kikosi kazi waitikisa nyakanazi
1:26
pasaka ya kweli siyo hii
7:08
Жыл бұрын
Tabia za mtu wa imani
6:48
Жыл бұрын
mbinguni
5:07
Жыл бұрын
utumishi ni kazi wala siyo maneno
7:14
wanadamu tunasahau sana
9:53
Жыл бұрын
Hatari akashifu viongozi wa dini
7:43
Пікірлер
@AlphaMtitu-ff8ed
@AlphaMtitu-ff8ed 4 ай бұрын
Baba😢 ni kweli u ajua kuimba lakini uungwaji mkono mdogo Ila baba mi mwanao nakutia moyo mwanzo sikuzote hiwa mgumu
@fredynjige5663
@fredynjige5663 Жыл бұрын
Mch. Punguza ukali wa maneno,
@SaraSamson-yn7vi
@SaraSamson-yn7vi Жыл бұрын
Mungu akitie nguvu sana mama wokovu nababa tulioko nyuma yenu mnatupa ujasiri mwingi sana wakuvuka magumu
@shinemakenzi8101
@shinemakenzi8101 Жыл бұрын
Hili swala la mkuu wa usalama wa taifa kutuhumiwa kuua bado kwangu sijajuwa kwa kweli tufafanulieni aliuaje?mbona mnasema tu aliua aliua kivip daa hii nchi sijuwi imekubwa na zimwi gan watu kutuhumiana mambo magumu mitandaoni Mungu atusamehe tu kwa kweli
@laurianogerold5129
@laurianogerold5129 Жыл бұрын
Amen
@sarahthomas2129
@sarahthomas2129 Жыл бұрын
Ongera xanaaa mtumixhi wa mungu nikwel unachosema mungu akushike mkono sanaaa
@wokovunikupona3558
@wokovunikupona3558 Жыл бұрын
Nimekuelewa saana kamanda
@juliusgitonga363
@juliusgitonga363 Жыл бұрын
Kweli tuko na viburi sana kwanza sisi walokole wa kizazi hiki
@violetnasiche3535
@violetnasiche3535 2 жыл бұрын
Mtumishi Imani tu.kuna mwanakipekee yatima ni uchungu lakini mungu atabaki kuwa mungu.alimkumbuka ayubu na akurejeshe maradufu ki uduma,nko mpweke bt wwe ndio baba yangu .ngangania wokovu dady
@michaelwambua1052
@michaelwambua1052 2 жыл бұрын
Aminaaa ,,, in wakweli wewe Ni komando wa Yesu
@modestapeter2997
@modestapeter2997 2 жыл бұрын
ameokoka toka kitambo huyu😊
@Magistra10
@Magistra10 2 жыл бұрын
kweli kweli
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 жыл бұрын
Ameukaza moyo wako sana ametujaza moyo wako sana sana tena sana azidi kaza moyo wako kabisa
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 2 жыл бұрын
Najifunza mengi kupitia familia ya mzee Mwampeta na alivyo walea watoto wake.
@aminamavura6834
@aminamavura6834 2 жыл бұрын
Mhuu kweli kwa Yesu Kuna tumaini Mungu was hike mkono
@sheilanasonmagubi6188
@sheilanasonmagubi6188 2 жыл бұрын
Hongereni wazazi wa mama yetu Salome kuja kumtia moyo ktk huduma ya Mungu mbarikiwe sana
@lukasemmanuel4614
@lukasemmanuel4614 2 жыл бұрын
Kakosa nini wimbo unamrudishia Mungu utukufu
@barakayekonia7468
@barakayekonia7468 2 жыл бұрын
Good song congratulations
@rehemamangara6795
@rehemamangara6795 2 жыл бұрын
Unanibariki sana,Mungu aendelee kukutia nguvu,unaomba kwa hisia kali
@elbashilhussein3904
@elbashilhussein3904 2 жыл бұрын
kumbe ccm hamtaki kukosolewa mkikosolewa mnataka kumfungia ata mungu wengine mnawapiga Marisa' mko na mambo ambayo hata shetani atawakataaa sasa sijui mtakwenda wapi bado hamjifunzi tu kwa mwendazake
@elbashilhussein3904
@elbashilhussein3904 2 жыл бұрын
toka ameanza huduma hiii nimiaka mingapi nao mba ccm ndowajibu leo mnasema hanasifa za kuabudu zimeeenda wapi lapili jibu sasa
@jonathanmafuru8593
@jonathanmafuru8593 2 жыл бұрын
Paulo alisoma katika chuo Cha gamalieli je? wewe ni zaidi ya Paulo ushauri wangu mtumishi nenda kasome acha kushindana na serikali
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Uongo alisoma kipindi gani ameokoka au mpagani mwanadini
@brianshomi722
@brianshomi722 2 жыл бұрын
AMEEEEEN
@sarahthomas2129
@sarahthomas2129 2 жыл бұрын
Mungu akubalik
@josephmadukashambalawokovu642
@josephmadukashambalawokovu642 2 жыл бұрын
Kweli kabsa mtumishi
@apostleprophetkennethngoli657
@apostleprophetkennethngoli657 2 жыл бұрын
Nenda darasani Mtumishi itakusaidia Sana. Kuishia la Saba sio sababu ya wewe usisome chuo Cha Bible . Kuna masomo ya Uongozi yatakusaidia katika wito wako. Huduma umezaliwa nayo Lakini uongozi Lazima ufundishwe
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Petro, Paul, yesu, alisoma chuo gani mtmsh, mbona hata mliosoma mnahubiri Sadaka tu na mafanikio ya kimwili ,na mnastawi wa hubris tu ili Hali watu went wanatia huruma
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Nyinyi mnao soma wengine mnakengeuka mnakuwa wapenda fedha injili ni moto
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Unaelewa humu kuna watu waelewa kuliko unavyo fikili
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Жыл бұрын
@@wilfredlukowo9476 ni sawa lakini suala la kukengeuka ni la mtu binafsi na kama ukiamua kumuishia Mungu utasoma na bado utamuishia Mungu tu na hutakengeuka kwani hakuna wasomi wanaomtumikia Mungu kwa ukamilifu?
