Hongereni kwa ibada nzuri,Wajerumani Kongole kwenu na wote mlioshiriki
@PrudenceEliapedaysКүн бұрын
Asante kwa Ibada
@johnsedekia67215 күн бұрын
Safi sana
@daniellahjohnson27927 күн бұрын
Wazazi hongereni kuwalea vijana kiroho Ibada nzuri sana nimebarikiwa kwa kweli
@rogerslaizer84447 күн бұрын
Safi sana kazi nzuri vijana karibuni shambani mwa Bwana
@izack6737 күн бұрын
Somo Zuri sana watoto mliopokelewa hongereni sana kazi nzuri
@elianasoemafole900213 күн бұрын
WAO TUNASHUKURU SANA MCHUNGAJI KWA SOMO NZURI SANA,MUNGU AKUBARIKI NA AWABARIKI NYOTE KATIKA KUJENGA FAMILIA BORA ZENYE MAADILI YA KIKRISTO
@princejames-vp8fm17 күн бұрын
Kwaya kuu wameimba vizuri sana. Pongezi kwao
@elyhillary200017 күн бұрын
Ameeen
@elianasoemafole900218 күн бұрын
NASHUKURU SANA MCHUNGAJI KWA SOMO NZURI SANA LILILONIFUTA UJINGA,HONGERENI WAHUDUMU WOTE MBARIKIWE NA MUNGU
@aminaamiri588828 күн бұрын
INSHALLAH NIMEBARIKIWA SANA JAPO NI MWISLAMU NIMEFURAHIA SANA KAZI NZURI SANA
@elianasoemafole900229 күн бұрын
KWA KWELI IBADA NI NZURI MNO,SOMO NZURI SANA KAZI NZURI
@lazarosoja6522Ай бұрын
The discovery of pipo organ in Tanzania congratulations MOshi town
@elyhillary2000Ай бұрын
Ameeen
@elyhillary2000Ай бұрын
Amen 🙏🏿
@simongerson7256Ай бұрын
IBADA NI NZURI SANA NIMEBARIKIWA SANA NA FAMILIA
@RehemaJudikaАй бұрын
Hongera sana kwa mahubiri mazuri na kuiokoa jamii yetu kutokana na janga la ulevi
@ElisiaMakundiАй бұрын
Wamependeza sana
@Stanleysilas-s8rАй бұрын
Kwenye Dunia hii hakuna Kama MUNGU, tunashukuru kwa neema
@sifunimduma8877Ай бұрын
Kazi nzuri sana
@elianasoemafole9002Ай бұрын
WAO KAZI NZURI SANA,NASHUKURU BABA ASKOFU DKT FREDRICK SHOO KWA IBADA NZURI SANA,SANA MUNGU AWABARIKI WOTE
@ndenimwashaАй бұрын
Very well
@ndenimwashaАй бұрын
Excellent
@RobertMunuoАй бұрын
Hongereni sana Kazi nzuri Mbarikiwe
@AmaniMafoleАй бұрын
Sifa na utukufu kwa Mungu pekee. Hongereni sana kwa inada njema inayomtukuza Mungu.
@elianasoemafole9002Ай бұрын
SAFI SANA HONGERENI SANA,,SOMO NZURI MNO
@aiwiniamafole9563Ай бұрын
HONGERENI KWA IBADA NZURI SANA YA KIPAIMARA,NENO LIMENIBARIKI SANA,KAZI NZURI SANA
@israelulyankulumlay80932 ай бұрын
Barikiwa Sana mchungaji kwa kutulisha neno la MUNGU
@neyshao24922 ай бұрын
Hosiana Hosiana 🙏🙏🙏🙏
@AmaniMafole2 ай бұрын
SOMO LIMENIBARIKI SANA NASHUKURU SANA MCHUNGAJI UBARIKIWE
@elianasoemafole90022 ай бұрын
IBADA NZURI SANA NASHUKURU KWA IBADA IMENIBARIKI SANA SANA,SAFI SANA
@elkanakilumbe2 ай бұрын
Thumbnail.. Graphics muwe mnatengeneza vzr jaman. Kwanani tunazidiwa na watu wa mataifa?
@neyshao24922 ай бұрын
Asante Baba Mch kwa Neno la Mungu
@AmaniMafole2 ай бұрын
IBADA NZURI SAFI SANA KWELI NINAMTU,KUZA MU NGU SANA
@elianasoemafole90022 ай бұрын
NASHUKURU KWA SOMO NZURI SANA,SOMO NZURI SANA,NYIMBO NZURI KUMBUKUMBU NZURI MUNGU AWABARIKI
@elianasoemafole90022 ай бұрын
Nimebarikiwa na mahubiri mazuri yaliyotukuka,Ibada nzuri sana.Kumbukumbu nzuri sana sana
@jonathankameya472 ай бұрын
Somo nzuri nzuri sana nimejifunza mengi mazuri sana
@BoayHotay2 ай бұрын
Mimi ni mkatoliki ila Martin Luther ameleta mageuzi ya kiroho duniani
@elianasoemafole90022 ай бұрын
HONGERA BABA ASKOFU SHOO KWA BUSARA,HEKIMA ULIYOJALIWA NA MUNGU,KUWAANDAA VIJANA KUWA TAIFA LA LEO NA KESHO,MINGU AKUBARIKI BABA
@aiwiniamafole95633 ай бұрын
Mungu awabariki kwa Ibada nzuri sana ,Siku ya Watakatifu
@elianasoemafole90023 ай бұрын
NASHUKURU KWA IBADA NZURI SANA,IMENIBARIKI SANA
@EgbertKatanga3 ай бұрын
NASHUKURU MAONI YAMEFANYIWA KAZI
@aiwiniamafole95633 ай бұрын
HAKIKA MWASISI WETU UZIDI KUBARIKIWA KUTUTOA KWENYE MAFUNDISHO POTOFU ,HONGERA MCH NA MTHEOLOGIA KWA IBADA NZURI SANA SANA MBARIKIWE SANA
@elianasoemafole90023 ай бұрын
HONGERA MCHUNGAJI KWA IBADA NZURI,SOMO NZURI SANA,HAKIKA MWASISI UNA HAKI YA KUENZIWA KWA KUTUTOA KWENYE UKENGEMFU MKUBWA HIVI UBARIKIWE SANA SANA
@lothasamora85413 ай бұрын
Dayosisi zingine zingejifunza hapa. Pia video grapher wape ushauri wenzako hasa wale wa dar es salaam.
@lothasamora85413 ай бұрын
Nilijuaga Dar es salaam ndio inaongoza kwa uimbaji lakini kumbe Kilimanjaro wako mbali. Hata video zenu zinahaririwa vizuri kwa kuondoa sehemu ambazo zisizo na kazi ili kutokuboa. DMP wanatakiwa kuja kujifunza huku
@YohanaSaloniLucumay3 ай бұрын
Hakka Mungu awabarki cn
@AmanEustace3 ай бұрын
hongereni kwaya zote kwa kuimba vizuri
@elianasoemafole90023 ай бұрын
HONGERENI KWAYA ZOTE KWA NYIMBO NZURI,SAUTI TAMU,UJUMBE MZURI,BABA ASKOFU KWA SOMO NZURI MNO MUNGU AZIDI KUWABARIKI,WOTE HONGERENI KWA IBADA ILIYOTUKUKA