Пікірлер
@nascomtz1189
@nascomtz1189 6 сағат бұрын
Simba nguvu moja
@jamesjames2368
@jamesjames2368 Күн бұрын
Hawa ndo wanao tia nuksi timu yetu
@MawazoWilliam-g9l
@MawazoWilliam-g9l 2 күн бұрын
Wewe ni mjinga unafunga takataka mdomo huo ni ujinga ,ndevu gani hizo uchafu huo.hujuwi mpira turia uzikwe.
@tonytruth125
@tonytruth125 3 күн бұрын
Huyu ni fala sana
@OS-pf6op
@OS-pf6op 3 күн бұрын
Hamna kitu hapo!
@abrahmansalum6996
@abrahmansalum6996 4 күн бұрын
Muda utaamua kama anaongea pumba au rilly
@AminoKhalif
@AminoKhalif 4 күн бұрын
Huyu jamaa amepewa rushuwa na makolo yanga bingwa inshallah kwauwezo mungu 💚💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚💛💚💚💚💚💛💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛
@AminoKhalif
@AminoKhalif 4 күн бұрын
Huyu jamaa hana akili hata kidogo yanga bingwa tena na tena tabu iko palepale daima mbele oyyyyýyy wananchi 💚💚💚💙💚💚💚💚💚💚💚💛💚💙💚💚💚💚
@BuheriKomba
@BuheriKomba 3 күн бұрын
Wewe sio mungu
@BuheriKomba
@BuheriKomba 3 күн бұрын
Utazimia wewe
@OmaryAlly-h1j
@OmaryAlly-h1j Күн бұрын
😅
@OmaryAlly-h1j
@OmaryAlly-h1j Күн бұрын
😢
@OmaryAlly-h1j
@OmaryAlly-h1j Күн бұрын
😅😅😅
@kiwakhalid4981
@kiwakhalid4981 4 күн бұрын
Kumbe pombe sio nzuri, kumbe jamaa ni mlevi
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 4 күн бұрын
Ktk Wachambuzi Wasiojielwa Wewe Unaejiita Frij Bovu Na Kweli Frij Bovu Hujakosea Frij Likiwa Bovu Linatupwa Au Linauzwa Screpa Halina Tena Hadhi Limekwisha Hadhi Yake Nawewe Umekwisha Hadhi Yk
@amosyjohn3120
@amosyjohn3120 4 күн бұрын
Hakuna maajabu yeyote kila siku Simba ni mikwala tu kumbuka hata yanga imejipata usiangalie sehemu moja tu
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂imejipt kweny nn?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 4 күн бұрын
❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤ SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@robertonaftal9026
@robertonaftal9026 6 күн бұрын
😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 күн бұрын
❤❤❤❤ SIMBA IMARA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@salimmalaka256
@salimmalaka256 8 күн бұрын
❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA IMAARA ❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AbdallahChingua
@AbdallahChingua 8 күн бұрын
kweli mashabiki mbumbumbu
@IddyMzuri
@IddyMzuri 9 күн бұрын
ETI SSC MCHEZAJI KAMA JOBE WALIMUOKOTAOKOTA TU, KAMA WACHEZAJI WANAOKOTWA,AZISHA TIMU UKAOKOTE WACHEZAJI WW VP
@IddyMzuri
@IddyMzuri 9 күн бұрын
USISEME SIMBA WAMEMUOKOTA JOBE, NA WEWE ANZISHA TIMU YAKO UKAOKOTE WACHEZAJI ACHA AITA KUSAIDIA HIO
@musikibulezi5916
@musikibulezi5916 10 күн бұрын
Kila siku wachezaji wale wale na wakat wachezaj anao
@musikibulezi5916
@musikibulezi5916 10 күн бұрын
Kwa nn hamchezesh chasambi na duchu, karabaka, kazi, okajefa kuna mech anatakiwa abadilike kocha na amchezeshe ally salum
@musikibulezi5916
@musikibulezi5916 10 күн бұрын
Kocha anatakiwa kuchezesha wachezaji wote
@AminoKhalif
@AminoKhalif 14 күн бұрын
Ali kamwe ana maisha mzuri wewe una nini hata basikili hauna acha mdomo
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 14 күн бұрын
Maisha gan alio kuwa nayoo?yaan uwe supu fc af uwe na maisha mazur?,labda maisha ya kula ugal sukariii
@ShabaniRehani-i4h
@ShabaniRehani-i4h 14 күн бұрын
Huyo.allikomwe.anajazba.akachambue.mchele
@robertonaftal9026
@robertonaftal9026 14 күн бұрын
😂😂😂mnandi bna nakukubali mzee
@MakarotiKamugisha
@MakarotiKamugisha 15 күн бұрын
Uko sahihi ubaya ubwela
@IsackMahenga
@IsackMahenga 15 күн бұрын
Sawa mnandy
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 күн бұрын
UTOPOLO MAVI YAMEGONGA CHUPI 😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 күн бұрын
❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@fadhilinehemiah
@fadhilinehemiah 16 күн бұрын
Mwaka.wetuuuu
@michaelnsingija
@michaelnsingija 16 күн бұрын
saiz tamba bila shaka tumeteseka sana misimu mitatu ko acha tuflah
@josephmallya6519
@josephmallya6519 15 күн бұрын
Kabisaa yaanii tuliteseka sn
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 16 күн бұрын
Mwandishi mjinga sana eti Ateba kapa.
