Allah Allah mtunze Mr Masanza Hakika Islam dini ya kweli
@AdrianMike-z1sАй бұрын
3:19
@AdrianMike-z1sАй бұрын
Allah Hafiz
@UmmatMohammad-hk4nvАй бұрын
Mashaallah inanikumbush mbali san
@sakinahalako7408Ай бұрын
Alhamdulilah nilifika Makkah ila namuomba Allah aniwezeshe kufika na madina
@SirajaNdomondoАй бұрын
Mashall
@njiapandatechnologies4382Ай бұрын
Hapa kuna kaswida au taarabu inayodanganyia maneno ya kiislamu ?, Ikiwa ni njia ya kufanya daawa ingefanyika wakati wa mtume saw kulipokuwa na uhitaji mkubwa sana lakini kwa kuwachezesha hapa wasichana wakubwa hawa na lipshiner na kuyumba sio katika mafundisho ya dini tena hadharani kiasi hiki, jiulizeni mnapotosha uislamu au mnausambaza na isitoshe wanaume kucheza kwa kunengua uislamu uliruhusu tangu lini ukhabithi huo ? sio kila wanalofanya manaswara kwetu lafaa, pia hizo gitaa na zumari uhalali wake umeanza lini katika uislamu, msipoteze watu kuwapeleka wenyewe kwa shaytwani kisha mkaanza kuwalaumu. Barakallahu fykum
@veronicagudluck7686Ай бұрын
Mungu Nijalie Nikawe Mke Bora nasio Bora Mke Nikawe Mfano Kwaa Jamii
@IsmailOmary-e2gАй бұрын
2024
@FauziaMohamedi2 ай бұрын
Mashallah🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@FauziaMohamedi2 ай бұрын
Waooooh naipenda san ❤❤❤❤❤❤❤
@UkhtyNasra2 ай бұрын
Ukhty aisha kidavashori cjui ndyo hvy mpka nmesahau jina kw kwel maan mud san cjasikiliz qaswida zao
@UkhtyNasra2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@UkhtyNasra2 ай бұрын
Mashallah familia nzima wanasema qaswida, nakumbuka nilikuwa nafuatilia Kwa njia ya kununua CD zikitoka tu nipo mpka nilikuwa chizi qaswida
@UkhtyNasra2 ай бұрын
Aisee hizi qaswida Huwa zinakufanya mtu uwez na amani sana unapozisikiliza
@RashidHamadi-d3h2 ай бұрын
Mashaallah
@AsmaBakari-d5f2 ай бұрын
Manshaallah! stara nzur
@AsmaBakari-d5f2 ай бұрын
Manshaallah! mumejitahidi sana mavazi kwa wadada inapendeza
@FaidhaKihiyo2 ай бұрын
ni nzuri mashaallah
@AshuraJuma-x7n2 ай бұрын
Ashura juma
@RamsoMsang2 ай бұрын
Allahu Akbar❤
@RamsoMsang2 ай бұрын
Wasiwasi❤
@sophiamhando42172 ай бұрын
🤲🤲🤲❤️❤️❤️🌹🌹🌹💐💐💥🥰🥰🕋🕌📿
@HadijaMndia-ep8cn2 ай бұрын
Jazakallahu khayra
@MwajumaHamza-k3y2 ай бұрын
Mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah ❤️🥰🥰 mashanllah Allah akupe umri mrefu Allahumma amina 🤲🤲🤲