitv2 күн бұрын
THANK YOU MR
@AndrewMuqopa2 күн бұрын
Here we go
@harakatitv2 күн бұрын
ONE LOVE
@margarethpolepole74382 күн бұрын
Hamna kitu hapo Ccm ni maisha
@harakatitv2 күн бұрын
kwani wewe hujaona maendeleo ya barabara hahahahhaha
@Ulwekhin3 күн бұрын
hahahaha this movie 🎦 🎦 😄😄😄
@harakatitv2 күн бұрын
BOSS
@godblesskamera19493 күн бұрын
Ndugu zangu mnakwama wapi tubadilikeni jamani
@harakatitv3 күн бұрын
Nini tena 😄😄
@godblesskamera19493 күн бұрын
Huooo ndio utabiri sahihi
@harakatitv3 күн бұрын
2025 mbivu mbichi tutazijua
@Promotertvplus3 күн бұрын
Ohhahaha nimekubali uko Vzr
@harakatitv2 күн бұрын
hahahhahahaha karibu sana kiongozi
@paulowangoma49323 күн бұрын
Only fools will believe this
@harakatitv3 күн бұрын
kwanini sasa
@allyally51174 күн бұрын
sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote ...muda umefika kuwa CHADEMA. Ni chama kinachowafanya CCM waamke kidogo japo wamelala sanaaaaaaa.
@harakatitv3 күн бұрын
JE WATASHINDA?
@MihayoMageta-k4n5 күн бұрын
😂😂😂
@harakatitv5 күн бұрын
Hatari
@tospend5 күн бұрын
Asee ai inatupeleka speed speed
@harakatitv5 күн бұрын
hahahhaaha tupo nyuma ya muda
@1961nungwi5 күн бұрын
Lissu naye anatupeleka spidi sana, mpaka kwenye movies!!!😊
@harakatitv5 күн бұрын
Dalili za shindig 2025
@THEKINGOFBAHARIA5 күн бұрын
Na wakiwazur na sisi tutawazuru tumechoka na ujinga selikali isio jali haki ya ukwer na haki yenye kuogopa mungu
@harakatitv5 күн бұрын
tusubiri kauli ya Rais atasema nin i
@patrinraura13975 күн бұрын
Hakika sisi watu wa chini Tunashukuru Mungu kutupatia Kiongozi bora Mhe Wakili Msomi Mwabukusi"TLS ni kimbilio la watu wa ngazi ya chini" TLS itaimarika sana chini ya uongozi wa mtetea haki,jasiri,shujaa na Mzalendo
@harakatitv5 күн бұрын
kweli kabisa
@UpendoEliya-i7l6 күн бұрын
UONGO MWEUSI TII; 1. Hairuhusiwi kusafuri na dola pesa nyngi kiasi hicho tena kwenye ndege, 2. Mhe Lissu akitembea hakunji huo mguu mmoja una shida, 3. Sura siyo yake acha kuchafua watu.
@harakatitv5 күн бұрын
Upendo hii movei inautamu mwingi sana itakavyoisha wewe mwenye utapenda
@harakatitv5 күн бұрын
Kuhus mguu umeshapona kaka au wewe ulitaka mguu wake usipone 😄😄😄😄
@OlivaMHANDO6 күн бұрын
Hata sisi wanainchi tunamuombea kwa muumba wetu,atusikilize kiliyo chetu kwa miaka yote hii,ee bikira Maria mtakatifu wa MUNGU waombee viongozi wetu washinda uchaguzi 2025,, tumupumuwe majanga haya.. ee mora tuokowe sisi waja wako,, wanyonge wako,, tulete ee lisu katika uchaguzi huu Aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@harakatitv5 күн бұрын
Swali ni je atatoboa mbele ya CCM ?
@seifmohd53576 күн бұрын
Hii movie ccm itawakera san ila kiukwel ccm imechoka sana
@harakatitv6 күн бұрын
watapindua meza kibabe
@LeahMgunda-l8c6 күн бұрын
Mwana kulaaniwa wewe utakufa unacheka.
