USAFI MISIKITINI
7:30
9 сағат бұрын
SAFARI KATIKA MKOA WA PWANI
3:47
Пікірлер
@MozaAbdullah-z9l
@MozaAbdullah-z9l 18 сағат бұрын
Je! Kama ulimfuga paka vizuri ukamhudumia. Akakuzoea na jina ukampa.. halfu ukamuacha nje Kwa kutokua na uwezo wa kumhudumia. Akawa anjitafitia mwemyewe chakula tena Kwa tabu na kashazoea kupewa anabakia tu nje na njaa mpaka akafariki. Je itakua umeuwa? Au umemdhulumu na kumkatili? Na kama ni ivo ni ipi hukmu yake?
@AbuBacar-kr5en
@AbuBacar-kr5en 5 күн бұрын
Allah niepushe na zinah
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 6 күн бұрын
Ahsante Sana sheikh munir wewe nimtu unae elimu natakwa
@merdümgiriz.00
@merdümgiriz.00 9 күн бұрын
🌟🌹🌟🌹🌟
@zaidumohd3125
@zaidumohd3125 19 күн бұрын
Hii darsa ya maswal inakuepo siku gn
@zulekha-jv9rn
@zulekha-jv9rn 26 күн бұрын
Je mume akimwambia mkewe amfanye ivyoo je inafaa
@user-hr9kb7ev1i
@user-hr9kb7ev1i Ай бұрын
Aslm Alykm, Sheikh hapo ume ghafilika mbona hukutoa mfano ya bahari ama m'to kutia pombe ume sahau kulatein, mfano unao leta ipo tofauti na mwana mke mwenye mimba ya haramu, je anaoleka swali mbona kwako limekua zito una ngeuza mada, uislamu ni mwepesi nyinyi mashekhe saidieni umma
@HabibaAmani
@HabibaAmani Ай бұрын
Ameen
@mvetaomer6874
@mvetaomer6874 Ай бұрын
Shekh hujajibu swali vzur unarukaruka hukmu n nini
@qurantafsirswahili
@qurantafsirswahili Ай бұрын
بارك الله فيك
@abdulghafursalum4373
@abdulghafursalum4373 Ай бұрын
Na itahesabika kuwa bado ni mkeo
@abdulghafursalum4373
@abdulghafursalum4373 Ай бұрын
je ikiwa umekwenda kuposa mwanamke wa kiislam, baadae ikatokea khitilaf akawa hatak kukusikiliza wewe mwanaume wake baada ya kubebeshwa maneno na kuchukua maamuzi ya kurejesha kifungia mlango, bila ya mwanaume kuridhia, na ww ukawa hujachukua au umeichukua n kutoa sadaka, je hukum yake ikoje
@Saidiselemansaidi
@Saidiselemansaidi Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@sleyumcocochi6219
@sleyumcocochi6219 Ай бұрын
Pitia qur ani vizuri na kama hufahamu uliza mashekhe, usiwe mbabaishaji kiivyo wakati ktk qur anni ilo jambo lipo wazi,hakuna imam kuleta dua na maamuma kuitikia aamiin, huo ni Uzushi.
@nismaali2982
@nismaali2982 Ай бұрын
Maashallah Tabarak Allah ❤❤❤❤❤
@AhmedAhmed-lm4uy
@AhmedAhmed-lm4uy Ай бұрын
Je mkitisto inafaa kushika Qur'an yani mas'haff
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 ай бұрын
Quran inasemaje?
