Пікірлер
@YaminAsad-h6e
@YaminAsad-h6e Сағат бұрын
Amen
@DoreenKamtupe
@DoreenKamtupe Күн бұрын
Ubarikiwe Sanaaa Baba
@MARRYADAMSON
@MARRYADAMSON 2 күн бұрын
Amen baba
@shangweremiofficial4124
@shangweremiofficial4124 2 күн бұрын
Kazi yako Njema Kaka yangu
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 3 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@HalimaPaskal
@HalimaPaskal 3 күн бұрын
AMEEN mtumish mungu akubariki sana kwa kazi hii njema ya bwana
@MARRYADAMSON
@MARRYADAMSON 3 күн бұрын
Amen
@blackwellsiame-ec7uf
@blackwellsiame-ec7uf 3 күн бұрын
I may not be able to understand Swahili but the message is loud and clear. From the northern part of Zambia
@YeremiaYohana-o9j
@YeremiaYohana-o9j 4 күн бұрын
Amen Mtumishi barikiwa sana
@ayoubdallu4476
@ayoubdallu4476 5 күн бұрын
KAMANDA 🔥
@davidmdadila4080
@davidmdadila4080 5 күн бұрын
Ni mambo ya fireee
@BahatiJeremiah-v7p
@BahatiJeremiah-v7p 5 күн бұрын
Barikiwa Baba
@RAIVONMWAKALANJE
@RAIVONMWAKALANJE 5 күн бұрын
Amina wape ujumbe waho ali wabadilike
@JescaMdeka
@JescaMdeka 6 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@JojoJoji-h8g
@JojoJoji-h8g 6 күн бұрын
Nimejaribu kuchunguza iman mbali mbali dunian lakin iman ambayo inaongoza kwa viongoz wao kujaa majungu na chuki ni kikristo ukiangalia imani kipagan wanapendana ya kiislamu ya kihindi ya kiyahudi na siyo kwamba hawana makosa lakin hii ambayo ndyo ilifiwa kwa upendo na yesu na yesu altaka upendo unajiona Wana wivu wanakiburi cha haki wanahukumiana wanadhalilishana wanavuana nguo pumbavu pumbavu tu mbona hawafanani na yesu ,mnamhubiri sana shetan kuliko yesu wao muujiza wakuponywa ukitendwa wanakataa wanasema alyefanya ni shetanii.
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 5 күн бұрын
Na wewe vipi niwalewale jiwe la gizani limempata mtu tunakemea ujinga tuliookoka hatupakani mafuta hata Yesu aliwashughulikia kisawasawa
@JojoJoji-h8g
@JojoJoji-h8g 5 күн бұрын
@@nikodemmwahangila3334mnachukiana sana hakuna mkristo aliyewah mkubali mwazake ata akiwa wa namna gan aisee mnachuki kupita ata shetan mbele ya viongoz wakiserekali mnaenda kushitakiana wapagani wasio mjua Mungu kwa mfano waziri wa mambo ya ndan muuislamu unakuta maaskofu na suti zao na kola zao wanashitaki vitu vya kipumbavu mbele ya waziri asiye mjua yesu lin mtawahubiri watu kama wale injili ,kama kuna kaz mbovu onyeshen njema ili kumtofautisha na ile mbaya siyo matuzi kwa wivu
@JojoJoji-h8g
@JojoJoji-h8g Күн бұрын
Yesu alipambana na wenye din kubwa kubwa mafarisayo na masadukayo mahali ambapo ukigusa unaweza katwa kichwa kukemea serekali za kirumi siyo mchezo nyie mnatwangana wadogo gusa hiz din kubwa uone gusa viongoz wa serekali jaribu kama unaongea kama yesu tutakukuta msalaban achen chuki fanya vizuri alafu watu waone ubora wako kumliko mwingine wala si kwa chuki Mariko 12.30
@isakashega6056
@isakashega6056 6 күн бұрын
Good job
@NuhuMsigwa
@NuhuMsigwa 6 күн бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 6 күн бұрын
Kweli kabisa
@CLAUDMWAKALASYA
@CLAUDMWAKALASYA 7 күн бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU
@RubaR-nr5wz
@RubaR-nr5wz 7 күн бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 7 күн бұрын
Amina
@EstraEmily
@EstraEmily 7 күн бұрын
Amina ubarikiwe sana mutumishi wa mungu
@jeremiahbulenge1856
@jeremiahbulenge1856 8 күн бұрын
Kumechangamka tayari
@LukaMsongole
@LukaMsongole 8 күн бұрын
Tupo pamoja past.