@harakatitv6 күн бұрын
kwanini sasa
@muharamijuma15696 күн бұрын
NDOTO HIYO KASHINDWA LUWASA NA SEIF ENDELEE NI KUJDANGANYA NA POROJO ZENU PUMBAVU
@harakatitv6 күн бұрын
kaka mamboo yamebadilika sasa hivi nguvu aliyonayo lissu sasa ni kubwa kuliko hao uliowataja hapo
@bonnymakuke31536 күн бұрын
Kwa Nini usijiulize uncle lisu alipona lisasa 17 liekua anapiga pushap ovyo kadondoka kwa mafua2😢😢
@MaselePatrick6 күн бұрын
@@harakatitvhakuna lolote ndugu akashindwa lowasa mtaratibu vile na hekima zake NI huyu WA 🤣😛akalale kwanza haitokei
@MaselePatrick6 күн бұрын
@@bonnymakuke3153haijalishi ndugu
@muharamijuma15696 күн бұрын
@bonnymakuke3153 Wafuasi wa Genge la wahuni wote Debe tupu UNA SHANGILIA MTU KUFA ?
@PeterMponeja-t4e6 күн бұрын
Pumbavu wewe
@harakatitv6 күн бұрын
nini sasa jaman
@nassonkikando42746 күн бұрын
Hizi ni siasa za maji taka, hivi Lisu alipopigwa risasi akaenda kutibiwa ubelgiji akaishi huko kwa usalama.wake akiwa mhanga wa kisiasa mlitegemea asiwe na marafiki? Watanzania acheni uzushi. Hata kama Mimi sio mwana chadema lakini Nina akili ya kuwaza na kufikiri ujinga wa hizi video najua mwelekeo wake ni kumchafua Mheshimiwa Lisu, hiyo ni mtu wa Mungu acheni kumchafua baba wa watu. HUU NI UONGO NA UPUUZI. Waliompiga risasi ndio waliofanya akaenda Ubelgiji Leo mnamgeuzia maneno. AIBU YENU. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mtu mpenda haki hapendi rushwa hapendi watu waonewe Wala kunyanyaswa. Mwelezeeni Kwa usahihi alivyo msimbandike tuhuma za uongo
@harakatitv6 күн бұрын
sasa wewe unahisi alipewa nini na wale wazungu kaka
@JacksonMbites6 күн бұрын
wewe acha kelele
@harakatitv6 күн бұрын
hahahahha
@mbwanahasan29716 күн бұрын
Wasenge wakubwa ipo siku midomo yenu mtakimbia wote nyie
@harakatitv6 күн бұрын
kwanini
@clauschaula20506 күн бұрын
Uzushi.Uharibufu wa bando.
@harakatitv6 күн бұрын
sema na wewe acha ubaili
@dicksonfelician22057 күн бұрын
Mm nampenda mh lissu
@harakatitv6 күн бұрын
kaimani kashinda tayari
@bahatisaimon60197 күн бұрын
Mnakazi
@harakatitv7 күн бұрын
HAHAHHAHA
@Peterchipemba7 күн бұрын
Kwanza lissu ni nabii na mtume alie tumwa na mungu kuokoa taifa la tanzania
@harakatitv7 күн бұрын
DAH YAANI WEWE UMEJUA KUNICHEKESHA SANA
@MaselePatrick6 күн бұрын
Hahahaha uwuiii NI ndoto za mchana kweupeeee
@harakatitv4 күн бұрын
sasa tuoombe mungu atupe uhai then wewe utakuwashaidi hapahapa
@FranceKyaruzi7 күн бұрын
Kwani kakwambia anautaka?? Jibu mkuu
@harakatitv7 күн бұрын
KAMA UNAENDELEA KUBISA BOSI BISHA ILA UTAONA ITAKAVYOKUWA
@EvaNgalaba7 күн бұрын
Kwa mimi namkubali kura nampa
@harakatitv7 күн бұрын
ukimpa kura atashinda???
@QaahtaQaahta7 күн бұрын
LAKINI CCM BADO HAWAJUI HATA NAMNA YA KUDANGANYA WENDAAAZIMU SIKWAMBI WATU WENYE AKILI. MAAANA 1 LISU HANA MWENDO ULE 2 NI MJINGA GANI ATAYETIA PESA KWENYE BEGI MPAKA ZIKATOKEZA NJE NYINYI CCM MUSIDANGANYE WATU LISU HAMUMUWEZI NI KIPENZI CHA WATANZANIS
@harakatitv7 күн бұрын
hahaha hii ni movie tu wataalamu wanajaribu kutabiri sasa tusubiri sehemu ya pili ya movie hii
@MaselePatrick6 күн бұрын
Hata lowasa alikuwa NI kipenzi cha watanzania pia lakini mwisho WA siku alizidiwa akili😛😛
@harakatitv4 күн бұрын
tofauti ya loowasa na lissu ni kwamba lowasa alikuwa kipenzi cha watanzania ila lissu ni kipenzi cha mungu na watanzania pia
@Mariasuzana9227 күн бұрын
Anafaa sana kuwa raisi wa Tz
@harakatitv7 күн бұрын
SASA YEYE NA SAMIA NANI UNAMPA KURA YAKO
@NdalidosawoodenFurniture20057 күн бұрын
Kama utani tu lakini huyo anaenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimemaliza
@harakatitv7 күн бұрын
MOVIE YAKE NDOO HII WACHA TUONE MUENDELEZO JE ATASHINDA???