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 2 ай бұрын
7:04
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 2 ай бұрын
Naam shukuran san shekhe
@user-zf3fz5lf4m
@user-zf3fz5lf4m 2 ай бұрын
Mkono kwa mkono hadi peponi
@abunusrat3016
@abunusrat3016 2 ай бұрын
Ubabaishaji hamna kitu kutoka Kwa ibaadhi. Talbis nyingi na kuwatukana Khulafau rashidiyn kama Uthman na Ali Radhiy za Allaah ziwafikiye. MASWAHABA watukufu hawaja salimika na ndimi zao chafu
@bashirually5437
@bashirually5437 2 ай бұрын
Manshallah,
@Mr._Pelu_Saloneman
@Mr._Pelu_Saloneman 2 ай бұрын
First 🥇🎉‼️
@jumamaabadi2012
@jumamaabadi2012 2 ай бұрын
Shukran jaziyla
@ZeitunRishard-rh6un
@ZeitunRishard-rh6un 2 ай бұрын
Ikiwa mume ampendi mke wake afanye aje
@BoscoMartine
@BoscoMartine 2 ай бұрын
Thambi ya zinaa
@fatmafuraha7924
@fatmafuraha7924 2 ай бұрын
Shukran jazakallahu kheir 🤲
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@ramadhanbabmane6158
@ramadhanbabmane6158 2 ай бұрын
Mbn maswal ayajibibiwi
@faidikanamawaidha
@faidikanamawaidha 2 ай бұрын
Swali gani ambalo halijajibiwa ?
@othumanambae761
@othumanambae761 3 ай бұрын
Kweri
@Juma-om7ho
@Juma-om7ho 3 ай бұрын
naam mus hafu ni sahihi bilaa shakka
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 3 ай бұрын
maashaallah alhamdulillah . maalim mungu akubarik sana. umejibu kibingwa mnoo
@MohdAli-vh7ut
@MohdAli-vh7ut 3 ай бұрын
Shukran kwa ufafanuzi Allah akujaalie Kila lenye kheri nawe.
@khalefabdallah3680
@khalefabdallah3680 3 ай бұрын
جزاك الله الخير يا شيخنا.
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 3 ай бұрын
Sasa kama Hawa jafa wote wawili
@almasiabdallah4507
@almasiabdallah4507 3 ай бұрын
Ustadh umeelezea vizuri sana kutanabaisha ili watu waelewe, ila kimaoni Kuna haja Gani yakuletewa Quran ambayo Iko tofauti na Quran ilivyozoweleka aftika mashariki na kwengineko duniani. Ikiwa msahafu watangu enzi, wengi wetu Bado Bado bado hadi Sasa hatujui kuusoma, sheikh huoni hii itakiwa fitna kubwa kuletewa msahafu ya miundo mingineyo ambayo itawachanganya waislamu na kuwavuruga? Sheikh huoni KUWA mifumo hii ya kutoa Quran isiyofanana na kuran ya jadi, huenda ni mbinu fiche za shetani kuwachanganya waislamu. Sheikh nyinyi mulio na elmu ya dini, kuweni maakini sana Kwa vizushi vya aina hii. Quran ya mifumo wa jadi yatosha Kwa mafunzi Kwa umma wa kiislamu, imetuo goza Karne na Karne, hatuitaji version nyengine yoyote. Maustadh na maustadhati wetu walifunzwa Kwa Quran ya jadi, nao wanafunza kwayo, version zengine za ajabu ajabu, nizanini? Rai yangu, ningependelea Tena Kwa Imani kubwa. Version hii isipewe nafasi majumbani mwetu, itachanganya mashehe wakongwe na wanagenzi katika dini, ni hatari, ni hatari ni hatari. Hao waliotunga Quran hii, kabla ya kuvumbua Quran hiyo yao wazee wao walifunzwa Kwa qurani Gani? Mpaka waone haitoshi waunde hii nyengine. Pili ikiwa Kwa lafidhi za kwao wameonelea hiyo mpya inawafaa, Kwa Nini watugawanyie Quran ambayo itatuchanganya? Tuwe maakini sana, Tena sana Kwa mbinu fiche za shetani na maadui wa uislamu. Masheikh wetu, uzushi huu na myengineyo ndio chanzo Cha kusambaratisha Quran aliyotuwachia mtume wetu, Quran iliyosomwa na maswahaba, iliyosomwa na matabiin