Kiufupi r6 sio cm ya kuaminika sana au mahan nataka nichukue?
@twerklegends-n4f27 күн бұрын
KAKA NINA AQUOS R6 ILA DOT LA KIJANI ( GREEN) IV KWENYE ANGLE YA CHINI ASA SIJAJUA NI WINO AMA NI NINI? DOTI LA KIJANI ...VP LINAWEZA KUONGEZAKA NA KUAFFECT SIMU AMA LAH? PLS reply
@nyabwirejoellukumai8175Ай бұрын
Dah nilitaka kuchukua hii nikijua ina camera kali nmevunjika moyo uliposema haina camera nzuri
@nyabwirejoellukumai8175Ай бұрын
Naomba kuuliza hii r6 na Google pixel 5 ipi ina camera kali
@wajanjatronicsАй бұрын
Pixel Ina kamera kali zaidi
@nyabwirejoellukumai8175Ай бұрын
Sorry Kwa hiyo hii kwenye camera haiko vizuri@@wajanjatronics
@wajanjatronicsАй бұрын
@nyabwirejoellukumai8175 Iko vzr lkn sio zaid ya pixel 5
@barakasamwelijohnАй бұрын
KIONGOZI MBONA NIMEENDA DUKANI NIMEKUTA HAI SUPPORT eSIM, AU ZIPO R6 AINA MBILI KAK
@wajanjatronicsАй бұрын
Yes hai support E-sim kk
@brunoalbogast999Ай бұрын
Nikitaka kulipia taratibu taratibu inawezekana ?
@wajanjatronicsАй бұрын
hpn bado sina utaratibu huo
@brunoalbogast999Ай бұрын
Umeongea ukweli nimekupa like
@wajanjatronicsАй бұрын
Asante mkuu
@saidshekhabin_shaha83202 ай бұрын
Kias gani hyo??
@wajanjatronicsАй бұрын
Hii bei yake ni 950,000/= mkuu
@stevenawadh38122 ай бұрын
Hii cm nzuri rakini r5 ni noma kwa camera
@StephaniaMhagama2 ай бұрын
Kama nikihitaji mpya kabisa ambayo siyo used zinapatikana
@wajanjatronicsАй бұрын
Hapana hupati hizi zinapatikana mitumba tu
@homeboyvr81842 ай бұрын
Kaka kioo chake hicho shingapi
@wajanjatronicsАй бұрын
Vioo vyake Bado havijaanza kuingia bongo tuendelee kusubili kdg
@ReevesMKapata2 ай бұрын
How to deal with the sim slot
@getachewmitiku77202 ай бұрын
is 5g sim work in your country
@wajanjatronics2 ай бұрын
@@getachewmitiku7720 yes it work but for this phone no it does not support 5G I don't know whether it because of my country or something is missing
@LightnessBoay2 ай бұрын
mim natumia zero 6 lkn nkituma masage moja tu zinaenda tatu naomba suluhisho au nitupe tu
@wajanjatronics2 ай бұрын
@@LightnessBoay hpn usitupe inaweza ikawa nishida ya kawaida sana kwasasa sinajibu ila ntakapo pata jibu ntakurudia
@piusmahena84892 ай бұрын
Mbona yangu in nikiwasha data Inapata moto
@wajanjatronics2 ай бұрын
@@piusmahena8489 moja kati ya changamoto ya Simu Used & Refurbished ni hiyo na hii inatokana na simu hizi kuwa tayari zimeshapitia matengenezo kabla ya kurudishwa sokoni kwa mara ya pili sana sana upande wa betri ya kioo simu yeyote kupata moto nikawaida ila kwa simu used joto lake huwalinakuwavkali zaidi na hiyo nikawaida kbs
@piusmahena84892 ай бұрын
Unanishauri kipi bro Yani nimenunua hata wok haijaisha
@alibakari71762 ай бұрын
Hivi na hizi docomo zina tofauti gani na hizi
@FARIZDesthara3 ай бұрын
Gw pake smart 7 tapi warna putih
@wajanjatronics2 ай бұрын
@@FARIZDesthara oooh! would you like a black one?
@malifedhaanyasio8113 ай бұрын
Kaka mim nahitaji hii cm je vip naweza kupata kwa wapi kwasasa coz me nipo mkoani moro huku zipo gali kido vp kwa kuko dar kwa sasa zina simamaje?
@wajanjatronics3 ай бұрын
@@malifedhaanyasio811 hizi simu kwa dar uhakika sana lkn kwa mikoani nadhani upatikaje wake ni adimu na ndo maana zinauzwa ghali unaweza kuagiza moja kwa moja toka kama bei za mkoani kwenu huziwezi
@HarunaHincha3 ай бұрын
Nini faida ya kuristati simu
@wajanjatronics3 ай бұрын
@@HarunaHincha Hakika. Hapa kuna muhtasari wa kile nilichokisema hapo awali: Kurestart simu yako kunaweza kutatua matatizo mengi madogo ambayo simu yako inaweza kuwa nayo. Hii inaweza kufanya simu yako ifanye kazi vizuri zaidi na kwa kasi zaidi. Kwa maneno mengine, kuzima na kuwasha upya simu yako ni kama kuipa "pumziko fupi" ili iweze kuanza upya na kufanya kazi vizuri zaidi.
