Asante Sana,mimi piya nataka kuwa mwandishi,Nina vitabu nileviandika Ila sijuwe ginsi yakkufanya ili nianze uza vile vitabu
@LazaroSamwelАй бұрын
Tuwasiliane INBOX wa.me/255678010334
@OmariSamganga2 ай бұрын
Nilikua naitaji unielekeze jinsi ya kuuza views na kutengeneza link
@OxijayAgain3 ай бұрын
Nice
@mosesfrancis84953 ай бұрын
Kweli
@Kahangaza3 ай бұрын
Nataka koment
@mosesfrancis84953 ай бұрын
💯☑️
@meshackngadango68553 ай бұрын
Good work keep doing!
@LazaroSamwel3 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@pmgpmg77174 ай бұрын
I need your help one on one tutorial
@LazaroSamwel3 ай бұрын
wa.me/255678010334
@MWAMBAZanzibar4 ай бұрын
Jee nikiungia lev wale wanao tizama lev wanazingatiwa.?
@LazaroSamwel4 ай бұрын
Wanaangalia zaidi video ambazo umepost
@HenrietteUwimana-es6bm5 ай бұрын
kabisa kaka hujakosea
@LazaroSamwel3 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@mujibubwikizo52006 ай бұрын
Mkuu naweza pata no yako make kwangu kufungua naona inakuwa ngumu kidogo
@LazaroSamwel6 ай бұрын
wa.me/255678010334
@frademyindustry37516 ай бұрын
Mwalimu ni jinsi gani naweza kujilinda na mtu mwenye wivu Kwa sababu ni aduitayari naitaji kujinda nifanyeje
@LazaroSamwel6 ай бұрын
Usimshirikishe mambo yako,lakini badilisha tabia au vity ambavyo vinafanya mnakuwa karibu na kujua mambo yako ambayo yanapelekea anakuwa na wivu
@Hayman_Graphics7 ай бұрын
Endelea ku push madini kakaa... God bless u
@LazaroSamwel6 ай бұрын
Tupo pamoja kiongozi
@MadamOrida7 ай бұрын
Naomba unisaidie kupata subscribe
@LazaroSamwel7 ай бұрын
Tuwasiliane wa.me/255678010334
@BROTHERBEN-ic4uk7 ай бұрын
Kweli kabisa ndugu yako
@LazaroSamwel7 ай бұрын
Tupo pamoja kiongozi…!
@Townboyofficial7 ай бұрын
Vp kaka nipe namba yako ya Whatsapp sorry
@LazaroSamwel7 ай бұрын
wa.me/255678010334
@meshackngadango68557 ай бұрын
Good work
@LazaroSamwel7 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@MuwezaNathan7 ай бұрын
Nahitaji kujuwa kipaji changu
@LazaroSamwel7 ай бұрын
Umefanyia kazi njia hizi 3 Ambazo nimefundisha?
@MuwezaNathan7 ай бұрын
Asante sana,ndoto zangu zinaonye Niko n'a kipaji lakini nimeshindwa kujichunguza nikiwa moto nilikuwanapenda sana kuchunga ngombe,kuchonga,vitu kwa mti,kuimba mara mojamoja.
@JoyceHaule-o8c7 ай бұрын
Safi sana
@LazaroSamwel7 ай бұрын
Tupo pamojab
@francoiskriel94128 ай бұрын
Asant sana ujumbe umekuja mda sahihi
@LazaroSamwel7 ай бұрын
Uzidi kubarikiwa ssna
@francoiskriel94128 ай бұрын
Sasa kama mpo wote kazini na unataka kuvunja urafiki nae ufanya naomba unisaidie please
@LazaroSamwel7 ай бұрын
Urafiki unajengwa na muda,na unaweza vunjwa kwa muda pia…Punguza kutumia muda mwingine kwenye maeneo ambayo unaona yanakomaza urafiki wenu
@JudeSangalootukanya8 ай бұрын
Asante sana ndugu kwa mafundisho mazuri
@LazaroSamwel7 ай бұрын
Tupo pamoj kiongozi…!
@aysha4828 ай бұрын
Kaka nina shida account yangu mtu akisearch inasema private account nifanyaje ili iisiwe hivyo
@LazaroSamwel8 ай бұрын
wa.me/255678010334 tuwasiliane
@MwajumaMalocho9 ай бұрын
Kinaitwaj kitab cheny document pls
@meshackngadango68559 ай бұрын
Nzuri.Hata kama slow learner lazima aelewe
@LazaroSamwel9 ай бұрын
Tuendelee kujifunza
@RayhanMbongolo9 ай бұрын
Kumbe watu wenye wivu ni wagonjwa wa akili
@LazaroSamwel9 ай бұрын
😂
@ShonyangaAbdoulrashid9 ай бұрын
Nimekupata kaka
@LazaroSamwel9 ай бұрын
Karibu sana
@AdamRajab-s3k10 ай бұрын
kwel bro
@LazaroSamwel10 ай бұрын
Tupo pamoja kiongozi
@izackngairo752510 ай бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri
@LazaroSamwel10 ай бұрын
Karibu sana ndugu…!
@annaamos112810 ай бұрын
Thank you
@LazaroSamwel10 ай бұрын
Karibu sana sana
@Zetiboy10 ай бұрын
Make mwaka ukipita utolip
@LazaroSamwel10 ай бұрын
Unaweza anza hatua tena
@ElishaKolongo10 ай бұрын
Asante
@LazaroSamwel10 ай бұрын
Karibu sana kiongozi…!
@othumanjenga997410 ай бұрын
Nahitaji Softcopy Ya Kiswahili Ya Kitabu Hiki
@LazaroSamwel10 ай бұрын
Hapana sina kiongozi…!
@NassirShayo10 ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka kwa haya madini Mungu akuzidishie zaidi na zaidi 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@LazaroSamwel10 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana kwa kuendelea kujifunza
@masterkey53610 ай бұрын
Uhakika 💯
@edithavalelian25611 ай бұрын
Asante sana
@LazaroSamwel10 ай бұрын
Karibu sana…!
@achouraachoura576311 ай бұрын
Ahsante nimejifunza kitu kaka kutoka kwako. Mngu akubariki❤☑️🙏📌
@LazaroSamwel11 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana pia…Usiache kujifunza
@RechoJoseph-p9o11 ай бұрын
Ahsante sana
@LazaroSamwel10 ай бұрын
Karibu sana
@NizaLuka-gi8hf Жыл бұрын
Asante
@LazaroSamwel11 ай бұрын
Karibu sana
@joseboy-vp7tc Жыл бұрын
❤❤❤
@LazaroSamwel Жыл бұрын
🙏🏾
@yusufgagamuhammad2674 Жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi na akupe afya njema
@LazaroSamwel Жыл бұрын
Shukrani kiongozi
@petropaul1525 Жыл бұрын
Goood
@LazaroSamwel11 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@movies_store01 Жыл бұрын
umepita mule mule mwalimu niliko kuwa nikifikiria na mimj
@LazaroSamwel Жыл бұрын
Tupo pamoja kiongozi
@JanvierVenas-ro9us Жыл бұрын
somo nzuri kk
@LazaroSamwel Жыл бұрын
Karibu sana kiongozi
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi aliniacha kisa kaambiwa nina mwingine kadanganywa na nilimwambia sio kwel lakin akawa bado ana hasira analiongolea na akaja kunikatia mawasiliano
@LazaroSamwel Жыл бұрын
Poleee sana…Ndio changamoto zenyewe za mahusiano muda mwingine