na wanazuwoni wa madhhabi zote, makabila yote ya Dunia hii, wachina, wafaransa, waafrika, wazungu etc na waliielewa kuusoma licha ya lafidhi mbali mbali za makabila yao. Vipi Leo mtu aje aseme eti lafidhi zao ziko hivi ziko vile. Hapana! Sio qurani ikufuate WEWE utakavho, ni WEWE ufuate qurani itakavyo. Qurani hii haistahili kupewa nafasi. Ikikubalika kundi jengine litazua mapya na huo ndio utakuwa mchafuko wa heshma ya Quran tukufu. Ukiona Moshi unafuka jua.... Ahsantum.10:29
@GharibuAltiwaniy
@GharibuAltiwaniy 3 ай бұрын
Naam kaka nakuunga mkono kuwa isiletwe misahafu watu wasiyoijua ama kuizoea ili isiwachanganye. Lakini hakuna jipya, visomo vyote hivyo ni vya tangu majadi, tangu enzi ya mtume sala na salamu za Allaah juu yake, Qur-an imeshushwa kwa lugha ya kiarabu, na warabu walikuwa wana lahaja tofauti, na mtume sala na salamu za Allaah juu yake kaisoma Quran kwa lahaja hizo, ndio maana kukawa na visomo tofauti, lakini maana na muongozo ni uleule, hakuna shetani aliyeingiza lake, MWENYEZIMUNGU kaahidi kuilinda Quran, hivyo visomo vimedhibitiwa hasa na wanazuoni kwa idhini ya Allaah, hakuna herufi moja iliyobadilishwa, Kuna mengi ya kuzungumzia kuhusu haya, Ingia link hii upate maarifa zaidi: kzbin.info/www/bejne/g3aUan6Iqd-WqNksi=sgiZD6YwHTpTirI1
@saiddgsmg
@saiddgsmg 3 ай бұрын
mw/mungu atuepushie.
@zahorsuleyman7617
@zahorsuleyman7617 3 ай бұрын
Sasa mm nauliza,kama hii misahafu haikuandikwakwa lafdhi zetu,yanini kuruhusiwa kuingia ktk nchi yetu?Hamuoni kama inakuja kutuchanganya ijapokua ipo sahihi kama msemavyo??Gonga like kwa wanao nikubali.
@SimbaHaji-jm7md
@SimbaHaji-jm7md 3 ай бұрын
Watu wanatakiwa wasome, huo msimamo uliochagua ni wa kivivu kabisa ..watu wasome sana kama ambavyo wanasoma secular
@Juma-om7ho
@Juma-om7ho 3 ай бұрын
inaingia mbona ni kawaida tu kuna baadhi ya madrasa mbona hicho Qiraa kinasomeshwa! tunatakiwa tujifunze viraa
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc 3 ай бұрын
Allah atuongoze kwenye elmu na atuzidishie ufaham ktk ilmu
@SUZANASUZANA-ku3jk
@SUZANASUZANA-ku3jk 3 ай бұрын
Shukran ubarikiwe
@SUZANASUZANA-ku3jk
@SUZANASUZANA-ku3jk 3 ай бұрын
Shukran ALLAH awalipe kheri
@letuslearn7548
@letuslearn7548 3 ай бұрын
Aamiin
@FatumaMwavyema-sv8ro
@FatumaMwavyema-sv8ro 3 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤🎉🎉🎉
@alinassor391
@alinassor391 3 ай бұрын
Kwani ibaadhi wanafuata imamu gani
@faidikanamawaidha
@faidikanamawaidha 3 ай бұрын
Imam Jabir bin Zaid Al Uzdi Allah amridhie aliyezaliwa mwaka 18 Hijiria na kufa mwaka 93 Hijiria, amechukua elimu yake kwa Masahaba wa Mtume S.A.W. amesema: "Nimewawahi Masahaba 70 walipigana vita vya Badri nami nimechukua waliyokua"
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh 3 ай бұрын
Vp hali yake anaendeleaje
@faidikanamawaidha
@faidikanamawaidha 3 ай бұрын
Tunamshukuru Allah. Hali yake inaendelea vizuri .
@AminaSapar
@AminaSapar 3 ай бұрын
Je nikitaka kuswali rakaa zote 11 Nitaziswali vip
@user-qf1wy4vj5l
@user-qf1wy4vj5l 3 ай бұрын
Ya Allah! Nijaalie nihifadhi haya majina na Maana zake na niyatumie Kila mara na nife Hali ya kuwa nakumbuka majina Yako na uniepushe na ushirikina.
@a.856
@a.856 3 ай бұрын
Jazakallah khayran