@RukiaJuma-ib3no
@RukiaJuma-ib3no 16 күн бұрын
Ubaya ubwela
@Rashidsebinda
@Rashidsebinda 16 күн бұрын
😂😂 ubayq ubwela
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 16 күн бұрын
UBAYA ubwela
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 16 күн бұрын
WACHEZAJI WETU TOENI PASI. BALUA TOA PASI USILAZIMISHE KUFUNGA UNAPOONA KUNA MTU ANAWEZA KUFUNGA. MSIWE WABINAFSI MNAIKOSESHA TIMU MAGOLI. HATUTAKI KUONA NANI AMEFUNGA AMEFUNGA TIMU ISHINDE NA IPATE USHINDI
@taseleli9181
@taseleli9181 16 күн бұрын
Kweli kabisa Kijili nae analeta uchoyo mwisho tunashindwa kuwa na magoli ya kutosha
@bonifacelugo2941
@bonifacelugo2941 16 күн бұрын
Safi
@Jey_9
@Jey_9 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 17 күн бұрын
Baada ya Mfalme wa Morroco kupita Tanzania kuomba support ili nchi yake kurudishwa AU ali ahidi kufadhili ujenzi wa uwanja mkubwa wa mpira na marehemu Magufuli alipo msoma kwamba alikuwa longo longo aliahidi Tanzania ingejenga yenyewe na ramani ikatolewa kwa makadirio ya kuweza kuchukua watu laki moja punde akirejea baada ya uchaguzi, kwa mapenzi ya Mungu likatokea lisilo tarajiwa, kwasasa ni kama ameondoka na dhamira yake njema kwa mji wa Dodoma.vinginevyo watu wasingekuwa wanasongana maana yule mwamba alikuwa akiahidi habahatishi nailivo kuwa ni hadharani ingekuwa tayari siku nyingi tu R.I.P J.P.M
@IssaHirsy
@IssaHirsy 17 күн бұрын
😂😂😂
@عزيزه-ر1ه
@عزيزه-ر1ه 17 күн бұрын
😂😂😂
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga 17 күн бұрын
Mechi sangapi
@neemamatey
@neemamatey 17 күн бұрын
😂😂
@AishaMshamu
@AishaMshamu 17 күн бұрын
Leo ubaya ubwela tu ushindi muhim
@MaryBenedict-y9k
@MaryBenedict-y9k 17 күн бұрын
😂😂😂
@AminaLibisa
@AminaLibisa 17 күн бұрын
Woyooooo woyooooo 🦁🔥🔥❤️❤️
@HassanLimo-o7g
@HassanLimo-o7g 17 күн бұрын
Jamani huyu dogo taarifa limtazame ni zawadi na hazina
@JuliusMbikilwa
@JuliusMbikilwa 17 күн бұрын
Dodoma lazima nasema lazima tumnywe 3
@camilomassao8971
@camilomassao8971 17 күн бұрын
Na Dodoma jiji wameshaahidiwa dau na kaka zao hao
@EmanuelMuna-w2q
@EmanuelMuna-w2q 17 күн бұрын
Simba SC Fans Tv tafadhali sana waambieni hawo watu wa mamlaka ya bandari Tanzania kuwa wajenge bandari mpya itakayotakiwa kuwa na jengo jipya kubwa na la kisasa kabisa, kuweza kuwahudumia abiria wengi sana, wote wa ndani na watokao nchi za nnje (domestic and international lounge building). Ni kweli kuwa watalii wengi sana wanakwenda Zanzbar kupitia hii bandari ya Dar es salaam, iliyojengwa na wajerumani zaidi ya miaka 100 iliyopita. Huo ukuta muliouegemea umeisha onyesha nyufa nyingi sana, kwamba wakati wowote ukuta huo utaanguka na kuua watu wengi sana. Mamlaka ya bandari inatakiwa ifanye marakebisho na maboresho ya kisasa na haraka sana iwezekanavyo ya bandari hii kisiki na kongwe sana hapa afrika mashariki, kwa kuzingatia kuwa Simba Sports Club Tanzania imejitutumua sana kuendeleza na kuboresha uchumi wa buluu Tanzania visiwani, Unguja na Pemba. Simba Ohyee……………… Simba Ohyee Simba Nguvu Moja
@EmanuelMuna-w2q
@EmanuelMuna-w2q 17 күн бұрын
Simba SC Fans Tv tafadhali sana waambieni hawo watu wa mamlaka ya bandari Tanzania wajenge bandari mpya itakayotakiwa kuwa na jengo jipya na la kisasa kabisa, kuweza kuwahudumia abiria wengi sana, wote wa ndani na watokao nchi za nnje (domestic and international lounge). Matalii wengi sana wanakwenda Zanzbar kupitia hii bandari ya Dar es salaam, iliyojengwa na wajerumani zaidi ya miaka 100 iliyopita. Huo ukuta muliouegemea umeisha onyesha nyufa nyingi sana, kwamba wakati wowote ukuta huo utaanguka na kuua watu wengi sana. Mamlaka ya bandari inatakiwa ifanye marakebisho na maboresho ya kisasa na haraka sana iwezekanavyo ya bandari hii kisiki na kongwe sana hapa afrika mashariki, kwa kuzingatia kuwa Simba Sports Club Tanzania imejitutumua kuendeleza na kuboresha uchumi wa buluu Tanzania visiwani, Unguja na Pemba. Simba Ohyee……………… Simba Ohyee Simba Nguvu Moja
@MariamNungu
@MariamNungu 17 күн бұрын
Noma sana