Nahitaji kujifunza mpaka nijue napenda sana haya mambo
@EvanceJoel-eh9ym5 күн бұрын
Kaka sisi wa IOS tufanyeje??mana hatuna play store kaka
@ajakaiictcompany5 күн бұрын
Kama unatumia Computer au iOS kupata App yetu tembelea website yetu www.ajakaiict.net kisha bonyeza Mobile App
@brightermallya6 күн бұрын
Me nimefanya hivyo bd sijaletewa majibu
@nathankiddo-d5j9 күн бұрын
Kwenye sim inakuaje
@carlenmyinga869925 күн бұрын
Brother naomba namba zako plz
@ajakaiictcompany25 күн бұрын
Wasiliana na timu yetu whatsapp 0678920112 au pakua app yetu google play store ya AJAKAI ICT kisha bonyeza Live Chat au Omba Huduma
@fsaid5506Ай бұрын
Mkuu tunakupataje no.zako
@ajakaiictcompanyАй бұрын
Tembelea website au App yetu ili kupata mawasiliano, na ili kupata masomo ya online ethical hacking pakua app kupitia google playstore AJAKAI ICT kisha bonyeza Ethical Hacking
@fsaid5506Ай бұрын
Kaka nahitaji darasa lako online namba yako naipataje
@ajakaiictcompanyАй бұрын
Tembelea website au App yetu ili kupata mawasiliano, na ili kupata masomo ya online ethical hacking pakua app kupitia google playstore AJAKAI ICT kisha bonyeza Ethical Hacking
@kingnass6410Ай бұрын
Je nawezaje kuwa hakker
@ajakaiictcompanyАй бұрын
Ili kuwa hacker tazama video hapa kzbin.info/www/bejne/hampkqlme9une7c Na ukitaka kujifunza Online Ethical Hacking, Pakua App yetu Google Play Store ya AJAKAI ICT kisha bonyeza sehemu ilipoandikwa Ethical Hacking
@kingnass6410Ай бұрын
Asante sana
@MAJURAMSOMIАй бұрын
Kazi nzuri, nasubiri sehemu zinazofuata kwa hilo darasa
@ajakaiictcompanyАй бұрын
Leo tutaweka part 2, asante kwa kutufuatilia
@Khadija123Khadija12-sАй бұрын
❤
@Ngobeboy2 ай бұрын
Xanaaa bro
@marcomtegga86992 ай бұрын
Sasa unaishiaje njiani
@ajakaiictcompany2 ай бұрын
Nimemaliza hatukuishia njiani, kama unahitaji msaada zaidi chat nasi kwenye app
@mpagikhatib36842 ай бұрын
Nakila nikitia namba siletewi god nomba
@ajakaiictcompany2 ай бұрын
Pakua app yetu ya AJAKAI ICT kupitia google playstore kisha bonyeza Live Chat na utapata msaada kwa wataalam wetu
@mpagikhatib36842 ай бұрын
Hatamie Mie natumia laini ya nnje sasa wastApp yangu yamwanzo umefutika sasa nataka nirejeshe ileile yamwanzo Naomiba msaada wenu
@ajakaiictcompany2 ай бұрын
Tutumie namba yako unayotaka kurudisha whatsapp hiyo ya nje kwa kutuma ujumbe mfupi kwenda kwa timu yetu 0678920112
@briankarume46602 ай бұрын
Nataka kujifunza
@ajakaiictcompany2 ай бұрын
Pakua App yetu ya AJAKAI ICT kupitia Google Playstore kisha bonyeza Ethical Hacking
@roggersmalipula89572 ай бұрын
Mm nimeomba kifunguliwa Mara kadhaa lkn hawajanifungulia na pia kila nikijiunga kupitia namba zingine lkn zote zimefungiwa
@ajakaiictcompany2 ай бұрын
Pole sana, kama kila namba mpya inafungiwa kwenye simu yako, Basi tatizo ni IMEI namba ya simu yako imefungiwa pia. Ili kupata msaada na ushauri teambelea App yetu ya AJAKAI ICT na uchat na expert wetu
@GEITAZONE3 ай бұрын
KAKA NAHITAJI KJIFUNZA AU KUNAHATUA ZAKUJIUNGA NA DARASA LAKO
@ajakaiictcompany2 ай бұрын
Kama uko mbali na Kahama, unaweza ukajiunga kwa mafunzo ya online training, kwa kupakua app yetu AJAKAI ICT kisha bonyeza Training na Ujisajiri
@MariethaMakono3 ай бұрын
Hii imefkia wapi
@ajakaiictcompany3 ай бұрын
Tuwasiliane whatsapp 0678920112 kwa maelekezo zaidi
@MwanaidiRamadhani-y2f3 ай бұрын
Naomba msaada wasp yangu inagoma nilivoanza tumia cm mpya K
