Shaikh Arif suriya always is active about theen work. May Allah accept his work
@arshadsakri278Ай бұрын
Masha Allah Shaikh Arif suriya
@shafimakkaАй бұрын
Masha Allah Tabarak Allah
@ishaqmuhammad1841Ай бұрын
ماشاءاللہ شیخ عارف ۔۔۔۔
@mohdshahkar5987Ай бұрын
Masha Allah
@AffanKhan-d3wАй бұрын
مفتی بکاٹا مکاو مکو
@RoyalxploreАй бұрын
Maa sha Allah Shaykh Arif Surya Hafizahullah. From Markaz Kiwalani. Very Good Personality. Maa sha Allah
@MimiKaka-h8jАй бұрын
mashaalah
@SelemaniNurudinАй бұрын
Allah kabufu kalm
@AdamDaudy-e6u2 ай бұрын
MashaAllah nzuri sana
@AdamDaudy-e6u2 ай бұрын
MashaAllah
@NaswiratHussein2 ай бұрын
Allaamdulli llah
@hajimjaka7212 ай бұрын
Amir sap inshalwah Alwah atukubali na awalipe Fidrausi na aendelee kukupeni afya na uzimaa na kukulinde na mabaya Ili Umma unufaike zaidi mashalwah jazakalwah kheiri
@NadeemKhan-zo8dc2 ай бұрын
Mashallah
@BahjatHammad2 ай бұрын
ما شاء الله، تبارك الله، جزاكم الله خيراً وتقبل منكم صالح الأعمال
@ruksarmohamed26862 ай бұрын
اللهم بارك.... ما شاءالله تبارك الله 🤍🤲
@IsmailyKebelezo-h9w2 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah
@khamisswalehe2 ай бұрын
shekh Arifu anatafuta pepo kwa lazima
@IsmailyKebelezo-h9w2 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah
@AdamDaudy-e6u2 ай бұрын
Asanteni sana khidmatul Ummah kwa wema wenu Allah awalipeni Kila la kheri Na hilo la ndugu zetu wa ghaza limenigusa sana huo ndio Utu na huo ndio uungwana na huo ndio Uislamu Muislamu asiye guswa na shida za watu huyo ni Muislamu wa aina Gani?
@mohdshahkar59872 ай бұрын
Masha Allah
@mohamedimuhango44402 ай бұрын
Mashaallah Sheikh wangu
@phillephillip60912 ай бұрын
Misaada hutolewa na wahisani, tambua hiyo ni taasisi sio mtu binafsi, hata muidhinishaji wa msaada wamesema yupo safarini. Sharti kubwa la muhisani ni report, hivyo tumepewa report kudhibitisha kilichofanyika kesho msiseme wamepiga hela. Pili amali hulipwa kwa nia, km lengo ni kujifakharisha watalipwa kwa nia hiyo na km lengo ni kutukumbusha kuwainua maskini jambo ambalo limepotea kwenye Jamii zetu hususani Waislam basi watalipwa dabali dabali. Hitimisho, binafsi naona ni Bora anayetenda kwa kutafuta umaarufu kuliko anayezuia msaada. Hii ndo ibada iliyokufa na kuzikwa kwa Jamii za Kiislam. Naomba kuwasilisha
@BahjatHammad2 ай бұрын
ما شاء الله، جزاكم الله خيراً وتقبل منكم صالح الأعمال
@mohdshahkar59872 ай бұрын
Masha Allah
@YassirYassin-u8e2 ай бұрын
Mashallah
@binuqaasha6752 ай бұрын
Ktk watakaofunikwa vivuli siku ya kiama .. Na yule Ambae ametoa sadaqa Kwa mkono wake wa kulia na usijue mkono wa kushoto Nini kimetolewa na mkono wa kulia.. basi ikiwa izo ndio vigezo vya kupata kivuli cha Allah siku hiyo ambayo hakuna kivuli ila kivuli chake... Itakuaje Kwa wale ambao wanatangazia nchi mzima Kwa shilingi 5 yao waliotoa ... Itakuaje Kwa wanaowaita mpaka move camera warikodi sadaqa zao... Tumogopeni Allah. Na tuogopeni moto Kwa kutoa sadaqa ata upande wa tende lakini iwe lillaahi . Kwa aji ya Allah tu.. na sio majigambo... Baadae ktk sadaqa iyo iyo usikute ktk mivuli ya ya izo kokoteni mara Kuna matangazao ya mabank na mariba... Duh twenda wapi waislaamu