Пікірлер
@stanleysilinge3395
@stanleysilinge3395 3 сағат бұрын
Kweli kabisa utu umeisha binadamu hatuna hofu na muumbaji unamuua mwanadamu mwenzako kama mnyama kisa madaraka ambayo yanaukomo.
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 4 сағат бұрын
Ukihubiri UTU au UBINADAMU,utakutana na yalomkuta mch.Mbarikiwa Mwakipesile wa Isyesye mbeya.
@rizikmrema7243
@rizikmrema7243 55 минут бұрын
Kabisa
@AllyMasterKitali
@AllyMasterKitali 10 сағат бұрын
Ndugu zangu watanzania kuweni makini na wanabii hawa mataperi wanawadanganya nyie mnawanunulia magari nyie mnabaki manikins kuweni makini nahawa watu nyie ombeni mwenyesi mungu mtakuwa matajiri tu
@SuzanaMpesha-b3n
@SuzanaMpesha-b3n 13 сағат бұрын
Jamaaaaaniiiiii
@AllyMasterKitali
@AllyMasterKitali 16 сағат бұрын
Mwamposa kuhani message nimataperi wanainchi fungukeni musiwakimbilie hawa mataperi wanajificha na mungu nyie wanyonge mnangamia wao wanashipa wanamilik magari magorofa nani mulimuona anaenda kuchukuwa udongo kawa tajiri hao mataperi ombeni mungu atawapa wenyewe
@JuwairaSalim
@JuwairaSalim Күн бұрын
Allah azid kukucmamia ktk kutekeleza majukumu akupe afya njema na uimara uzd ku2saidia ktk kuendesha gurudumu mi5 tena inshallah
@BakariFaraji
@BakariFaraji Күн бұрын
Mama simama imara amani ndiyo jambo kubwa namungu akuongeze umri mrefu mama oyeeeee
@MathewElius-s9z
@MathewElius-s9z Күн бұрын
kweli
@herymageta
@herymageta Күн бұрын
Hamna wakristo hapo? Watu wamejaa makanisani kuficha mavu yao, wachawi,waganga na wauwaji, hakuna mtumishi wa Mungu Mwanasiasa.Ukiona mtumishi wa Mungu mwanasiasa huyo ni muongongo
@annaerineo2388
@annaerineo2388 Күн бұрын
😊😊
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Күн бұрын
SASA WAGALATIA WAMEAMKA NEXT MAASKOFU WA TEC😢😢😢😢😢😢😢😢WAMEINGIA SIASA BAADA YA MIRIJA YAO KUZIBWA WAMESAHAU KUSOMA BIBLIA NA KUKEMEA USHOGA ULIOKITHIRI
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@OmmyJames-xn7ji kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n Күн бұрын
Nikiwa Saudi Arabia Sasa hivi tunakupa wengi Sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@LydiaNasimiyu-h1n kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n Күн бұрын
Makonda fanya kazi usiongope chochote matabali akina kuhani Musa walifanya Rose muhando kuwa wasimu Kenya kama si Mungu hakika hakekuwa hai
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@LydiaNasimiyu-h1n kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@JamesObaigwa
@JamesObaigwa 2 күн бұрын
Amen
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@JamesObaigwa kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@PamelaGodfrey-q9b
@PamelaGodfrey-q9b 2 күн бұрын
Tuko gizani tuamke
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@PamelaGodfrey-q9b kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@roselyimo3676
@roselyimo3676 2 күн бұрын
Mheshimiwa Makonda pokea maua yangu
@roselyimo3676
@roselyimo3676 2 күн бұрын
We are sleeping ndio maana tunapewa udongo na mafuta ya upako bila maombi. Nimeshuhudia wengi wanasema nilipewa mafuta nilipewa udongo lakini ni wazinzi mwisho wa matatizo. Leo tujitafakari je tuko kwenye Nuru au giza????
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@roselyimo3676 kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 2 күн бұрын
Mkuu sawa upo sawa lakini usisahau Sana kuwa hao unaowasema wamepewa kuonya na kusema pamoja na maombi. Miujiza siyo lazima lazima ni Imani.
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@SofiaSofi-q6r kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 3 күн бұрын
Hii ndio injili kutoka kwa makonda Aiseeee makonda ni nabii kabisa
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@imanuelzakayo8703 kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 3 күн бұрын
Hata uyooo apo ni feki sema apo kakaushaa tuu umemkwaza sana ujui tuuu
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@imanuelzakayo8703 kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@josepherjosephpaul1138
@josepherjosephpaul1138 3 күн бұрын
Alleluia! Naomba unipokee kwa Ofisi yako. Nina shida nata la kuonana na, wewe
@fredricksikukuu2743
@fredricksikukuu2743 3 күн бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu akubariki
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
@@fredricksikukuu2743 kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@FadhilMwaitete
@FadhilMwaitete 3 күн бұрын
Sio kukemeya tu watekaji wametajwa mmoja wapo. Wamemtaja napicha yake imesambazwa anaitwa mafwele kwanini msianze na huyoo msipindishe na mafwele ayupo pekeyake kunakajikundi kanaendesha visa hivi raisi wanakuyengenezea mtego hao wayekaji sijafuraishwa raisi kukubeshwa rawama mungu ile Tanzania yetu
@BizzBoy-g4o
@BizzBoy-g4o 4 күн бұрын
wasio viongozi wachama vifo havisisimui
@FanciesNyangama
@FanciesNyangama 4 күн бұрын
R.I.P Magufuli
@JannethNicholaus-ty5li
@JannethNicholaus-ty5li 5 күн бұрын
Yaani duh mtu ashushwe na watu wenye silaha na pingu Kweli Mungu amepanga?Hivi mtu wa anamiliki pingu?
