ni ishara tosha nyota ya mapenzi inaniangazia mi hata kwenye giza ye ndo nuru wangu mahiri baby ooh ushanikoroga hadi akilini kukuwaza nakuwaza sana hata nikilala unanijia ndotoni ooh more ongeza zidisha pendo,mimi na wewe mpaka kiama hata kifo hakitutenganishi ooh more ongeza zidisha pendo,mimi na wewe mpaka kiama tuachane apende mwenyezi Ah rara oh,rara oh,rara oh Ah rara oh,rara oh,rara oh Ah rara oh,rara oh,rara oh
@BounceBoiii19 сағат бұрын
💯🔥
@latiffischer3055Күн бұрын
Bumbuu
@BounceBoiiiКүн бұрын
Bumbuu🥂😎
@MussaChaual-yj5zc3 күн бұрын
🎉
@MamadouDiouldé-y8q3 күн бұрын
Cool ❤❤
@MamadouDiouldé-y8q3 күн бұрын
Cool 👍 ❤❤
@AllyMassoud-wq8ep5 күн бұрын
naitaka beat naipataje
@kiinikizomappo5 күн бұрын
Mwamba umewza sana
@BounceBoiii5 күн бұрын
Salut 🥂
@officialtannaizer35605 күн бұрын
Dah
@BounceBoiii5 күн бұрын
🥂❤️
@ZenVeeZeneration6 күн бұрын
Hatari🔥
@BounceBoiii5 күн бұрын
🔥🔥🥂
@AllyJohari6 күн бұрын
🎉🎉🎉motooo
@BounceBoiii5 күн бұрын
🔥🔥💯
@FrankMlonganile-h7e8 күн бұрын
Oya nitumie namba yako unajuwa.sana
@BounceBoiii8 күн бұрын
0683211182
@FrankMlonganile-h7e8 күн бұрын
Oya unapatikana wapi wewe
@Billyflavour9 күн бұрын
wanachomwa moto madui ooh kila nikifanikiwa wanauguza roho wanachomwa moto madui ooh kila nikifanikiwa wanauguza roho eh walipanga kuniroga imewarudia wao wakapanga nifeli ona tamu success eh walipanga kuniroga imewarudia wao wakapanga nifeli ona tamu success moto moto unawaka waka unawachoma moto ile ona moto unawaka waka unawachoma moto ile
@BounceBoiii9 күн бұрын
💯🔥
@MATIKO96409 күн бұрын
Usihukumu usije ukahukumiwa lakini kukemea uhuni sio kosa hakika kwenye nyimbo hii ni uhuni na makwazo matupu. Neno la bwana linasema, makwazo hayana budi kuja ila ole wake yule anayeyasababisha.
@alhajibellabah896911 күн бұрын
can i use this beat please?
@BounceBoiii11 күн бұрын
For sale
@Alphatheáfric11 күн бұрын
Bit ni atali sana
@Kizzami-25411 күн бұрын
Mi kwanza
@Billyflavour13 күн бұрын
eeh ruka kama masaai twende down low afu shaku shaku moto baikoko kwa wale watoto wananipeaga raha show me de waist baby slow slow slow turn ah for me your killing me honey oh na ka body kako oucho mgongoni Asa twende kachiri mama saga kiuno sasa hata waganga hawakuwezi kwa ndumba dawa kachiri mama saga kiuno sasa hata waganga hawakuwezi kwa ndumba dawa TUONYESHE TUONYESHE TUONYESHE UNAVYO DANCE TUONYESHE TUONYESHE TUONYESHE UNAVYO DANCE
@PasmondLayanny15 күн бұрын
Daah boss tunapana vip kwenye ili biti niuwe umundani
@ZenVeeZeneration18 күн бұрын
Favorite producer happy new year 🎶☺️ God reachly bless you ❤️🙏
@BounceBoiii18 күн бұрын
Cheers bud❤️💯
@Kebaclassic1019 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@BounceBoiii18 күн бұрын
🔥🔥💯
@remmskiss196919 күн бұрын
🎉
@latiffischer305520 күн бұрын
Hatari kk🎉 what a way kuanza miaka 2025
@BounceBoiii20 күн бұрын
Fischer Man⭐💯
@Billyflavour21 күн бұрын