@TINAHMWALE
@TINAHMWALE 8 күн бұрын
mungu akubariki mchungaji
@masterkey536
@masterkey536 8 күн бұрын
Wimbo mzuri xana
@musamwachanga816
@musamwachanga816 8 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
@AnaniaMtumishi
@AnaniaMtumishi 8 күн бұрын
Wimbo unaitwa je?
@ammielvictorykirango2887
@ammielvictorykirango2887 8 күн бұрын
Barikiwa sanaa kwa INJILI SAFI SANA. lakini mbn umeupload ya siku moja tu tena dakika 15
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 8 күн бұрын
Nitatuma nyingine
@joshuakyando6056
@joshuakyando6056 9 күн бұрын
Barikiwa sana baba
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 9 күн бұрын
Amina
@MTUMISHSTEPHANOSANGA
@MTUMISHSTEPHANOSANGA 9 күн бұрын
Barikiwa sana Baba mchungaji
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 9 күн бұрын
Amina
@joshuakyando6056
@joshuakyando6056 9 күн бұрын
Barikiwa sana baba
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 9 күн бұрын
Amina
@eneamahengeonlinetv9185
@eneamahengeonlinetv9185 9 күн бұрын
BABA TUNAKUA WABABE GHAFLA KWA INJILI YAKOOOOOOO. KEEEEEP IT UPPPPPPP.
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 9 күн бұрын
Ubalikiwe
@UwamahoroFrolence-v9s
@UwamahoroFrolence-v9s 9 күн бұрын
Nibanawe haraho IMana yagukuye nkandira kugafoto ❤
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 9 күн бұрын
Ubalikiwe
@MBEYA24MEDIA
@MBEYA24MEDIA 8 күн бұрын
​@@nikodemmwahangila3334😂 rugha gongana mtumishi😅
@anisethmisana
@anisethmisana 9 күн бұрын
Ameen
@acaciajosia6614
@acaciajosia6614 9 күн бұрын
Watukanwe
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 9 күн бұрын
Sawa
@acaciajosia6614
@acaciajosia6614 9 күн бұрын
Wimbo nzuri sana ...nakufuatilia sana kutoka Canada
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 9 күн бұрын
Ubalikiwe sana
@alexoluchina8381
@alexoluchina8381 9 күн бұрын
THIS ONE GOOD MAN OF GOD
@AsteriaMwalyenga
@AsteriaMwalyenga 9 күн бұрын
Penda sana ndiyo maama tinzileeee
@bentozesundaysjunior5494
@bentozesundaysjunior5494 10 күн бұрын
Este LOUVOR me Leva muito a buscar Mai's a Deus Pela mudança de vida ,forte demais ,obrigado pastor Nicodemus Mwangila
@christopharbange7216
@christopharbange7216 11 күн бұрын
Hakikaa Mungu akuzidishie
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 13 күн бұрын
Indagha hwatela.Ungulubhi ahwimilile.Ani ni nsalu ungulubhi abhimilile.
@GeofreyWapalila
@GeofreyWapalila 14 күн бұрын
Hiyo ndiyo Injili.
@christopharbange7216
@christopharbange7216 14 күн бұрын
Wimbo mzuri sana mbarikiwe ila haujatuimbia mtwango jamanii
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 14 күн бұрын
Ubalikiwe sana
@rehemaaman4685
@rehemaaman4685 14 күн бұрын
Amina😭
@MaparoMbukwa
@MaparoMbukwa 14 күн бұрын
Rearly this song has inspired me continue singing for the Lord
@claudleonard8321
@claudleonard8321 22 күн бұрын
mungu akubarik sana nabarikiwa sana na nyimbo zako
@JoshuaIsaya-h6u
@JoshuaIsaya-h6u 23 күн бұрын
Amina pastor barikiwa sana
@delicamwashilindi8591
@delicamwashilindi8591 25 күн бұрын
Hakika ni kwa neema tu barikiwa sana baba
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 24 күн бұрын
Ubalikiwe
@paulmwazembe
@paulmwazembe 26 күн бұрын
Amen ni kweli kabisa
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 25 күн бұрын
Ubalikiwe
@CLAUDMWAKALASYA
@CLAUDMWAKALASYA 27 күн бұрын
Yesu yupo kazini