@ajakaiictcompany2 ай бұрын
Kama bado una tatizo hilo naomba pakua app yetu AJAKAI ICT kisha utabonyeza Live Chat na wataalam wetu watakusaidia
@SylvesterMakwata-c8w3 ай бұрын
Naomba msaada whatsapp yang inasumbua
@ajakaiictcompany2 ай бұрын
Kama bado una tatizo hilo naomba pakua app yetu AJAKAI ICT kisha utabonyeza Live Chat na wataalam wetu watakusaidia
@BabyAysher3 ай бұрын
Mie pia nimefungiwa
@OjamboJovan3 ай бұрын
Do you need an invalid SIM card or valid
@ajakaiictcompany3 ай бұрын
Any SIM Card
@AmeKhamis-p8c3 ай бұрын
Mm inafanya kama ilio bolockw
@KimDeIbrazza-j1f3 ай бұрын
Kaka nahitaji kujifunza hacker ila cjui hata pakuanzia Je? nikaanzie kujifunza chuo cha IT au'????
@ajakaiicteducation3 ай бұрын
Nenda kasome Cybersecurity, ila inabidi usome tutorial mbalimbali online wewe mwenyewe ili uwe mahili zaidi. Usitegeme sana na unachojifunza darasani, ili uwe mzuri unahitaji kuwa na shauku ya kujua vitu vingi kwa kujiongeza mwenyewe kupitia mitandaoni. Kujua zaidi vitu vipi utajifunza kozi ya cyber security basi pakua app yetu AJAKAI ICT kupitia google playstore kisha chat nasi
Click the lick to download the game www.ajakaiictportal.com/2022/11/heres-how-to-download-and-play-draft.html
@kelvinadamson66504 ай бұрын
Tunashida sana tunafanya save for save
@gedionngamesha4 ай бұрын
Nasoma ICT but i want to be software engineering
@ajakaiictcompany4 ай бұрын
Sawa, maliza kwanza hiyo ICT kisha ujiunge upya kusoma kozi ya software engineering
@gedionngamesha4 ай бұрын
Saw kwahiy yule anaesom ICT ataanza kusom information communication then atamalizia na information technology sindo hiv kiongoz
@mureymahomary75044 ай бұрын
Sas mbona inakataa hat ikiweka
@ajakaiictcompany4 ай бұрын
inakataa codes au ni nini? naomba tufahamishe kupitia app yetu. Download app yetu playstore kisha bonyeza OMBA HUDUMA na utufahamishe tatizo lako ili tukusaidie
@JoycePhilimon5 ай бұрын
Naomba msaad whatpp yang inasumbua
@mtorrohussen53875 ай бұрын
Jamani Masada WhatsApp yangu imefungiwa
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Pakua app yetu playstore kupitia hii link kisha bonyeza OMBA HUDUMA play.google.com/store/apps/details?id=ajakai.ict3&hl=en&pli=1
@SymonOrao-h5l5 ай бұрын
Msaada ntamimi yangu imefungwa
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Pakua app yetu playstore kupitia hii link kisha bonyeza OMBA HUDUMA play.google.com/store/apps/details?id=ajakai.ict3&hl=en&pli=1
@maxata205 ай бұрын
How to download the game but let all the girls be
@GraceMichael-m4s5 ай бұрын
Jmn nisaidien ata haifunguki
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Pakua app yetu playstore kupitia hii link kisha bonyeza OMBA HUDUMA play.google.com/store/apps/details?id=ajakai.ict3&hl=en&pli=1
@BeatusMasele-r9r5 ай бұрын
Plz naomba Masada wa namba Angu him Iko banned 0784239757
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Tuma namba yako kupia App yetu ili usaidiwe na wataalam wetu. Pakua App kupitia Google Playstore ya AJAKAI ICT kisha bonyeza OMBA HUDUMA na chagua huduma unayotaka kisha bonyeza Chati Nasi
@NiyokwizigiraAnatole-xk2uu5 ай бұрын
Salama,, nimefuatilia vizur jins umetoa maelekezo lakini mimi nikijalibisha inajurudia vilevile kbs
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Pole, tuwasiliane kupitia App yetu ili tukusaidie. Pakua app kupitia google playstore ya AJAKAI ICT kisha utabonyeza OMBA HUDUMA na scroll huduma za mwisho utaikuta msaada wa whatsapp na bonyeza Request kisha Chati nasi