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 5 күн бұрын
Soka na wenzake wako wapi mama? Hebu lifanyie kazi nao wapatikane maneno matupu hayavunji mfupa
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 5 күн бұрын
Wale vijana waliopelekwa makambini na ccm nao azungumziwe
@wemu4774
@wemu4774 5 күн бұрын
Kazi kwenu mashabiki wa Ubaya Ubwela.
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w 5 күн бұрын
😂
@GermanaPaul
@GermanaPaul 5 күн бұрын
Mama mama Nimefurahi sana sana leo umeongea kimamlaka na kwa ujasili safi sana maana wanakuchukulia mpole ,nimefurahi sana Rais wetu,Mungu akulinde na akupe nguvu na ujasili,
@DUNIADigital-j6w
@DUNIADigital-j6w Күн бұрын
kwa habari mbalimbali usiache kubonyeza neno subscribe kwenye channel hii
@DanielSulley-t8d
@DanielSulley-t8d 5 күн бұрын
Iko siku
@mafadhilahmada2420
@mafadhilahmada2420 5 күн бұрын
Mama ukweli wako uwadilifi wako ndio silaha yako utupeleke kule tutakako kwenye amani upendo utulivu na maendeleo
@mafadhilahmada2420
@mafadhilahmada2420 5 күн бұрын
Mama mpendwa mama mjasiri mama ulie fundwa ukafundika mama ulie soma na kufahamu vyema mama amini mungu yupo nawe na utashinda maisha yote vitendo hivi vya majahili wa taifa la tanzania mama nakuombausirudi nyumba kila alie moja mwema Yuko nyumba yako. Maneno haya yatakulinda daima mamaفكن يااله كشف ظري والبلاء بهي جلهمى بهيلى بهلهلة وعطيف قلوب العالمين بشلمهت amina
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 күн бұрын
Mama sema usiogope sema Chadema Saccoss wanakudharau sanaaaa hao wanatumiwa kuvuruga Amani heri ungewaacha huko huko ughaibuni
@dannykajumba2000
@dannykajumba2000 5 күн бұрын
Kua imala mama amani ya nchi ndio kitu cha msingi
@mohamediathuman
@mohamediathuman 5 күн бұрын
Kibao waliomshusha walikuwa na pingu pingu Zina milikiwa na wakina nani shida ndo iyo mm
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 5 күн бұрын
Mungu HAMFICHI MNAFKI Mtawajua WANAFKI wa TANZANIA Tuliombee TAIFA LETU pendwa TANZANIA
@SaidaliKhamis-v4p
@SaidaliKhamis-v4p 5 күн бұрын
Kifo si kifo je kafa, vp?
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 5 күн бұрын
Ccm mbona haeatekwi
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 5 күн бұрын
Hilo lkn mama ulikataa naukasema uwongo ndio wanainchi walivyo kasirika
@RichardJosse
@RichardJosse 5 күн бұрын
Huwaga nachekaga sn
@mweyoms5548
@mweyoms5548 5 күн бұрын
Hoja za msingi zinazosumbua vichwa vya wengi hazijapata majawabu hapa.Huenda mimi labda sijamuelewa.
@ezekielyohana6826
@ezekielyohana6826 5 күн бұрын
Maghulukutabu wapo kweli kabisa wanasumbua Mama umeongea ukweli Mungu atusaidie Nchi Yetu Tanzania Mungu tunaomba uilinde inchi Yetu Tanzania mama ameongea kwa hisia Tumombee Raisi wetu Mama Samia Mama tunakuombea Wewe Mungu amekuweka hapo usiwe na shaka.#Rais Samia.
@MkudeSimba-p3f
@MkudeSimba-p3f 6 күн бұрын
Wanataka watalii wakimbie tutawaliwe na umaskini! Na ndio hao hao waliotaka tukae lock down kipindi cha corona bado hatujasahau ! Ni bora kutafuta mbinu nyengine ya kutatua matatizo ya siasa kuliko kuegemea na kutegemea raia wake mbele ktk maandamano kwa lengo la kuuliwa raia wao ndio faida yao kwa mataifa ya nje hawafikirii hata Kwa Mwenyezi Mungu watajibu nini ! Wapo kiduniani zaidi ! Hawaamini ya kuwa kuna Mungu !
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 6 күн бұрын
mama sio kibao2 wapo wengi mno
@salehmussa9371
@salehmussa9371 6 күн бұрын
Sikuzote walikuchukulia powa,sasanazani leo wakoloni,watumwa navibaraka wao km niwaelewa watajua nini chakufanya.
@AugustinoGidamara-z6b
@AugustinoGidamara-z6b 6 күн бұрын
Tumrudie mungu yote mungu anayajua
@AugustinoGidamara-z6b
@AugustinoGidamara-z6b 6 күн бұрын
Tumrudie mungu yote mungu anayajua
@AugustinoGidamara-z6b
@AugustinoGidamara-z6b 6 күн бұрын
Jemedari yote tumkabidhi mungu hakuna linalojificha mbele ya mungu
@AugustinoGidamara-z6b
@AugustinoGidamara-z6b 6 күн бұрын
Dunia sasa kijiji kimoja