Ukiona mtu hayupo wazi kama anamuunga mkono Nan jua huyo ni team mbowe
@ShamsuNgereza5 сағат бұрын
Timu Mbowe huyu, wananchi muangalieni hakuna nutro hapa kala hela huyo.
@KopiscoIsaya5 сағат бұрын
TUNDU LISSU ni Muongo sana halafu amwdnganya watu kua yeye ni mtakatifu kuliko wote,kitu ambacho siyo sahihi, Tundu LISU ndo mvurugaji nambari Moja,ana ubinafsi,kilakitu TUNDU LISSU ni Mwema WENZAKE wote wabaya, please TUNDU hacha kuji proud Tumechoka na Uongo wako.
@saidimwalukope70266 сағат бұрын
Huo ndio uungwana mwenyekiti na Mungu akubariki sana
@GasperKapungu6 сағат бұрын
Unaakili kuliko viongozi wote wengine wanaoropoka wazi wazi.umemzidi hadi lema
@philimonndinadyo21207 сағат бұрын
Umejibu vema Rushwa ya Lisu nimambo ya kusadikika
@theresiaLutufyo7 сағат бұрын
Hawa team Mbowe hawako wazi.
@LucianSanga9 сағат бұрын
Mwekiti mwoga ana ogopa kesho Yeye Tim Mbowe
@daudimchileg3079 сағат бұрын
Ila ukweli msijichanganye kumleta mbowe, hamtoboi tutahama hata hivyo tunataka wewe ugombee ubunge tunduma mkizingua tutampa silinde
@deohank59959 сағат бұрын
Mwakabenje kifupi mabadiliko hayahepukiki na ni mara chache sana kuletwa na walewale
@saimonisichimata855911 сағат бұрын
mbowe amechoka mwakabanje tunamtaka lissu sisi
@optatusndikwege625011 сағат бұрын
Tim mbowe huyo
@StevenMwakatundu11 сағат бұрын
Una majbu ya busara sana brother.
@alexmwamtobe385012 сағат бұрын
Umejibu vyema sana
@theresiaLutufyo7 сағат бұрын
Mwakabanje acha kigugumizi bro.
@emanuelpiniel527714 сағат бұрын
Umeshalamba asali brother
@emanuelpiniel527714 сағат бұрын
Kwani unadhani rushwa inatolewa Kwa wazi au ni viashiria?
@apostlejacksonkalinga519121 сағат бұрын
Asante sana Angel TV
@JacoboMkopekwa2 күн бұрын
Ameeeeni
@michaelthibasu63662 күн бұрын
KZbin
@apostlejacksonkalinga51912 күн бұрын
Asante Angel TV
@zaxy_5ive3 күн бұрын
Matatizo hayana chama it's better kama vyama vyote vinakutana na kufarijiana wakati wa majanga. Sema lazima walishe msiba hawa jamaa na sera zao za ubweche😂😂😂
@JacoboMkopekwa3 күн бұрын
Ameeeni
@JacoboMkopekwa3 күн бұрын
Asante sana angel tv mungu awabariki na awaongezee pale mnapo towa muda wenu mnajitaidi sana
@OscerShop4 күн бұрын
Mama hongera sana wewe ni mtu waviwango vya Hali ya juu Sana mungu AENDELEE kukutumia ili uwasaidie watu ndoa zipone wako wa mama WENGINE akiwa anahela kumzidi mume hamuheshimu kabisa mume kwo endelea kuwasaidia mungu akubariki Sana.
@JovinethJonas5 күн бұрын
Amna
@JacoboMkopekwa5 күн бұрын
Asanteni kwa kutupa habali tunawaamina kwa apa tunduma ongereni
@imeldastephano92217 күн бұрын
Ukosawa ila mtsmkumbuka Mbowe
@emmanuelmwamlima10279 күн бұрын
Yetu macho ila jamaa n 🔥 sana
@boychidu9 күн бұрын
Pamoja sana
@TeddyDickson-w5p11 күн бұрын
Hapo amefika tamati,zamu yake sasa
@godfreymsemwa11 күн бұрын
Background sound ipo juu sana fanya marekebisho boss