kweli umenilewesha mahaba yako ni kama beer yani tamu na si chungu umezidisha sukari ukashusha chumvi ona njiwa wanavyo pepea angani baby mimi na we tunaendana tunapepea tunawakera wanga ooh mapenzi yameshatibu ile ugonjwa niliokua nayo ameshatibu ooh mapenzi yameshatibu ile donda niliokua nayo ameshatibu nampenda,nampenda,nampenda huyu wangu nampenda
@BounceBoiii20 күн бұрын
💯❤️
@DaoudademaDeme23 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@JacksonMalota26 күн бұрын
Daaaah kaka wew ni mzim sio mtu wakawaid msumali wa kwendaaaaaaaa👊👊👊👊
@Crocoboy4527 күн бұрын
Nipe hili beat brother Mutch love from DRC 🇨🇩
@BounceBoiii27 күн бұрын
wa.me/message/QOCXGJPCK5AXK1
@Billyflavour28 күн бұрын
nikawa kipofu sasa nimeona kweli yalinipaga homa mapenzi nilikua nimeyakoma moyo ulisonona maradhi yakaelea ila nikampata dakitari kanitibu sasa nimepona oh baby oh usinivunje moyo sitaki kurudi kwa mizimu moto oh baby oh usivunje moyo sitaki kurudi kwa mizimu moto maana NDAKUYANZA EH NDAKUYANZA AH NDAKUYANZA NDAKUYANZA
@gatantz976129 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@JohnBububuguАй бұрын
🎉🎉🎉
@BillyflavourАй бұрын
uwenda sikua wako wa dhati ama uliona sifai uliniacha jangwani pakavu kidudu mapenzi ndio tabu yule niliye thani ndo ubavu kanikimbia Ah moyo mahututi tu inasononeka dakitari wangu hayupo tena moyo mahututi tu inasononeka bora niyawache mapenzi kisa UCHUNGU TU UCHUNGU TU UCHUNGU TU UCHUNGU TU
@BounceBoiiiАй бұрын
❤️
@dichadazang1Ай бұрын
Fundi❤
@BounceBoiiiАй бұрын
Fia❤️
@LeidonePlabodamz-v8tАй бұрын
🎉🎉🎉
@ArKellyodenumz-dg5yhАй бұрын
Good job
@DialloVoulaniLofficielАй бұрын
❤
@Phoncemusic255Ай бұрын
Bro piga na la holiday
@ZenVeeZenerationАй бұрын
❤❤so cool😊
@BillyflavourАй бұрын
kama jela minyororo ushanifunga funga ona tena nishzama kwa yako huba kweli wewe mwangaza unimulikiapo barabarani nisije kapotea nikajipata jangwani pakavu jaire aah hata umenzidi kwa upendo wako ona baby vile navyo hisi kwa jili yako hata umenizidi kwa upendo wako ona baby vile navyo hisi kwa jili yako NINA WIVU TU,NINA WIVU NINA WIVU TU,NINA WIVU NINA WIVU TU,NINA WIVU NINA WIVU TU,NINA WIVU
@BounceBoiiiАй бұрын
Salut💯
@ZenVeeZenerationАй бұрын
This is so beautiful let me compose a song ❤
@BounceBoiiiАй бұрын
Thanks🔥
@ZenVeeZenerationАй бұрын
This is so beautiful let me compose a song ❤
@shannarsaidSwahiliАй бұрын
🔥🔥you touched my heart with this
@BounceBoiiiАй бұрын
Gbesse💯🔥
@BillyflavourАй бұрын
Ona mtoto kachiri huyu mtoto Ona mtoto anavyo saga hiyo ntoto Ona mtoto kachiri huyu mtoto Ona mtoto anavyo saga hiyo ntoto kweli hela tunazivuna kwa jasho ooh tena hela tunazitafuta kwa tabu ooh ila usitamani cha mtu cha bure maana hakidumu cha bure saka zako madollar utusue tena wale wa husda uwajue acha tule bata tumewapandisha nyongo hawa Ona tuko batani tumewakera wana acha tule bata tumewapandisha nyongo hawa basi wenye wivu wajinyonge sisi tuna gongesha glasi mitungi afu ah LEWA LEWA LEWA LEWA LEWA LEWA