Karibu kwenye 'channel' yetu ya kilimo cha mahindi. Lengo letu ni kuwasaidia wakulima wadogowadogo na wadau wote wa kilimo cha mahindi kupata uelewa mzuri na wakisasa juu ya kilimo cha mahindi. Maoni/ Ushauri: email:
[email protected], WhatsApp: 0684307860.