@leahrukwakwa93884 ай бұрын
Mmmmh tupo wengi mm nishafanya Kila kitu lkn cjafanikiwa ata,apa nawaza kurestore cm tu na cjui ka itakubali an
@loydamwakyomo86235 ай бұрын
Wengine mmesaidikaje jamn mbona kwangu inashindikana
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Chati nasi kupitia App yetu AJAKAI ICT ili tukusaidie. Pakua app yetu kupitia playstore na kisha bonyeza OMBA HUDUMA au chati nasi
@HauwaynahHakeem5 ай бұрын
Nam yang imefungwa jaman msaad
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Wasiliana na wataalam wetu kupia App yetu ya AJAKAI ICT. Pakua app google playstore kisha bonyeza OMBA HUDUMA na chagua huduma unayotaka kisha bonyeza chati nasi
@zamaradimabruck29225 ай бұрын
Hell naomba msaada please WhatsApp yangu inazingua sana
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Pole kwa usumbufu unaoupata, naomba upakue app yetu kupitia playstore ya AJAKAI ICT kisha bonyeza Omba huduma na tafuta huduma unayotaka kisha bonyeza chati nasi ili kupata msaada wa huduma kutoka kwa wataalam wetu
@zamaradimabruck29225 ай бұрын
@@ajakaiictcompany okay thanks
@robertdouglas-eb6fz5 ай бұрын
Samahani whatsapp yang inaniambia you need official whatsapp to log in
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
@@robertdouglas-eb6fz Kama ulijaribu kujisajiri whatsapp kwenye simu nyingine kwa hiyo SIM Card na bado ikatoa ujumbe huu. Naomba uwasiliane nasi kupitia App yetu ya AJAKAI ICT kwenye Google Playstore
@loydamwakyomo86235 ай бұрын
Daaah nkajua mwenyew kumbe tupo wengi 😢😢 msaada jamn
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Pakua app yetu playstore AJAKAI ICT kisha bonyeza Omba Huduma na wasiliana na watoa huduma ili tukusaidie
@ShabanMohamed-c2b5 ай бұрын
Je ict inahumuimu kuliko it
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Zinategemeana, utaanza kupata elimu ambayo ni ICT kisha ndiyo utakuwa IT
@RehemaDhahiri-kj2uh5 ай бұрын
Nimeishi kwenye hatua ya pili jamanii location.imekataa 😢😢😢naomba kusaidiwa
@ajakaiictcompany5 ай бұрын
Kwa msaada zaidi tuma imei namba ya simu iliyopotea na email address yako ili tukusaidie. Tafadhari usitume hapa kwenye comment. tuma kwa namba yetu ya mtoa huduma. au unaweza uka pakua app yetu playstore AJAKAI ICT, kisha utabonyeza Omba Huduma na chati na watoa huduma wetu ili wakupe msaada
@kyeyuneronnie13076 ай бұрын
But how can I go to next level after winning
@ajakaiictcompany6 ай бұрын
When you finish the first level, then click the message displayed to go the next level
@SophiaMwampash-y8q6 ай бұрын
6
@SophiaMwampash-y8q6 ай бұрын
2
@ziadaambanjaula89007 ай бұрын
😢me natumia lain ya nje nataka kuiludisha ileile WhatsApp yang inagoma mnanishaulije jamani
@ajakaiictcompany7 ай бұрын
Kama awali ulishirikisha email yako kwenye whatsapp basi verification code unaweza kupokea kupitia email yako ili kukamilisha usajiri, Kama hukushirikisha basi jaribu njia hizo mbili: Washa/ruhusu Roaming kwenye simu yako ili kupokea calls au sms ya verification code za whatsapp ila tambua huduma hii ina gharama. njia ya pili unaweza ukaruhusu voicemail kwenye simu yako ili verification code ziweze kutumwa kupitia voicemail. Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana na timu yetu