Kweli kabisa: wenye mafanikio ya kweli hawana vinyongo kuona wengine pia nao wanafanikiwa.
@suleim5058 сағат бұрын
Asante sana mwalimu
@nzohabonayomwajuma41309 сағат бұрын
Aww ndugu umetisha iyo imeenda Big UP sana
@khadejakhadeja971310 сағат бұрын
Maan shaallaah❤❤🎉🎉
@RizikiBikyeombe-v7u10 сағат бұрын
Kweli kabisa
@EmyShauri11 сағат бұрын
Dokta mtu akfikisha miaka 43 naweza kupata dawa kweli au ndyo imeisha hapo
@LoopFrank-o8u12 сағат бұрын
Iko mwanza bro
@AngelinaChisongela13 сағат бұрын
Kweli
@FabriceBarungu16 сағат бұрын
Je suis de la république démocratique du congo j'aime tellement votre chêne
@BahatiEmanuel-j2p17 сағат бұрын
Huna baya mkuu nakukubari san maneno yk
@HagaiPaul-b8i17 сағат бұрын
Upo fresh kaka
@khadejakhadeja971318 сағат бұрын
Hakika kaka maneno mazuri sana❤❤❤🎉🎉🎉
@LorcanLeonardКүн бұрын
Hiyo link Iko wap
@MunawwarySuleiman-qm2cbКүн бұрын
Bro, ndio tutajeng tabia ya kusom lakin je tutawezaje kuhifadhi yote tuliyo jifunza kutoka kwenye vitabu vyote tulivyosoma
@UpendoSelemaniNdemeraКүн бұрын
Kuacha na marafiki...kupenda ibada,kuwa karibu na familia kujipenda mwenyewe na bidii ya kutafuta pesa hivoo tu!
@anwarabdallah7095Күн бұрын
Bro Masha Allah uko na mafunzo mazuri sana 'nko 254 uswazini.
@RameckGeladКүн бұрын
Ukosawa kabs
@JosaNaecmmeКүн бұрын
Mungu akusaidie bro ..Yani kama uko huku bwana
@ImmanuelMchamiКүн бұрын
Ok ntakua nasomaa vitabu
@HamzaBwanaheri-c8fКүн бұрын
Vp ntatuza pesa zangu
@AngelinaChisongelaКүн бұрын
Wow!!! Ahsante sana tunakushukuru sana
@CustomerCaremwnКүн бұрын
Asante sana
@CustomerCaremwnКүн бұрын
Thanks for your help
@khadejakhadeja9713Күн бұрын
Asantee. Kwa elimu nzuri❤❤
@khadejakhadeja9713Күн бұрын
Asantee kwa elimu nzuri❤❤
@deusgabhoКүн бұрын
Sure
@HamzaBwanaheri-c8fКүн бұрын
Kwelivbro
@AngelinaChisongelaКүн бұрын
🙏
@AngelinaChisongelaКүн бұрын
Shukurani sana kaka
@AngelinaChisongelaКүн бұрын
Thank you my brother
@Salsabiil12Күн бұрын
Shukran my dear na nakupenda kwa ajili ya allah ahsante kwa ushaur
@PetroMartineКүн бұрын
Bro,,napenda angalau nngepata ushauri kutoka kwako maana naona unakitu Yan,,mm nashindwa kua namarafiki Yan sio mraisi kumzoea mtu,,ntafanyeje bro niache hlo tatzo
@bamMedia-Uj3Күн бұрын
Broh Ezden Hebu siku tuelezee why unakuta ndugu wanauwezo hawakusaidii kabisaa then mtu Mwengine nje ya ndugu yako hanauwezo wa kiviile but anakusaidia.....please hii ni kwann kaka angu mkubwa😐😐
@marthalangiaКүн бұрын
❤asant kak
@ShukranJulius-n6yКүн бұрын
Nitaanza leo kuandika matumizi yangu,maana mwaka jana nilijikuta kwa upande wa matumizi nimetumia milioni moja na nusu ,pesa za kutoa kidogo kidogo zinaumiza,shukran sana kaka mwenyezi Mungu akuzidishie kaka@Ezdeni jumanne
@YohanaWilbert2 күн бұрын
nashukuru mwalimu wa mikakati ya maisha nimefrahi sana usikubali kufeli
@AminaMdoe-y5p2 күн бұрын
Umegusa sehemu nyingi hongera kwa elimu uitoayo
@KARIGWAanne2 күн бұрын
Ningependa kujua zaidi no 16
@ephraimasobenie99402 күн бұрын
Good lesson.
@shamilasaid41872 күн бұрын
Ahsante
@Salsabiil122 күн бұрын
Maashaallaah nakupenda kwa ajkli ya allah allah atuhifadh
@happytourandsafaris2 күн бұрын
Uwakika
@Salsabiil12Күн бұрын
@happytourandsafaris enhee c utani etii
@aminamndolwa41502 күн бұрын
Nimejifunza kitu
@jumamikidadi5032 күн бұрын
Muandae mfano wa format ya andiko sio kuongea ty
@HemedKhamis-h2c2 күн бұрын
Nashukuru sana kaka mimi nipo zanzibar umeniongoza katika maisha yangu sana
@obnobs0762 күн бұрын
Absolutely, we learn more from listening than speaking
@jacquelinepalangyo63603 күн бұрын
Daaah!!!asante sn dr Imma makofi kwako tafadhali,nimejifunza mengi kwa hii makala👏👏👏👏🙏🙏
@carvalytv78323 күн бұрын
Plan Discipline then Succes
@deborahdavie3 күн бұрын
"Sometimes in life, someone else can take you to the journey within yourself that you could never go by yourself." Thank you ❤