@GadyRashidy4 ай бұрын
Vioo vyake vinapatikana wapi
@OmarMembe4 ай бұрын
Duuh mm niliogerea nayo vp inawezaa kutengenezwa au nikatupe
@wajanjatronics3 ай бұрын
@@OmarMembe 😂😂 kama umezima katupe water damage ni ngumu kufix
@ShabanMohamed-c2b4 ай бұрын
Mbn yangu ikiwaia aianzi na sharp yenyew inaanz na docomo
@AdamKudra-kh2fw3 ай бұрын
Hiyo haijaandikwa Docomo nyuma, ila Yako itakuwa imeandikwa Docomo, hata Aquos Sense 5G Kuna zilizoandikwa Docomo na zingine hazijaandikwa
@BANANA_GUYwzm4 ай бұрын
oya nnayo aquos r6 , ina 5g ila.nikiweka line haisom 5g vp una suluhisho?
@wajanjatronics3 ай бұрын
@@BANANA_GUYwzm je laini yako ni 5G? Kama ndio kwny setting ya simu yako umeruhusu isome 5G kwny setting?
@BANANA_GUYwzm3 ай бұрын
@@wajanjatronics nimeruhusu 5g na line ni 5g ila haisomi
@alibakari71762 ай бұрын
Huwa inasoma LTE
@wajanjatronics2 ай бұрын
@@BANANA_GUYwzm hpn nmegudua hilo juzi ndo nafatilia
@wajanjatronics2 ай бұрын
@@BANANA_GUYwzm nadhani hili ni tatizo ila sijui ni kwnn ?
@HarunaHincha4 ай бұрын
Mimi natumia aquos sense 5g ila wananiambia zinauaga mashine kuna ukweli woote kaka
@wajanjatronics4 ай бұрын
@@HarunaHincha hpn sio kwl simu kuzingua mashine ni simu tu yenye ila sio kwl kwamba simu zote zinasumbua mashine
@augustinpetro4 ай бұрын
Mm naweza kusema nikweli maana hata mm yakwangu ilikufa mashine mpaka leo imepotelea kwa fundi sina ham nazo kiukweli
@sadammakaka455914 күн бұрын
Mm nayo Haina shda@@augustinpetro
@ElizabethGadau4 ай бұрын
upatikanaji wake vp
@wajanjatronics4 ай бұрын
@@ElizabethGadau zinapatikana sana hizi
@wajanjatronics4 ай бұрын
@@ElizabethGadau Message Wajanja_Tronics on WhatsApp. wa.me/255746630583
@videozaaj10694 ай бұрын
Vp kuhsu gadgets zake kama screen protector,na case zake,zinapatikana?
@wajanjatronics3 ай бұрын
@@videozaaj1069 zipo Kwa wingi sana kariakoo ila kama upo mkoani pole sana
@HamdaniAbeid4 ай бұрын
Vp ina support game la pubg
@abassyamiry20194 ай бұрын
Kak mie nmebahatika kuwa nayo ni nzur,,,mie nashida ya settings ya ringtone tofauti na zilizopo
@wajanjatronics4 ай бұрын
@@abassyamiry2019 umeshindwa kbs kuchange ringtone
@abassyamiry20194 ай бұрын
@@wajanjatronics ndio natak niweke wimbo niupendao lakn naona nikiingia naona sioni chochote
@kingsleychima41195 ай бұрын
Good one champ I just wanna ask some questions How's the battery usage( im not a gamer so, but im a hard user) I heard it heats a lot, is it true?
@wajanjatronics5 ай бұрын
It's battery is very good so much good if not badly missused heat is normal but I never experienced over heating to that extent so to my opinion no it doesn't
@kingsleychima41195 ай бұрын
@@wajanjatronics thank you champ I really appreciate your reply
@BANANA_GUYwzm4 ай бұрын
i use it its really good, i play warzone mobile on it
Kazi nzuri nilikua nahitaji review ya hii sim kitambo
@wajanjatronics5 ай бұрын
vp inatosha au Kuna vitu vina-miss
@InnocentFlavian5 ай бұрын
Aquos r6 na zero 6ipi inatoa picha vzr?
@wajanjatronics5 ай бұрын
R6 mkuu
@malifedhaanyasio8113 ай бұрын
Ila kk mbona R6 camera yake Ina Mp20 na zero 6 Ina Mp47 vp hapo niipi kubwa Sasa
@wajanjatronics3 ай бұрын
@@malifedhaanyasio811 Ukubwa wa mega pixel haimaanishi ndio kamera nikali quality ya kamera inasababishwa na vitu vingi mno R6 Ina sensor kubwa kwny kamera yake ambayo unaongeza sharpness kwny picha nakuweka portrait pamoja kung'arisha picha unazipiga usiku hii inaifanya R6 kutoka picha nzuri zaidi kulilo Zero 6 hilo no moja tu kama utahitaji zaidi utanitafuta kwa muda wako binafsi
@enockchristopher75695 ай бұрын
natarajia kununua Aquous zero 6...❤❤ nimependa sana
@wajanjatronics5 ай бұрын
Iko vzr sana jitaidi uchukue
@wajanjatronics5 ай бұрын
Iko vzr sana jitaidi uchukue
@wajanjatronics5 ай бұрын
Gud work wajanja 🫶
@MecktilidaSamson6 ай бұрын
Me hii sm ninayo lakin imenipa shda ukitma SMS zinaend mara3
@wajanjatronics6 ай бұрын
Settings hizo xx shida ya simu settings nipana sometimes had nishike simu ndo najua tatizo jaribu kutafta mtu anajua kuxmchezea vzr akusaidie au nicheki Whatsapp namba 0746630583