( SEHEMU YA 3 ) UTATA WA PASAKA.
23:11
Пікірлер
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Күн бұрын
Safi sana mr mlangira ntusima mno karibu sana captown
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Күн бұрын
Safi sana
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Күн бұрын
Asante sana africa kwanza
@Swahili25
@Swahili25 12 күн бұрын
Namba ya Dr Fadhili Please
@ukoa2020
@ukoa2020 11 күн бұрын
Mwisho wa video iyo kuna namba zao
@allyomary29
@allyomary29 12 күн бұрын
Saidia dunia iwe sehemu salama kwa kuishi!!!
@Shilala666
@Shilala666 14 күн бұрын
Sasa kama kweli mpo kwa ajili ya kutukomboa inabidi mzunguke sana iliwatuwaelewe kile ambacho kinahitajika
@rugemalilalucas4533
@rugemalilalucas4533 14 күн бұрын
Chizi, tapeli, mshenga wa shetani.
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 15 күн бұрын
Chizi
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 17 күн бұрын
Asante sana kwaelimhii ❤❤
@HawaMwanga-b1k
@HawaMwanga-b1k 17 күн бұрын
Kweli msisahau mlipotoka
@Shilala666
@Shilala666 17 күн бұрын
Mbna inasemekana mkwawa likiwa muislamu
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 18 күн бұрын
Mm nakuelewa sana sana dk fadhili
@Shilala666
@Shilala666 21 күн бұрын
Kwann usiseme unafanya biashara kama kwel unahitaji mapinduzi ya fikra kwann uzewe vitabu kwann usiseme humu humu bado na ww unahitaji pesa
@Shilala666
@Shilala666 21 күн бұрын
Kwann usiseme unafanya biashara kama kwel unahitaji mapinduzi ya fikra kwann uuwe vitabu kwann usiseme humu humu bado na ww unahitaji pesa
@KayembaKisola
@KayembaKisola Ай бұрын
Jambo papa prence napendaka bipindi byako sasa kwanini watu wengi awajuwe watu weusi walitoka wapi kwasasa tunakuwa n'a ushaidi kusema mungu aliumba ngozi nyeusi Ku mashariki akaumba bazungu bekunda Ku nord akaumba bazungu beupe sud akaumba bazungu ba manjano kumagaribi bakoronisateur banakuya tudanganya kama sibote tunatoka kwa Adam na eva
@zuberimsabaha8474
@zuberimsabaha8474 Ай бұрын
Daah momy anaimba aisee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@zuberimsabaha8474
@zuberimsabaha8474 Ай бұрын
Thank you, let's continue to honor our culture
@kidongojoseph
@kidongojoseph Ай бұрын
😂kwel
@SharifusalehPetwa
@SharifusalehPetwa Ай бұрын
Nampataje huyo mtaalamu, tafadhali nipe utaratibu
@ChrisantJohn-d3l
@ChrisantJohn-d3l Ай бұрын
Nimekuelewa Sana Mzee wangu heshima yako
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu Ай бұрын
Hatujibu text zetu
@ukoa2020
@ukoa2020 Ай бұрын
karibu @Husna
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu Ай бұрын
@ukoa2020 naomba no zako za what's up
@ukoa2020
@ukoa2020 Ай бұрын
@@HusnaSharifu 0715353076 karibu
@JosefNgulinzila
@JosefNgulinzila 2 ай бұрын
Naomba muungane na wachokonozi muwe kitu kimoja nawakubali Sana Niko pamoja na wew mwana wa mfarume
@GeoffreyHakizimana
@GeoffreyHakizimana 2 ай бұрын
Asante Katega ni hakizimana kutoka Burundi
@MwinyiJuma-n4i
@MwinyiJuma-n4i 2 ай бұрын
Mungu tunusuru na haya ya dunia mana watu wa zama za nabii nuhu bado wapo baada ya kumuabudu nakumuomba mungu wenzetu wanatangaza mizimu
@JosefNgulinzila
@JosefNgulinzila 2 ай бұрын
Imani yako mbovu huo niutumwa unakusumbua mindset yako haiko sawa ila nikawaida upeo wako mdogo Sana
@MwinyiJuma-n4i
@MwinyiJuma-n4i 2 ай бұрын
@JosefNgulinzila we jidanganye na hicho kingereza chako Cha chini ya mti hakuna upeo zaidi ya kumuabudu mungu na sio vinyago hivyo ndio shetani mwenyewe nini maana ya mizimu.bwege wewe
@JosefNgulinzila
@JosefNgulinzila 2 ай бұрын
@MwinyiJuma-n4i mi sibishani na kicha wa akili najua akili yako ndogo ndio inakusumbua kwa iyo we nikitoto 2 ambacha hakijui kinaenda wapi unaishi kwa kukalili kajifunze vya msingi usikalie kumezeshwa
@MwinyiJuma-n4i
@MwinyiJuma-n4i 2 ай бұрын