@MaselePatrick6 күн бұрын
Labda Kwa ndoto KAMWE haitokeii
@harakatitv4 күн бұрын
mimi sitaki kutia neno nitaaribu utamu wa movie yangu
@ZiggysebahZiggysebah4 күн бұрын
Tutafurahi ile ngumu.hapo ndiyo tutafurahi Mungu kuwajibu Wa Tz.
@ZiggysebahZiggysebah4 күн бұрын
@@MaselePatrickww si Mungu .subiri
@JohnKatwanga-l1g7 күн бұрын
Anafaa sana kua raisi watanzania huyo
@harakatitv7 күн бұрын
TUTAONA SEHEMU YA PILI YA MOVIE HII NINI KITAENDELEA
@severinmmassy76277 күн бұрын
Anafaa kabsa kua prs daa
@harakatitv7 күн бұрын
WACHA TUOONE WATANZANIA WATAAMUA
@SuolFat8 күн бұрын
Hili sio jeshi la wananchi ni la ccm
@harakatitv7 күн бұрын
HAHAHHAHA UNAZINGUA
@AbdullahAhmed-t7p6l9 күн бұрын
Great voice from vice charman of tundulisu john heche to Tanzania police that the day before yesterday were lntasion to came here then arest us then you will see what happens soon after block Tanzania locel janalist do they Jon's after national spokes man john mnyika call Tanzania media adress of tundulisu starting working at chadema head office in mikocheni lntasion if john mnyika call media was to announce day tundulisu starting working at the chadema head office but was blocked by police because of energy African meeting in daresalama but janalist couldn't manege to attend john mnyika briefing chadema activities
@harakatitv7 күн бұрын
nakubaliana na wewe
@steverotali9 күн бұрын
LISU KAMA IBRAHIM TROE NA MAGUFULI WOTE WANGEKUWA HIVO WAZUNGU WANGEKAA KWAO. MALI ZETU ZINGETAJILISHA WATU WAKE.
@harakatitv7 күн бұрын
wacha tuone itakuwaje
@ramadhanmahongole92939 күн бұрын
Hatutaki aingie Chama cha mafisadi kwanza Lissu ni mzarendo hana tamaa ya pesa kana kina msigwa
@ELIAMbise-sy5ue9 күн бұрын
Serikali hovyo Sana
@Ba638289 күн бұрын
Hatumtaki CCM
@jeffhard57737 күн бұрын
Yeye ndio hawahitaji Wala hataki hata kuwaskia kabsaa!
@Ba638287 күн бұрын
@jeffhard5773 Yeye Lisu ni kibaka tu atauona urais kwenye luninga
@jeffhard57737 күн бұрын
@@Ba63828 kipimo kikubwa hutokana na kidogo Kama wenye viti tu mnawateuwa badala ya kuchaguliwa Sasa itakueaje kwa diwani na rais warafi was madaraka Kila Jambo Lina mwisho wake
@BichongolaInvestment9 күн бұрын
Good speech
@thomasmollel94659 күн бұрын
Facts Ibrahim Burkina Faso
@Werema37609 күн бұрын
■Facts✅
@clemencemkondya85619 күн бұрын
Hapo ndipo utajuwa kuwa siasa sikussema maneno ya ujasiri au vitisho siasa nipesa na mbowe mtamkumbuka .
@SeverinMagwaya9 күн бұрын
wewe ni fala tu. CCM inapata hela kutoka wapi? au asili ya pesa zake ni wapi? Tunajua wote ni chama dola na inachota pesa za Kodi zetu.
@Werema37609 күн бұрын
Poor thinking capacity.
@ShamteMohmed-ed2kk9 күн бұрын
Kweli siasa sio ukali wa maneno tu , rasilimali pesa ni lazima.