@atonemusicstudio9155
@atonemusicstudio9155 2 жыл бұрын
Mhh kujiinuaa dhambi
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Kajiinua nn hapo
@taturashidi9111
@taturashidi9111 Жыл бұрын
Jaman hao ni wachawi kafara zao wanatoa hadi viungo vya ndani kilicho nikuta hapo kimara temboni sasa natoa ushuhuda tu huku kilimanjaro maana huyo ni jini alivyo ni badilikia mm sitokaa ni sahau na hadi sasa nipo na sauti zake za kijini tunakuua tunakuua na huyo bongo wake anae vaa nguo za laiti bluu na huyo anae vaa za kijivu wote majini hao na freeemasoon pia
@taturashidi9111
@taturashidi9111 Жыл бұрын
Jaman nateseka mm sio kidogo kweli hapo ni ngome ya uchawi
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Huyu nabii goe dave anahusika nae vipi
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Sikiliza kwa makn
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Kwann wanamzuia
@jescainganji4522
@jescainganji4522 2 жыл бұрын
Amen
@hellenjoseph7198
@hellenjoseph7198 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awatie nguvu
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Anayepinga ni wakala wa shetani
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Kweli
@apostleprophetkennethngoli657
@apostleprophetkennethngoli657 2 жыл бұрын
Huna Ufahamu kwenye idara hiyo ni vema ukanyamaza. Kuna Mahali Mtumishi anapaswa kusaidiwa
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
@@apostleprophetkennethngoli657 siwezi kaa kimya wewe umemsaidia? Vipande vya fedha vinawaponza wengi
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
@@apostleprophetkennethngoli657 wewe mwenye ufahamu umemsaidia nini tujuze
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Wilfred hakika wewe ni jembe la yesu apostal Hana la kujitetea
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 2 жыл бұрын
Amen kweli darasa la Mungu gumu sana.
@janekilembe9394
@janekilembe9394 2 жыл бұрын
Mtumishi SI wewe kuwabadilisha Bali Yesu ndie anawabadilisha,Mungu atuwezeshe
@Veni584
@Veni584 2 жыл бұрын
Yesu anabadilisha kupitia kwa mtu
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Nyie mnaosubiri kubadilishwa na mungu ,waongo wakubwa huwa hambadiliki kumatendo Bali kimaneno tu
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Nyie mnao subiri kubadilishwa na mungu, waongo wakubwa huwa hambadilikagi, kimatendo Bali kwa maneno tu
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 2 жыл бұрын
Kweli baba
@mtumishiDanny
@mtumishiDanny 2 жыл бұрын
Amina Amina Makamanda Mbarikiweeee
@ShijaThomas-yp7ye
@ShijaThomas-yp7ye Жыл бұрын
Point yako hapo ni ipi mbona unaongea upuuzi tu
@ShijaThomas-yp7ye
@ShijaThomas-yp7ye Жыл бұрын
Muda mwingne ujifuze kuongea point ya msingi wewe mpuuzi Tu hvyo Una uzima gani
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 2 жыл бұрын
Natamani kujiunga na Familia hii
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Karibu
@claranta
@claranta 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 ewe Mungu uliye wa pekee mbinguni na duniani naomba ukawe mfariji wa familia hii ...nimeshindwa kuzuia machozi ee Mungu wangu uuuwii 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@dadamuebrania1539
@dadamuebrania1539 2 жыл бұрын
Kibinadamu ni NGUMU poleni sana familia yote ya watoto wa Mungu KIKOSI KAZI CHA INJILI. Kwangu mimi msiba huu ni mlango wangu kuelekea hapo nipo njiani Bwana akinipa neema na kibali nitafurahi kujiunga na hii familia TAKATIFU.
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia marafiki pamoja na kanisa kwa jumla Mungu awape nguvu kwakweli sirahisi
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Tumekubali Mapenzi yetu yavunjike
@proscoviacostantin6413
@proscoviacostantin6413 2 жыл бұрын
Naomba namba yako mtumishi
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Namba yangu ya nini
@joshuajastin.
@joshuajastin. 2 жыл бұрын
Sawa acheni kupiga kitu kwanza maana shetani ameweka tageti mtu wake tayari kutushambulia.
@josephmaduka468
@josephmaduka468 2 жыл бұрын
Nimekuelewa baba
@josephmadukashambalawokovu642
@josephmadukashambalawokovu642 2 жыл бұрын
Amina kweli
@josephmadukashambalawokovu642
@josephmadukashambalawokovu642 2 жыл бұрын
Kwli
@josephmadukashambalawokovu642
@josephmadukashambalawokovu642 2 жыл бұрын
Amina sana