@@JosefNgulinzila sio kumezeshwa sisi kazi yetu kuwakumbusha wanao abudu mizimu na kumsahau mungu maana ya kumezeshwa unaijua? Hata mungu anatuma mjumbe Kuja kuwakumbusha wasiojua thamani yake kama nyinyi hamjui thamani ya aliyewapa uhai Dunia tunapita kwamungu ndio makazi ya milele na ukimpa nafasi shetani lazima akutumikishe mwanzomwisho
@MwinyiJuma-n4i
@MwinyiJuma-n4i 2 ай бұрын
@@JosefNgulinzila ukiona unaagizwa vitu vya jadi jua unamtumikia shetani
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 2 ай бұрын
Prince Katega nielekeze nimekulia maisha ya kuomba sana na ninasprit ya uchamungu ila mizimu inanisumbua sana niwe mganga lakin ndugu wa pande zote wananipiga vita yaani hawanipendi na siwezi kwenda je naombaje napopata mashambulizi ndotoni nimekuja kugundua asili yangu ndo kila kitu
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 2 ай бұрын
Natamani kuisha kwa kufata asili yangu bila dini
@OmegaThreads
@OmegaThreads 2 ай бұрын
Kwa Nini unasema "karibun Wana na mabinti wa mama afrika?" Wana ni kina nani na mabinti ni kina nani? Naomba kujua
@vinnyvinnier1143
@vinnyvinnier1143 2 ай бұрын
Ametumia Wana Kuashiria Wanaume Na Mabinti Wakike 😅
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 2 ай бұрын
Wa africa tumepotezwa sana nahawa waarabu nawazungu
@simbamnyama2589
@simbamnyama2589 2 ай бұрын
Nmekuelewa vzur sna daktar, sasa now tufundishe ukifika pale makaburini unatakiwa kufanya nini..
@elimikasasa643
@elimikasasa643 2 ай бұрын
Kufasiri-to define;. Kutafsiri-to translate
@elimikasasa643
@elimikasasa643 2 ай бұрын
Signs-ishara; alama-simbols. Asante kwa somo. Lkn hiyo picha ya huyo mzungu Ndio picha ya Mungu?
@amirymdee4259
@amirymdee4259 2 ай бұрын
***Wajinga ndiyo hawatakuelewa ikiwa ni pamoja na mashabiki wasiojua lolote***
@MuganwaPatrick-jy3fx
@MuganwaPatrick-jy3fx 2 ай бұрын
Vizuri sana
@elimikasasa643
@elimikasasa643 2 ай бұрын
Nakusikiliza Katega, huyu ni Pius toka Dar
@simbamnyama2589
@simbamnyama2589 2 ай бұрын
Dr. Mziki wa background n mkubwa hatukusikii
@TambaHamisi
@TambaHamisi 2 ай бұрын
Usandawe love you kabila yangu pedwa
@MelkySalimiya
@MelkySalimiya 2 ай бұрын
🤝🤝🔥🔥✍👍🇨🇩
@ruthwatson3057
@ruthwatson3057 2 ай бұрын
Huyo dada ako na kidomo kama ghasia. Kibunga......mnyamazishe huyu kunguru.
@innocentnkundineza9308
@innocentnkundineza9308 2 ай бұрын
Tunawaita Abarangi
@innocentnkundineza9308
@innocentnkundineza9308 2 ай бұрын
Naitwa Innocent naishi nchini Rwanda nakufatiria sana
@e11said23
@e11said23 3 ай бұрын
Unaonesha una chuki sana na elimu yako mbaya wa mwafrica ni mwafrica mwenzake
@mwesigwangirwa6577
@mwesigwangirwa6577 3 ай бұрын
Katonda akuwe amani ogume obaileo kuleba nkaturaruga omutamba za abazungu,
@mwesigwangirwa6577
@mwesigwangirwa6577 3 ай бұрын
Katonda akuwe amani ogume obaileo kuleba nkaturaruga omutamba za abazungu,
@MohammedKhamis-x2v
@MohammedKhamis-x2v 3 ай бұрын
@nanyangahustler4305
@nanyangahustler4305 3 ай бұрын
Yaan hao wanafunzi ni bure kabsa
@AsimweJackson-p3p
@AsimweJackson-p3p 3 ай бұрын
Nakuelewa❤❤
@happynesshami6375
@happynesshami6375 3 ай бұрын
Kwani ulishasoma vitabu vya isaya pia si vimezungumzia ujio wa Yesu na ufufuo baba kama unaamini amini uamini amini imani ya mababu zako usitoe watu ktk imani
@happynesshami6375
@happynesshami6375 3 ай бұрын
Kwann usijadili mambo ya siasa ukaachana na dining utapata dhambi bure tu umesoma biblia nzima au ndo vimistari tu.we shawishi watu waabudu minimum unayoamini usijadili vya Mungu kama Huna roho wa Mungu
@Liquidityconsuption-01
@Liquidityconsuption-01 3 ай бұрын
Da aisee ni kama nimechelewa kukutana na aya madini
@AbdullamasoudHassan
@AbdullamasoudHassan 3 ай бұрын
Nakunda sna rais wagu kipenzi cha wa tanzania w ndio hago langu naamini ipo siku mungu atakup auwezo wakuifingua zaid nvhi yangu kiuvhumi zanzibar 😂