Naona umeamua kukaa kimya kabisa mkuu Kuna kitu nakikosa kutoka kwako kwa ukimya wako Hotuba zako za vichekesho haswa ile ya wasira ya wakati ule😂😂😂 Bado nchi inakuhitaji
@kajolkisukal60385 жыл бұрын
Swahiba chuma umenikumbusha mbali sana yani akuibiwa kabisaa baba wa taifa maji ufuata mkondo hongera baba
@tgeofrey5 жыл бұрын
2020
@saidbabu22795 жыл бұрын
Makongoro kama kunawatu wenyewe hekima hayo maneno ulioyasema wayatafakri BASI WATAJIPANGA KUIJENGA NCHI NAKUMPENDA RAIS WETU MAGUFULI KWA DHATI.
@bulugunhalu85306 жыл бұрын
supa genius
@simonmadiba20536 жыл бұрын
Makongoro Nyerere son of late Mwalimu Julius kambarage Nyerere, is one of the greatest Tanzania and ccm politician.
@Kosmo4tanga5 жыл бұрын
I remember him when he was MP of opposition( met him several times at makumbusho). What happened ? He changed his mind or just looking for short cut ?
@ignasmwamwenda31547 жыл бұрын
Ulicho rithi kwa mzee Nyerere ni ucheshi na kucheki.
@naftalimsangi33368 жыл бұрын
hapo kwingine tena
@lobulusiwandet73193 жыл бұрын
Makongo nyerere karibu sana mukowa manyara baba uje usadie wana manyara
@shanjami18319 жыл бұрын
watanzania mifano iko hai katika East Africa,,,,mumesota miaka na mikaka leo imefikia karne ya kuimbia East Africa wimbo ,,,tunauaga umasikini,,,,munaambiwa mufanye kama walivyofanya kenya,,,,,,swali,,matokeo yake nini?iangalieni kenya,,,ni uwazi wa kihistoria,,,,hakipigwi chini chama mama kukawa na maendeleo,,,,,huu ni wakati mwepesi kwenu ikiwa mutaangalia nchi jirani zimefikia wapi baada,,,,niwieni radhi kiswahili changu..
@لطيفةتنزانيابلدها9 жыл бұрын
usijali kwani we sio mtanzania
@shanjami18319 жыл бұрын
+لطيفة تنزانيا بلدها mimini kizazi cha East African Community ya kwanza,,,wakati tulichanganyika kama samaki baharini,,,,baba mkenya mama mtanzania,,,,,ikabidi ulipovunjika turudi Kenya,,,,,lakini spitali nilipozaliwa ni K.C.M.C,,,moshi...
@لطيفةتنزانيابلدها9 жыл бұрын
Okay nimekuelewa shan nataka tuongee kiswahili ili uimprove zaidi au vipi
@shanjami18319 жыл бұрын
+لطيفة تنزانيا بلدها asante sana ,,,nitatia bidii sana,,,na nashukuru nilijaaliwa kufanya kazi na watanzania,,,tofauti nimeiona baada ya miaka miwili,,,,nilikuwa nazungumza kiswahili cha mzee marehemu Ojwang lakini nimepanda daraja kiasi sasa naongea cha mkwere original...
@لطيفةتنزانيابلدها9 жыл бұрын
Hahahaaa kweli afu ndo umekutana na mkwele sasa twende kazi shan