Tunawhitaji ili wasikie ujumbe huu ukawabadilishe maisha yao. Ijapokua katika karamu ya yule alikua amevaa kirejareja alitolewa mathew 22:10-12
@margaretochieng Жыл бұрын
Amen man of God say the truth and the truth shall set you free
@ErickLiduhiza Жыл бұрын
Amen am blessed
@AzamaAzama-uy2zd Жыл бұрын
Nikweli baba yangu mungu akulinde
@tracychisanga7882 Жыл бұрын
Leleleeeeeeeeeeee leleleeeeeeeeeeee leleleeeeeeeeeeee leleleeeeeeeeeeee leleleeeeeeeeeeee leleleeeeeeeeeeee go deep man of God 👌👌👌👌🤔
@BALITUPAMWAKIJUNGU-mh9xj Жыл бұрын
Amina
@SMEDIA298 Жыл бұрын
BONYEZA PICHA HIYO ILI UKATAZAME MAFUNDISHO MBALIMBALI,KWAYA,KUSIFU NA KUABUDU NA MUNGU AKUBARIKI PIA KARIBU KATIKA IBADA ZETU KUANZIA JUMATANO-IJUMAA SAA 8 MCHANA MPAKA SAA 10 JIONI NA IJUMAAA HIYO HIYO NI MKESHA MZURI SANA UNAONZA SAA 4 USIKU MPAKA SAA 4 ALFAJIRI ,JUMAMOSI NI MAZOEZI YA KUSIFU NA KUABUDU SÀA 12 JIONI MPAKA 4 USIKU MAHALI NI EAGT KIGOGO SAYUNI ,KIGOGO KITUO CHAWOTE UKITOKEA NJIA PANDA KIGOGO AU UKITOKEA MABIBO KAROBUNI SANA YESU ANAOKOA KARIBU TUSHIRIKI IBADA PAMOJA.
@ErickAbuu-hi2qv Жыл бұрын
Mungu akuinuwe sana mtu wa Mungu, hio neema hakika imenijenga
@ساليالزهراني Жыл бұрын
Amen Amen powerful message
@glorypaul8000 Жыл бұрын
Amina baba
@gayleaporin5392 Жыл бұрын
The truth should be told powerful encouraging and inspiring
@foncetecelectricalandelect34 Жыл бұрын
Naomba nielimishe watu hapa ili uelewe biblia unapaswa kuelewa muktadha yani katika sura hiyo ya biblia Mungu alikuwa anazungumza nini ukisoma mstari wakwanza kabisa wa hiyo Malaki 2 unasomeka hivi "Na sasa, enyi makuhani, amri hii yawahusu ninyi." Ukisoma mstari wa 4 na wa5 utazidi kuelewa Mungu analihesabu kanisa au mwanadamu kuwa mke na yeye ndiye mume halali. Kwenda kinyume na yeye ni usaliti sasa wengi tunashindwaga kusoma lugha za mafumbo katika biblia tusipo soma na tukapewa mafungu ya kuambiwa "komea hapo funika biblia" tutatishwa na kutoa sadaka za vitisho sadaka ya damu ya yesu ilifuta nguvu ya damu zote za maagano. Ila kwa wao wasio amini kafara ya kristo Yesu hili hutenda kazi
@nkarizikim6970 Жыл бұрын
Great preaching indeed Prophet! Glory to God
@babaangel7584 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN Watching online from KENYA
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ameeen
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa maono makubwa na ufunuo. Zidi kubarikiwa nabii.
@josephjulio6112 Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana mtumishi
@catherineaugustine71242 жыл бұрын
Napokea kuwa miongoni mwa mabaki kwa SABABU ya faraja katika maisha yangu 🙏 SANA
@catherineaugustine71242 жыл бұрын
AMINA MTUMISHI, 🙏 NAKUSHUKURU BWANA YESU KWA KUNIHUDUMIA
@piliscamarugusu8802 жыл бұрын
Amina baba ubalikiwe
@mirajisalehe7422 жыл бұрын
Ama wawezaje kuingia nyumbani mwa Bwana umevaa mawigi na manywele ya Bandia?
Tunavaa vzr kumheshimu Mungu ila kama uko kansan na ukimuona mwanamke unapata tamaa kias cha kutaka kutenda dhambi bas kuna shda mahali rafiki
@elizabethmassawe54482 жыл бұрын
Tunavaa vzr kumheshimu Mungu ila kama uko kansan na ukimuona mwanamke unapata tamaa kias cha kutaka kutenda dhambi bas kuna shda mahali rafiki
@elizabethmassawe54482 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba tunapaswa kuokoka kiasi kwamba tusiwe na tamaa za hvyo maana kansan utakuta watu wamevaa Nguo ndefu uko mtaani tukitoka tu kansan wasichana wanavaa uchi So Macho yakituwa nuru hata wakiwa uchi mnyama kuna namna utamuona huyo dada ka zombi fulan HV🤦🤦🤦🤦
@mjhosea7662 жыл бұрын
ubarikiwe sana baba lakini wa dada kanisani kwako wanavaa vimini na modo wengine nyonyo zinaonekana vp nawao uwaoni baba ila MUNGU AKUBARIKI kwakuwa unakemea dhambi
@charlesbangana4072 жыл бұрын
Mungu aendeleye kukufunuliya
@rosegaspar5172 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa
@stephanochazi51742 жыл бұрын
Ni kweli papa amin wokovu ndiyo njia ya kumuona yesu ili kwenda mbinguni
@joykwamby75862 жыл бұрын
Ameeeeen and Ameeeeen I receive it papa
@mercymutheu31942 жыл бұрын
Powerful message may God bless you pastor
@focuslemsi36102 жыл бұрын
Kweli kabisa mtumishi
@lidiammbone61262 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 aleluya aleluya mtumishi wa mungu asantee Sana mbona unasema ukweli kabisa
@Mariejo123-g2x2 жыл бұрын
Napenda mchungaji anayesema ukweli. Asante sana mchungaji. Kazi nzuri
@evelynakoth6172 жыл бұрын
Your message touch me until I get blessed kabisa good