MWENYE KITI WA BACHU YUKO SAWA KABISAAAA HUYO SHEIKH SAID SWALI HUJAJIBU SWALI KWAHYO JIBU NDIO MUULIZE
@rajabathman9712 күн бұрын
Duuh kwaiyo kufuga ndevu ndio dalili yakumpenda mtume 😂😂😂 MAWAHABI MUNAKAZI SANA
@allyrashidi987514 күн бұрын
Maghurafi hawakusoma,,,sheikh bachu achana nao Hawa ni kama Wakristo wa Sasa ambao hawana kitabu
@suleimanmkanga15 күн бұрын
Ipo siku bachu utatamani kuondosha upotovu wako nafasi itakua haipo tena
@NassorroButcher-cu3pg18 күн бұрын
Bachu kasomeshwe tena elim yako haina ahdabu nandio maana umekuwa huelewi mansuh yaki maalumat
@hasinahassan988818 күн бұрын
Alhamdnu lillah... Tumepata elimu kubwa Sana kwa Sheikh Muhammed Bachu, Ustadh Saidi.. Amekwrma😂😂😂
@hasinahassan988818 күн бұрын
Ustadh SAIDI, mbona una utoto??? Hata katika bench pia haupo
@hassanowgennogenno574019 күн бұрын
Sheikh Abu Ahmad ni mzito wa kufahamu😅😅😅
@hassanowgennogenno574019 күн бұрын
Mimi ni first eleven kisha wakojoa ???
@ابومعاذاحمدناصر22 күн бұрын
Allah akuhifadhi shekh muhammad
@hassanowgennogenno574023 күн бұрын
Bachu hii kibri haikufikishi mahali
@SALUMKHALFAN-z4f24 күн бұрын
UKITAKA KUWAJUA WANAOMTUKANA MTUME SAW INGIA UTUBE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
@kiligrit24 күн бұрын
Tangu lini moderator akaingilia debate, usilazimishe mtu kujibu swali unavyo taka wewe. Moderator wewe tulia angalia tu nidhamu na time sio ushabiki. Ni taftieni hawa ni wafanyie capacity building ya kufanya mdahalo bure.
@AliNassor-qt6fm26 күн бұрын
Sasa alieleta barzaji ndo anatakiwa athibitishe kwa manano yake ya barzanji kuwa ni ya kweli na sio anaepinga
Assallaam allaykum warahmatullah wabarakatu, ndugu zangu Watukufu Waislamu, nashauri katika munakasha katika mambo ya utekelezaji wa dini yetu hivi kama jambo ambalo mtume hakulifanya na hakulifundisha hivi mtu mwingine aje alifanye na lichukuliwa kuwa ni la dini je mamlaka hayo aliyapata wapi? Na je pengine yeye mtu huyo ana maana mtume kuna mambo aliyoyasahau? Na kama mtume alifundisha mambo ya suna na faradhi na yeye ndiye aliyekuwa akipokea wahayi je baada ya mtume Muhamadi kuondoka duniani je alitokea Mtume mwingine baada yake? Jamani tunakwenda wapi?
@abuhassan9552Ай бұрын
Mumetufikisha mbali subhana llah Mukhdhati mche mungu wako imekuwa Kaburi lamtumu s.a.w. liliyoko madina nibora kuliko Arshi ya Allah sunhana Allah atuongoze
@9119-r4tАй бұрын
Mwanzo juwa kuswali manake tumeswali nawewe sana hujuwi kabisa kuswali
@bobsule5183Ай бұрын
😂😂😂🎉🎉
@rashidhemed1444Ай бұрын
Bachu ilikua nakukubali ila itikadi yenu kuwa Allah ana mkomo ana nyayo anavaa nguo nimehama rasmi usalafi
TANGU LINI MAKHULAFI NA ELIMU KAPIGENI MADUFU HUKO NA KUWACHEZEA WANAWAKE
@moralist6100Ай бұрын
SHEIKH BACHU HAPO UNAJIUMIZA KICHWA BURE HAMNA KITU HAPO HOJA HAJAJIBU ANATOA SWALI UMEONA WAPI
@TamashaMagwisaАй бұрын
Allah awasaidie nawao waijue haq
@iddisalimu5028Ай бұрын
Jibu swali
@عمرأحمد-ص9ل4شАй бұрын
Msikizeni tu huyo Sheikh wa kikhurafi alipofungua mjadala tayari ashabadilisha mada, kumaanisha waliketi na kupanga wote kwa pamoja kwa sababu wamejua hawaezi kuthibitisha ukweli ndani ya hicho kitabu, na anasema kuwa kama kitabu kina uongo kwanini tukatae kuwa mwenyewe ni muongo,,,,,jibu liko kwenye hadithi ya abu hurairah baada ya kufundishwa haki na ibilisi japokuwa ibilisi ni muongo ila kaongea kweli kwa wakati huo, so barzanji anaweza kuwa mkweli lakini katumia uongo kwenye kitabu.
@AliSuleiman-v2xАй бұрын
Bachu ukpsahihi hakuna ushahidi wa maulidi nikweli
@نوفل-س5رАй бұрын
Xx tusipo msifu mtume,tukusifu ww bachu?
@JumaupndaАй бұрын
nyie mjifunze kutofautisha baadhi ya maneno ya kiarabu. yeye amesema kwa neno أفضل na qur-ani imesema خير hebu fatilieni maana za maneno haya.
@AlrisaalaturrahmahislamiccenteАй бұрын
shekhe hebu twende pamoja kuhusu lugha.KHEIR maanake ni Bora AFDHWAL maanake afadhali au kitu kizuri kuliko kingine sasa ALLAH ndio amesa usiku ni bora wewe unasema maulidi ni afadhali kuliko huo ubora Allah aliosema kuhusu siku huoni hapa umekosea??
@JumaupndaАй бұрын
@@Alrisaalaturrahmahislamiccente katazame katika فتح الباری . كتاب الإيمان . باب أي الإسلام أفضل . huenda ukaona huo utofauti wa hayo maneno
@AmiriAbdalla-t4vАй бұрын
Shkran Allah Awahifadhi Na Aibariki Answar Sunna
@AnswarsunnasiyuАй бұрын
Amiin
@ameirameir4349Ай бұрын
Haya si mawaidha ni vichekesho😊😊😊😊😊
@irshadabuhafsi6585Ай бұрын
Huyo ashazoe kusema uongo kuna mtu alikufa akasema huyo mtu alijiosha mwenyewe akajivalisha sanda na akajiingiza kaburini ufukoni mwenyewe..
@maimunaswaleh2249Ай бұрын
Loh hio hatari jamani
@mafiatv5479Ай бұрын
Na wereeumejianfika asnswar sunna, wewe answar sunna au answar sugu?
@abdallatwaha4884Ай бұрын
Kosa la mtu mmoja si kosa la wote. Toeni hukumu zenu lakini musipite mipaka. Huyu bwana ajulikanwa na udhaifu wake pia twaujua. Ki usawa.. mtafuteni mumrekebishe kwa heshima; wala si kwa mizozo.
@MuhsinAbdalla-q6fАй бұрын
Wewe mfikishie
@irshadabuhafsi6585Ай бұрын
Hao waliompa wadhifa huo kumaanisha wako pamoja na wao
@abdallatwaha4884Ай бұрын
@@irshadabuhafsi6585 fuatilizeni kwa makini tafadhalini. Watu wengine hujisahau kila wanaposhika Microphone. Naregelea tena; kosa la mtu mmoja si la wengine. Hakuna alompa wadhifa wa kuzungumza maneno ya kukosa ila, binadamu wajisahau saa nyengine.
@hassanWanjikuАй бұрын
Hizo akili zenu mbovu masufi acheni ukafiri utalinganisha mazushi na mwalimu wetu rasulullah salallahu alayhi wasalaam acheni ushenzi na dini ya Allah
@AbduSalam-o9uАй бұрын
Usitukane watu
@hassanWanjikuАй бұрын
@@AbduSalam-o9u weee waona watu wakitukanwa lakini huoni adabu waliokosa hata kua na ghera na aibu ya dini ya Allah mbna hv adabu n mwenyezi mungu Iko wapi ogopeni Allah subhannahu wa taala
@hassanWanjikuАй бұрын
@@AbduSalam-o9u naona uweka wall paper mzushi mkubwa aliesema ukizuru kaburi la sharifu nkama umezuru mtume astaghfirullah adabu Iko mbali na aibu ndo maana wasema waache kutukanwa Hawa n mashia ngora Moja ukafiri huo baba badilikeni mkijua Allah subhannahu wa taala anasamehe fanyeni tawba
@mohamedwaldeaАй бұрын
bahero hata huwezi kumfika kielimu hata kdgo alf wasema eti maneno yako n batili